Tahadhari na kinywaji cha Al-Kasusu

Tahadhari na kinywaji cha Al-Kasusu

Wachina na Waturuki ni wazungu?
Kila ki2 mnapenda kuiga wazungu enyi manaswara, mpaka kujisafisha kule chini mna2mia makaratasi badala ya maji,,miswaki wengi wenu hampitishi,,,kwa wanawake ndio usiseme mpaka mavazi ya nusu uchi wameiga na wazazi wanaangalia tu kwa mfumo huu wazungu wataendelea kutudharau.

Sisi waislamu tunafuata dini yetu inavyotufundisha,,,mavazi ya kanzu ndio vazi zetu kuu hata mitume wamevaa akiwemo na Yesu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila ki2 mnapenda kuiga wazungu enyi manaswara, mpaka kujisafisha kule chini mna2mia makaratasi badala ya maji,,miswaki wengi wenu hampitishi, kwa wanawake ndio usiseme mpaka mavazi ya nusu uchi wameiga na wazazi wanaangalia tu kwa mfumo huu wazungu wataendelea kutudharau

Sisi waislamu tunafuata dini yetu inavyotufundisha, mavazi ya kanzu ndio vazi zetu kuu hata mitume wamevaa akiwemo na yesu.
Kanzu ni vazi la utamaduni wa watu wa jangwani so mitume wangeishi Simanjiro mngesema mashuka ya kimasai ni mavazi ya kidini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachina na Waturuki ni wazungu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hoja yangu nimeielekezea kwa wazungu, asilimia kubwa ya wakristo barani afrika wanaiga mfumo na tamaduni za kimagharibi, wakati nchi za bara la arabs hichi kitu hakipo ukiingia nchi zao almost wote wamejistiri mwili mzima hata kumtamani huwezi.

Labda kidogo ungesema lebanon hapo sawa kwa sababu kuna wakristo na waislamu.


Tukienda uturuki unaowaona wamevaa vimini huenda si waislamu au wapo but ni wachache sana na uislamu unazuia uvaaji wa hivyo.
 
Fahamu kwamba hadi mwaka 2018 wanawake nchini Iran walikuwa hawaruhusiwi kuangalia mpira,wanawake nchini Saudia Arabia walikuwa hawaruhusiwi kuendesha magari. Hadi sasa wanawake nchini Saudia Arabia wakienda kutembea wanapaswa kuwa na kibali cha mwanaume(hata kama hawajaolewa),nchini Misri,Somalia na Sudan ukeketaji wa wanawake bado ni jambo la kawaida na hayo yote ni mataifa ya Kiislamu rasmi au yenye idadi kubwa ya waislamu.

Tatizo lingine wengi wenu mna akili finyu za kupenda kuelekezwa kila kitu,Magharibi hakuna hayo mambo,kila mtu anakuwa huru jinsi binadamu anavyopaswa kuwa ndio maana kuna watu wengi hata kutoka huko uarabuni(ambako hawatamaniani) wanakimbilia Ulaya,Marekani na Australia kufurahia maisha na kanzu,hijab na niqab zao bila kusumbuliwa.
Hoja yangu nimeielekezea kwa wazungu,,,asilimia kubwa ya wakristo barani afrika wanaiga mfumo na tamaduni za kimagharibi,,,wakati nchi za bara la arabs hichi kitu hakipo ukiingia nchi zao almost wote wamejistiri mwili mzima hata kumtamani huwezi,,
Labda kidogo ungesema lebanon hapo sawa kwa sababu kuna wakristo na waislamu.


Tukienda uturuki unaowaona wamevaa vimini huenda si waislamu au wapo but ni wachache sana na uislamu unazuia uvaaji wa hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asee kama hujaoa usinywe mzee mana ni booster kubwa sana kwenye kusex. Kama ulikuwa umezoea kupiga bao 1 au 2 na kulala au uume kusinyaa ukipiga hiyo unaweza kupiga hata 5 bila kupumzika...amini nakwambia. Mpaka nahisi itakuwa na madhara tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Unfortunately mwanamke wala haitaji hayo magoli yote ili aridhike.

Ukiona unamfanya mwanamke goli 5 basi ujue Wewe ni chomeka chomoa. You are not making love; you are fucking na possibility ya kumridhisha mwanamke ina kuwa ndogo
Hata ufanye goli 10 , you are just boring her.

Goli moja ukilifanya kwa kufuata katiba ya Jamhuri; linatosha kabisa kukufanya ulale usiku mzima huku unakoroma; na Mwenzi wako pia alale kama mfu.

Vijana wa siku hizi inabidi mjifunze skills za old school mentality; acheni fantasy za al kasusu; mnajipunguzia uwezo wa kumkabili mdada.

Standard ya kufanya mapenz Kwa mwanaume inajulikana, why do you have to force it ? Just learn skills and be dedicated when you are on bed. Train your mind to focus and be there at the moment.

Is there anything wrong with your bed? Sasa why are you sleeping on the couch( KAUCHI), ? Lol [emoji23]
 
Sijawahi kuona wauzaji wa hichi kinywaji wakiwa na nguo nyingine tofauti na kanzu. Hii ni sare au kuvaa hivi kumetokana na nini?

Nimeanza kunywa na nimependa kazi yake,hizi ni zaidi ya energy drink zote lakini sijajua kama zina madhara ama la.


Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri na naomba iaminike hivyo, mwanzoni ilikuwa haina jina so waliiita kutokana na mwonekano wa muuzaji ikawa inaitwa Ally mvaa Kanzu . Sasa baada ya kuitwa hivyo kwa kipindi ikaanza kupoteza maana halisi mpaka sasa ikawa ali kasusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chuki za kidini hizo.Uliza maswali yenye maana na kuleta tija.Huku kwetu hawavai kanzu wanaouza huvaa madira.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
IMG_8187.JPG


Mujarrabu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umewahi kuta mkristu amevaa kanzu anazunguka mtaani anayauza hayo makitu ya hovyo? Waislamu ndio wahusika na watumiaji wakubwa, huenda ndio mnaoongoza kwa upungufu wa nguvu za kiume ndio maana mnabuni boosta mbalimbali kama hiyo. Hii huenda huwa mnatangaziwa msikitini muitumie kwa wingi.
Nyie ndio hamna tatizo la nguvu za kiume ndio maana mapadri wanapiga kanzu halafu wanalawiti watoto
 
Back
Top Bottom