Hakuna mtu makini anaweza kunywa uchafu ambao haufahamiki ulikotokaKumbe ni kinywaji cha wachache
Upumbavu wako Wa kikafiri kukashifu dini yetu kwa madhaifu ya baadhi ya watu ndio yamenileta kukujibu pimbi wewe. Uislamu hauhusiki na hayo mavitu kuwa mstaarabu.Hahah wewe ni yule muuza kasusu wa siku ile nini,naona lile tukio halijakutoka kichwani bado!!!
Ume-panic sana,but hii haitakupunguzia shida zako wala haitahalalisha uuze vilaji ktk mazingira machafu na mavazi yasiyo masafi badilika.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Kweli kabisahakuna mtu makini anaweza kunywa uchafu ambao haufahamiki ulikotoka
Just a joke mkuuDiasporaUSA
Umemaanisha mkuu?but akili yangu inakataa hujamaanisha,hata hivyo nimekusamehe
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Mbona harsh hivyo
Ila Dsm, ukisikia kitu kinaongeza nguvu bhasi lazma kiuze tofauti kabisaa na mikoani.
Wacha tu wawawekee mana mmezidi kula vyakula vinavyomaliza nguvu zenu huku mkijiaminisha kuwa yapo madawa ambayo ndio suluhisho kwani mlianza na mavumbi ya Kongo sasa mnahamia kwenye alkasusi. lol.
Tulieni dawa iwaingie.
Upumbavu wako Wa kikafiri kukashifu dini yetu kwa madhaifu ya baadhi ya watu ndio yamenileta kukujibu pimbi wewe....uislamu hauhusiki na hayo mavitu kuwa mstaarabu.
Nawewe ungewauliza wauza alkasusu ilo swali
😂atakushughulikiaKuna mmoja nilimuuliza akaishia kuniambia “wewe kaffir unajua nini wewe?” na mimi kwa hasira nikawahamasisha wale waliomwita,{ni jamaa zangu} wafikirie kuhusu afya zao kwanza hizo chai sijui kasusu wanazokunywa wanajua zinavyoandaliwa?pia ushikaji wa tule tukombe twake muuzaji anavishika shika kila wakati huku maji ya kunawa mikono yake hana wanauchukuliaje?
Hakuna hata mmoja aliyenunua zaidi walimwambia aondoke nakumbuka jamaa alinipiga jicho moja matata nami nikamwambia akajifunze usafi
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Sijakuelewa mkuu, kuna shida gani kula dona kwenye hoteli?True mfanyabiashara ujali Pesa yako na sio afya yako.Nashangaa alae dona hotelini ujimaliza mwenyewe