Tahadhari na kinywaji cha Al-Kasusu

Tahadhari na kinywaji cha Al-Kasusu

Nilinunua dawa flani ya kienyeji pale darajani unguja nikaenda nayo Dar, mchana wakati wa kunywa jamaa zangu wakaanza kugombea niwape eti ma wao wanywe, niliwaambia ni dawa ya tumbo hawakutaka kunielewa.

Wao walihisi ni booster a.k.a Viagra, yaani wanaumme wenzangu kwa sasa wana shida.
Longolongo tu,nguvu za kiume ni jinsi unavyoi-tune akili yako.ukihisi kushindwa utashindwa kweli ukihisi kushinda utashinda kweli hao wanawauzia maji tu ni vile wabongo kuamini kila kitu ni dawa na kila kitu ni maradhi ndo maana wanawapiga changa huku wakijiona.
 
Longolongo tu, nguvu za kiume ni jinsi unavyoi-tune akili yako.ukihisi kushindwa utashindwa kweli ukihisi kushinda utashinda kweli hao wanawauzia maji tu ni vile Wabongo kuamini kila kitu ni dawa na kila kitu ni maradhi ndo maana wanawapiga changa huku wakijiona.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
As long as mtu hukuzaliwa na tatizo na unakula fresh, upungufu wa nguvu za kiume ni akili tu.
 
Umewahi kuta mkristu amevaa kanzu anazunguka mtaani anayauza hayo makitu ya hovyo? Waislamu ndio wahusika na watumiaji wakubwa, huenda ndio mnaoongoza kwa upungufu wa nguvu za kiume ndio maana mnabuni boosta mbalimbali kama hiyo. Hii huenda huwa mnatangaziwa msikitini muitumie kwa wingi
Mr. Daniel, unahusishaje biashara ya mtu na uislaam? Kama tukianza kuangalia ma vitu ya ajabu katika dini ukristo unamavitu ya ajabu kuliko dini yoyote. Kama unaweza weka mada tujadili.

Acha machuki ya kijinga, jadili mada ya iliyoletwa. Kama huwezi kaa kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namimi niliwahi kuuliza lakini sikupata jibu la maana kwanza waliniambia kinywaji chenyewe kinatokana na mti unaitwa kasusu mara nyingi unapatikana kondoa ila wameongeza jina la alkasusu ili lionekane kama la kiarabu labda ndio maana wanavaa kanzu waonekane kama ni waarabu ila mti wa mkasusu unaongezwa na vitu vingine kama maziwa karafuu na iliki.
Cc mrangi
 
Longolongo tu,nguvu za kiume ni jinsi unavyoi-tune akili yako.ukihisi kushindwa utashindwa kweli ukihisi kushinda utashinda kweli hao wanawauzia maji tu ni vile wabongo kuamini kila kitu ni dawa na kila kitu ni maradhi ndo maana wanawapiga changa huku wakijiona.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Yale yale ya babu wa Loliondo. Ni utapeli tu., Wajinga ndio waliwao.
 
Sijawahi kuona wauzaji wa hichi kinywaji wakiwa na nguo nyingine tofauti na kanzu. Hii ni sare au kuvaa hivi kumetokana na nini?

Nimeanza kunywa na nimependa kazi yake,hizi ni zaidi ya energy drink zote lakini sijajua kama zina madhara ama la.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dar hiyo kasusu inapatikana sehemu gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kuona wauzaji wa hichi kinywaji wakiwa na nguo nyingine tofauti na kanzu. Hii ni sare au kuvaa hivi kumetokana na nini?

Nimeanza kunywa na nimependa kazi yake,hizi ni zaidi ya energy drink zote lakini sijajua kama zina madhara ama la.

Sent using Jamii Forums mobile app
Masharti ya nanii hayo
 
Longolongo tu,nguvu za kiume ni jinsi unavyoi-tune akili yako.ukihisi kushindwa utashindwa kweli ukihisi kushinda utashinda kweli hao wanawauzia maji tu ni vile wabongo kuamini kila kitu ni dawa na kila kitu ni maradhi ndo maana wanawapiga changa huku wakijiona.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Kumbeee
 
Asee kama hujaoa usinywe mzee mana ni booster kubwa sana kwenye kusex. Kama ulikuwa umezoea kupiga bao 1 au 2 na kulala au uume kusinyaa ukipiga hiyo unaweza kupiga hata 5 bila kupumzika, amini nakwambia. Mpaka nahisi itakuwa na madhara tu
Ukiinywa unakuwaje??unaongeza nguvu za kiume au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reeelax guys hiyo inaitwa kiingiacho mjini. Haina haja ya kupigiana makelele. Mbona wakopeshaji wengi uswahilini ni waha na hakuna thread.
 
Back
Top Bottom