Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Ndio
Kwani kiasi cha hela kinaanzia sh. ngap?
Ndio
Uwe na nyumba kali, una gari ya gharama, una million 100 bank + una uhakika wa million 5 kila mwezi, hapo unaruhusiwa kujiita kwamba una hela.Ndio
Kwani kiasi cha hela kinaanzia sh. ngap?
nimekupataUnayaloweka unayasafisha unayakausha kisha ndo unasaga,ukiyaosha umeondoa ile sumu sumu iko kama vumbi vumbi hivi
MUNGU wa wakristo ni tofauti kabisa na mungu wa waislamu, usimlinganishe MUNGU na lile jiwe la makkaUmefanya research kubaini wote wanaovaa kanzu ni waislamu? Me ni mkristo na nilishawahi kuvaa kanzu miaka ya nyuma. MUNGU ni Mmoja, kitakacho kupeleka unapostahili ni matendo sio dini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa mkuu unajidanganya bureUwe na nyumba kali,una gari ya gharama,una million 100 bank + una uhakika wa million 5 kila mwezi, hapo unaruhusiwa kujiita kwamba una hela.
Sent using Jamii Forums mobile app
MUNGU wa wakristo ni tofauti kabisa na mungu wa waislamu, usimlinganishe MUNGU na lile jiwe la makka
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah habari za Mungu hakuna anaezijua kwa asilimia mia wakuu,mjifunze kupunguza kashfa kwa dini za watu.Unajua kabisa waislamu wanamwabudu Allah,Wakristo Jehova/Yahweh kadhalika Wayahudi ambao pia humwita Ellohim na wanavyotamka ina sound kama Allah. Muislamu na Mkristo kutukanana ni kama kuta za makalio na kinyeo(situkani natoa mfano wa hasira) harufu ya mzigo unaopita pale ni ile ile,cuz wote vitabu vyao ni almost vile vile.Halafu ni aibu sana kwa watu wa Afrika kugombea au kubishania dini wakati kwetu ni mapokeo tu.MUNGU wa wakristo ni tofauti kabisa na mungu wa waislamu, usimlinganishe MUNGU na lile jiwe la makka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaya zaidi Wakristo wengi hawaujui Biblia wala Quran.Dah habari za Mungu hakuna anaezijua kwa asilimia mia wakuu,mjifunze kupunguza kashfa kwa dini za watu.Unajua kabisa waislamu wanamwabudu Allah,Wakristo Jehova/Yahweh kadhalika Wayahudi ambao pia humwita Ellohim na wanavyotamka ina sound kama Allah.Muislamu na Mkristo kutukanana ni kama kuta za makalio na kinyeo(situkani natoa mfano wa hasira) harufu ya mzigo unaopita pale ni ile ile,cuz wote vitabu vyao ni almost vile vile.
Halafu ni aibu sana kwa watu wa Afrika kugombea au kubishania dini wakati kwetu ni mapokeo tu.Tuamkeni!!!Mwislamu na Mkristo wakitukanana sisi ma "monk" tunawashangaa sana cuz ni two sides of the same coin kama ukristo ni uongo basi na uislamu ni uongo and vice versa.Quran ina contents kibao za bible ni kama imefanya deduction,na quran na bible zote zimeandikwa na kuwa compiled na watu habari za kushushwa na kupatikana kwa njia ya ufunuo wa roho mtakatifu ni dhana tu,at the end watu waliandika wakajadiliana na kubishana waweke kipi waache kipi.Halafu mbaya zaidi kwetu zote hizi zilisapoti utumwa, na mpaka leo zinachochea ubaguzi
Mkuu, nakazia hapa.As long as mtu hukuzaliwa na tatizo na unakula fresh,upungufu wa nguvu za kiume ni akili tu..
Tupe elimu mkuuWatu wanahangaika na alkasus hivi mnaijua karanga nyie...?
Fahamu kwamba hadi mwaka 2018 wanawake nchini Iran walikuwa hawaruhusiwi kuangalia mpira,wanawake nchini Saudia Arabia walikuwa hawaruhusiwi kuendesha magari. Hadi sasa wanawake nchini Saudia Arabia wakienda kutembea wanapaswa kuwa na kibali cha mwanaume(hata kama hawajaolewa),nchini Misri,Somalia na Sudan ukeketaji wa wanawake bado ni jambo la kawaida na hayo yote ni mataifa ya Kiislamu rasmi au yenye idadi kubwa ya waislamu.
Tatizo lingine wengi wenu mna akili finyu za kupenda kuelekezwa kila kitu,Magharibi hakuna hayo mambo,kila mtu anakuwa huru jinsi binadamu anavyopaswa kuwa ndio maana kuna watu wengi hata kutoka huko uarabuni(ambako hawatamaniani) wanakimbilia Ulaya,Marekani na Australia kufurahia maisha na kanzu,hijab na niqab zao bila kusumbuliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bold.......Hichi Kiswahili au Kirundi/kinyaruanda?Kuna mmoja nilimuuliza akaishia kuniambia “wewe kaffir unajua nini wewe?” na mimi kwa hasira nikawahamasisha wale waliomwita, {ni jamaa zangu} wafikirie kuhusu afya zao kwanza hizo chai sijui kasusu wanazokunywa wanajua zinavyoandaliwa? Pia, ushikaji wa tule tukombe twake muuzaji anavishika shika kila wakati huku maji ya kunawa mikono yake hana wanauchukuliaje?
Hakuna hata mmoja aliyenunua zaidi walimwambia aondoke, nakumbuka jamaa alinipiga jicho moja matata nami nikamwambia akajifunze usafi.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Kama Singida eti?Kama hujui uliza ukeketeji hausiani na imani ya kiislamu ingekua hivo hapa kwetu tungeeona maeneo kama zanzibar na au mikoa ya pwani ingekua na matukio ya ukeketaji lakini badala yake kwetu tatizo laukeketaji linapatikana mikoa ambayo wasilamu ni wachache.
kwanza naomba nikurekebishe...Napenda niwaombe Watanzania kinywaji cha al kasusi ni hatari kwa afya yako hasa upande wa high blood pressure. Al kasus hii sio hiyo wanayoitumia Waarabu, ladha tofauti kabisa.
Wauzaji wa al-kasus wamejificha kwenye kuvaa kanzu ili unapomuona kavaa kanzu una uhakika na imani na unachokunywa, kumbe tofauti kabisa.
Vitu wanavyochanganya Mungu anajua. Wanaweka maziwa kuongeza harufu nzuri na ladha.
Al kasusi Waarabu wanaitengeneza bila maziwa na bila kahawa yenyewe kama yenyewe na nilikuwa nakunywa sana Dubai.
Hapa Tanzania nimejaribu kunywa jana matokeo yake nikajiona siyo kawaida nikachukua mashine ya kupima presha nikakuta inasoma sys 185/110.
Jihadharini. Kuna baadhi ya watu nimewauliza wanasema wanahisi wanachanganya na unga wa viagra ili kupata wateja. Viagra imeua watu wengi sana na wengine ni wagonjwa wa moyo.