Kabisa aisee.Asante sana Ponjoro kwa kujizuia. Kwa maana isingependeza.
naongea kwa ushahidi jinsi huyo mama kwa masikio yangu mwenyewe akichangia mambo ya maendeleo ya jimbo lakeNo reforms no election..sasa kama hupendi siasa unaongea usivyovijua gerahia
Hakuna anayemuheshimu tena yeye na famiria yakeNaomba nikwambie kuwa ukiendelea na hii tabia yako ya kupuuza maoni na matakwa ya wengi, kuna siku utakuja kupingwa kwa kuzomewa hadharani na heshima yako itashuka vibaya sana.
Mwaka 2015 ulipindua matakwa ya wanachama wenzako kwa kumpiga chini Marehemu Mzee wa watu na safari hii unafanya yale yale kwa kuwaletea wenzako mgombea wasie mtaka(asietakiwa na wengi) huku ukikiri wazi kuwa unakosea(kumbuka kukosea ni kukosea tu na hakuna kukosea kidogo kama ulivyosema).
Mzee wangui, tambua unaheshimiwa kwa nafasi kubwa uliowahi kushika katika hii nchi na si vinginevyo. Usipojirekebisha,, watu hawataendelea kukuvumilia na kuna siku utazomewa iwe ni ukumbini au katika eneo la wazi.
Kwa nafasi yako, unapaswa kuwa mshauri bora kwa chama chako na kwa nchi yako kama alivyokuwa Hayati Mwalimu Nyerere baada ya kustaafu ambapo alikuwa anashauri na kukemea hata hadharani inapobidi.
Nimemaliza.
Familia ile ina uroho hatari. Baba anakula pensheni na marupurupu ya kila aina. Mke wake ni mbunge. Kama hiyo haitoshi akapeleka muswada bungeni wenza wa viongozi walipwe mafao sawa na wake/waume zao waliostaafu. Muswada ukapitishwa na sasa analipwa mamilioni kila mwezi pamoja na hela zake za ubunge. Mtoto naye ni mbunge na waziri; na anaandaliwa kuwa rais ajaye.
Siku akianguka watu wengi wanaoipenda nchi hii watashangilia sana maana angalau kutakuwa na matumaini kwa Tanganyika na watu wake. Sema tu wema huwa hawafi!
Kama Hujui kuchanganua mambo unawezasema ni fitna.Hii fitna yenu mliyoikazania haina mashiko, acheni kueneza chuki,inawaumiza wenyewe
Mzee anajitoa ufahamu akizomewa yeye anakenua tu kama zuzu.muda si mrefu tutamzomea
Tangu lini alifanyaga vizuri ??! 😳Kwa hiyo wewe unaona anafanya vizuri?
Haitakiwi kuishia kuzomewa, iende hatua nyingineNaomba nikwambie kuwa ukiendelea na hii tabia yako ya kupuuza maoni na matakwa ya wengi, kuna siku utakuja kupingwa kwa kuzomewa hadharani na heshima yako itashuka vibaya sana.
Mwaka 2015 ulipindua matakwa ya wanachama wenzako kwa kumpiga chini Marehemu Mzee wa watu na safari hii unafanya yale yale kwa kuwaletea wenzako mgombea wasie mtaka(asietakiwa na wengi) huku ukikiri wazi kuwa unakosea(kumbuka kukosea ni kukosea tu na hakuna kukosea kidogo kama ulivyosema).
Mzee wangui, tambua unaheshimiwa kwa nafasi kubwa uliowahi kushika katika hii nchi na si vinginevyo. Usipojirekebisha,, watu hawataendelea kukuvumilia na kuna siku utazomewa iwe ni ukumbini au katika eneo la wazi.
Kwa nafasi yako, unapaswa kuwa mshauri bora kwa chama chako na kwa nchi yako kama alivyokuwa Hayati Mwalimu Nyerere baada ya kustaafu ambapo alikuwa anashauri na kukemea hata hadharani inapobidi.
Nimemaliza.
this time hatacheka...ataliaMzee anajitoa ufahamu akizomewa yeye anakenua tu kama zuzu.
Acha tu!Naomba nikwambie kuwa ukiendelea na hii tabia yako ya kupuuza maoni na matakwa ya wengi, kuna siku utakuja kupingwa kwa kuzomewa hadharani na heshima yako itashuka vibaya sana.
Mwaka 2015 ulipindua matakwa ya wanachama wenzako kwa kumpiga chini Marehemu Mzee wa watu na safari hii unafanya yale yale kwa kuwaletea wenzako mgombea wasie mtaka(asietakiwa na wengi) huku ukikiri wazi kuwa unakosea(kumbuka kukosea ni kukosea tu na hakuna kukosea kidogo kama ulivyosema).
Mzee wangui, tambua unaheshimiwa kwa nafasi kubwa uliowahi kushika katika hii nchi na si vinginevyo. Usipojirekebisha,, watu hawataendelea kukuvumilia na kuna siku utazomewa iwe ni ukumbini au katika eneo la wazi.
Kwa nafasi yako, unapaswa kuwa mshauri bora kwa chama chako na kwa nchi yako kama alivyokuwa Hayati Mwalimu Nyerere baada ya kustaafu ambapo alikuwa anashauri na kukemea hata hadharani inapobidi.
Nimemaliza.
Mi hofu yangu ni kwa wote wanrithi wa jina lake, yaani hata sasa ikilitaja jina unaona kama a 👹 monster vile limechafuka!kikwete anajiona kayapatia sana, subr Dawa yake inakuja hila na uwovu wake utamrudia kichwani pake
Weka hapa clip walau 3naongea kwa ushahidi jinsi huyo mama kwa masikio yangu mwenyewe akichangia mambo ya maendeleo ya jimbo lake
upimwe akili umemshindwa mwenyewe usitujumlishe soteTusisahau pia JK alidondoka pale Jangwani jukwaani kwenye kampeni, ilikuwa ni uchovu tu wazee wanajua hili.
Pale Mwanza Chizi alipanda jukwaani, haijulikani shida ilikuwa ni nini.
1995 - Mbele ya Mwalimu Julius Kambarage pale Chimwaga kijana akiwa very young alitema speech ambayo ilibidi Mzee Mwalimu Kambarage amkumbatie kijana wake.
Nani katika nchi hii katika umri wa JK mbele ya wazee akina Nyerere, Malecela, Msekwa, Msuya nk angeweza kuwa na uthubutu wakugombea Urais na kutingisha Dodoma namna ile?..
2005 - Pale Chimwaga Wazee wanasema RAIS ni SAS, BWM anaambiwa ukimkata dogo CCM inaishia hapa na kusambaratika., BWM anamezaa ndoano, JK anakuwa Rais.
2025 - JK anaambiwa ukimkata EL, CCM inasambaratika na kufa hapa, JK anamkata EL na JPM anakuwa Rais na CCM bado ipo.
Mambo ya JK tumuachie mwenyewe na Mwenyezi Mungu, sisi tumeshamshindwa.
Safarini Rostov - Russia.
Mzee gani mhuni tu huyo!Msimseme vibaya Mzee wetu
upimwe akili umemshindwa mwenyewe usitujumlishe sote
Jiwe alimpa ubunge wa bure, baadaye akanogewaMi kinachoniuma mkewe hajawahi kuwa na constructive ideas kila akiongea anatoa boko... mapenzi tu anayawazia sijui aliingiaje bungeni😭😇😏