Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,978
- 285,474
Wala si muda mrefu
Kama wewe ni wa zamani kuna kijitabu fulani cha hadithi cha shule ya msingi, kuna watu watatu waliojificha.....mmoja akasemaNilitaka kusema HANA AKILI ila nimeona nimstahi.
Hahahaa.Kama wewe ni wa zamani kuna kijitabu fulani cha hadithi cha shule ya msingi, kuna watu watatu waliojificha.....mmoja akasema
.....mbona wewe unakanyaka watu kama majani
.....Mbona wewe unasema......
......Heri mimi sijasema.....
Mimi nashangaa sana Kumuona Mzee wetu kwenye High tables za Government functions, Duniani kote Marais wastaafu huwa wanakaa Pembeni kupisha Rais aliyepo atawale vizuri Yani they just stay quite lakini Ndugu yetu msoga ilo kwake limekuwa Gumu kabisa
Uyu mzee shida sijui nini, wazee wenzake wametulia , au anajipa umuhimu sana kisa amabaki peke yake kama Rais mstaafu? kwenye nchi kila mzee mstaafu yupo na umuhimu wake by the way wenda wazee kama mzee Warioba, Butiku n.k ndio hawakuwahi kuwa marais ila tujapo kwenye kuijua hii nchi mzee Msoga wenda cha Mtoto.Naomba nikwambie kuwa ukiendelea na hii tabia yako ya kupuuza maoni na matakwa ya wengi, kuna siku utakuja kupingwa kwa kuzomewa hadharani na heshima yako itashuka vibaya sana.
Mwaka 2015 ulipindua matakwa ya wanachama wenzako kwa kumpiga chini Marehemu Mzee wa watu na safari hii unafanya yale yale kwa kuwaletea wenzako mgombea wasie mtaka(asietakiwa na wengi) huku ukikiri wazi kuwa unakosea(kumbuka kukosea ni kukosea tu na hakuna kukosea kidogo kama ulivyosema).
Mzee wangui, tambua unaheshimiwa kwa nafasi kubwa uliowahi kushika katika hii nchi na si vinginevyo. Usipojirekebisha,, watu hawataendelea kukuvumilia na kuna siku utazomewa iwe ni ukumbini au katika eneo la wazi.
Kwa nafasi yako, unapaswa kuwa mshauri bora kwa chama chako na kwa nchi yako kama alivyokuwa Hayati Mwalimu Nyerere baada ya kustaafu ambapo alikuwa anashauri na kukemea hata hadharani inapobidi.
Nimemaliza.
Huyu ndiye Mwasisi wa siasa za uchawa, kuteka na kuuaKikwete fitna kazianza zamani uchaguzi wa 2005 aliwahi kumfanyia fitina Salim Ahmed Salim aliyekuwa anagombea naye kuwa ni mwarabu hawezi kuwa rais
Nimehesabu alama hizi !!!!???? kwenye mwandiko wako, umehamaki Sana (too emotional)jipe muda wa kutafakari na kutumia ubongo wako kadri ya uliyojaliwa na MuumbaTangu lini maoni kama haya akayatia maanani ??!
Unamjua au unamsikia tu ?!!
Utasubiri sana !
NIMEMALIZA 😳 !
Huyo watanzania walisha mzomea tayari na wanamzomea kila siku,kwa sababu wanajua Hana Akili TIMAMU.Naomba nikwambie kuwa ukiendelea na hii tabia yako ya kupuuza maoni na matakwa ya wengi, kuna siku utakuja kupingwa kwa kuzomewa hadharani na heshima yako itashuka vibaya sana.
Mwaka 2015 ulipindua matakwa ya wanachama wenzako kwa kumpiga chini Marehemu Mzee wa watu na safari hii unafanya yale yale kwa kuwaletea wenzako mgombea wasie mtaka(asietakiwa na wengi) huku ukikiri wazi kuwa unakosea(kumbuka kukosea ni kukosea tu na hakuna kukosea kidogo kama ulivyosema).
Mzee wangui, tambua unaheshimiwa kwa nafasi kubwa uliowahi kushika katika hii nchi na si vinginevyo. Usipojirekebisha,, watu hawataendelea kukuvumilia na kuna siku utazomewa iwe ni ukumbini au katika eneo la wazi.
