Tahadhari na kinywaji cha Al-Kasusu

Tahadhari na kinywaji cha Al-Kasusu

Umewahi kuta mkristu amevaa kanzu anazunguka mtaani anayauza hayo makitu ya hovyo?
Waislamu ndio wahusika na watumiaji wakubwa, huenda ndio mnaoongoza kwa upungufu wa nguvu za kiume ndio maana mnabuni boosta mbalimbali kama hiyo
Hii huenda huwa mnatangaziwa msikitini muitumie kwa wingi
Msikitini sio sehemu ya kufanya upuzi kama mnavyo danganywa. Inaonekana wewe ni mtu mwenye chuki sana na uislaam, mada ilikuwa kuvaa kanzu na kuuza al kasusu nashangaa ghafla umeanza habari za uislaam na waislaam.

Hata ukikuta mkristo kavaa kanzu anauza al kasusu bado utasema ni muislaam ili hoja yako itimie. Kama ambavyo mnafundishwa mvae kanzu mkanunue nyama ya ngiruwe ili ionekane waislaam wana kula nguruwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijakuelewa mkuu, kuna shida gani kula dona kwenye hoteli?
Mahindi uhifadhiwa na sumu ili yasiliwe na wadudu niambie kuna mfanyabiashara gani anaomda wa kuyasafisha ili kuondoa hio sumu kabla ajasaga.Chukua mahindi safisha saga mwenyewe ukiona,mfanyabiashara ujali Pesa yako na sio afya yako
 
Kwani mtu kuvaa kanzu inamhalalisha kuwa muislam?
Kanzu ni vazi la kawaida sana na yeyote ana ruhusiwa kuvaa isipokuwa baadhi ya watu majuha huchukulia kuwa ni chukizo kwa uislam endapo litatumiwa ktk mazingira ambayo ni katazo ktk dini.
Binafsi kanzu ninayo na sometimes huitinga na kibalaghashia juu nampitia rafiki yangu mangi kwenda kula kitimoto mixer ndizi pale kwa kweka tunashushia na bia.
 
Mahindi uhifadhiwa na sumu ili yasiliwe na wadudu niambie kuna mfanyabiashara gani anaomda wa kuyasafisha ili kuondoa hio sumu kabla ajasaga.Chukua mahindi safisha saga mwenyewe ukiona,mfanyabiashara ujali Pesa yako na sio afya yako
You are right!
 
Kiti moto mnaikula sana na ninyi (waislamu) ndio wateja wakuu
Jiulize kwanini biashara hii huyumba sana kipindi cha mfungo wenu wa mwezi mtukufu?
Msikitini sio sehemu ya kufanya upuzi kama mnavyo danganywa. Inaonekana wewe ni mtu mwenye chuki sana na uislaam, mada ilikuwa kuvaa kanzu na kuuza al kasusu nashangaa ghafla umeanza habari za uislaam na waislaam.

Hata ukikuta mkristo kavaa kanzu anauza al kasusu bado utasema ni muislaam ili hoja yako itimie. Kama ambavyo mnafundishwa mvae kanzu mkanunue nyama ya ngiruwe ili ionekane waislaam wana kula nguruwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana kaka,umepigia msumari wa mwisho kwa wanafiki wote wa mada hii, wameshindwa kujib hoja wamekuja na dini
Msikitini sio sehemu ya kufanya upuzi kama mnavyo danganywa. Inaonekana wewe ni mtu mwenye chuki sana na uislaam, mada ilikuwa kuvaa kanzu na kuuza al kasusu nashangaa ghafla umeanza habari za uislaam na waislaam.

Hata ukikuta mkristo kavaa kanzu anauza al kasusu bado utasema ni muislaam ili hoja yako itimie. Kama ambavyo mnafundishwa mvae kanzu mkanunue nyama ya ngiruwe ili ionekane waislaam wana kula nguruwe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam Sheikh
IMG_20200106_173124_707.jpeg
IMG_20200106_173128_741.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemsahau masauni
Wakristo mna chuki sana hv ni mambo gani ya ajabu hayo unayoyasema kuzidi afanyayo Nabii Tito, yule Nabii wa Mwanza marehemu jina nimelisahau na bado makondoo nyinyi mnawafuata hawa manabii kama mazuzu wakristo mnaongoza kwa kukosa uadilifu majizi wakubwa serikalini refer majizi yaliyotumbuliwa leo kina Kangi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna uhusiano was kasusu na kanzu.Nimeinywa Sana Arusha back in the days jamaa wanauza hawavai kanzu, nakubaliana na mdau kasusu imetokea kondoa coz hata wale wauzaji Arusha ni watu wa kondoa
 
Zama za kanzu zimeisha,huu ni wakati wa suti

Sent using Jamii Forums mobile app

Kila ki2 mnapenda kuiga wazungu enyi manaswara, mpaka kujisafisha kule chini mna2mia makaratasi badala ya maji,,miswaki wengi wenu hampitishi, kwa wanawake ndio usiseme mpaka mavazi ya nusu uchi wameiga na wazazi wanaangalia tu..kwa mfumo huu wazungu wataendelea kutudharau.

Sisi waislamu tunafuata dini yetu inavyotufundisha, mavazi ya kanzu ndio vazi zetu kuu hata mitume wamevaa akiwemo na Yesu.
 
Back
Top Bottom