Kwa nafasi yako, unapaswa kuwa mshauri bora kwa chama chako na kwa nchi yako kama alivyokuwa Hayati Mwalimu Nyerere baada ya kustaafu ambapo alikuwa anashauri na kukemea hata hadharani inapobidi.
Nimemaliza.
Analikosea kivipi?..tamaa zenu za madaraka mnampaka kila mtu ubayaKama Hujui kuchanganua mambo unawezasema ni fitna.
Huyu mzee analikosea Sana Taifa,Bora angeenda yeye Ben akabaki.
Nuksi kivipi?Wewe mtoto mdogo huwezi kuelewa haya mambo. Huyo mzee ni nuksi kweli kweli.
Upepo wa kisasa ni kitu cha ajabu sana.Naomba nikwambie kuwa ukiendelea na hii tabia yako ya kupuuza maoni na matakwa ya wengi, kuna siku utakuja kupingwa kwa kuzomewa hadharani na heshima yako itashuka vibaya sana.
Mwaka 2015 ulipindua matakwa ya wanachama wenzako kwa kumpiga chini Marehemu Mzee wa watu na safari hii unafanya yale yale kwa kuwaletea wenzako mgombea wasie mtaka(asietakiwa na wengi) huku ukikiri wazi kuwa unakosea(kumbuka kukosea ni kukosea tu na hakuna kukosea kidogo kama ulivyosema).
Mzee wangui, tambua unaheshimiwa kwa nafasi kubwa uliowahi kushika katika hii nchi na si vinginevyo. Usipojirekebisha,, watu hawataendelea kukuvumilia na kuna siku utazomewa iwe ni ukumbini au katika eneo la wazi.
Kwa nafasi yako, unapaswa kuwa mshauri bora kwa chama chako na kwa nchi yako kama alivyokuwa Hayati Mwalimu Nyerere baada ya kustaafu ambapo alikuwa anashauri na kukemea hata hadharani inapobidi.
Nimemaliza.
Usisahau mwaka 2015 alilazimisha kumpitisha mgombea wake pendwa Membe lkn wazee na idara za usalama zikamuwekea ngumu na akachemka siasa za Kikwete zimebebwa na kinga ya udini na makundi ya kimafia yanayolinda ufisadi wake..Tusisahau pia JK alidondoka pale Jangwani jukwaani kwenye kampeni, ilikuwa ni uchovu tu wazee wanajua hili.
Pale Mwanza Chizi alipanda jukwaani, haijulikani shida ilikuwa ni nini.
1995 - Mbele ya Mwalimu Julius Kambarage pale Chimwaga kijana akiwa very young alitema speech ambayo ilibidi Mzee Mwalimu Kambarage amkumbatie kijana wake.
Nani katika nchi hii katika umri wa JK mbele ya wazee akina Nyerere, Malecela, Msekwa, Msuya nk angeweza kuwa na uthubutu wakugombea Urais na kutingisha Dodoma namna ile?..
2005 - Pale Chimwaga Wazee wanasema RAIS ni SAS, BWM anaambiwa ukimkata dogo CCM inaishia hapa na kusambaratika., BWM anamezaa ndoano, JK anakuwa Rais.
2025 - JK anaambiwa uk.
Safarini Rostov - Russia.
Mwaka huu tutasikia mengi. Mi sio CCM ila mingine kinehe.Naomba nikwambie kuwa ukiendelea na hii tabia yako ya kupuuza maoni na matakwa ya wengi, kuna siku utakuja kupingwa kwa kuzomewa hadharani na heshima yako itashuka vibaya sana.
Mwaka 2015 ulipindua matakwa ya wanachama wenzako kwa kumpiga chini Marehemu Mzee wa watu na safari hii unafanya yale yale kwa kuwaletea wenzako mgombea wasie mtaka(asietakiwa na wengi) huku ukikiri wazi kuwa unakosea(kumbuka kukosea ni kukosea tu na hakuna kukosea kidogo kama ulivyosema).
Mzee wangui, tambua unaheshimiwa kwa nafasi kubwa uliowahi kushika katika hii nchi na si vinginevyo. Usipojirekebisha,, watu hawataendelea kukuvumilia na kuna siku utazomewa iwe ni ukumbini au katika eneo la wazi.
Kwa nafasi yako, unapaswa kuwa mshauri bora kwa chama chako na kwa nchi yako kama alivyokuwa Hayati Mwalimu Nyerere baada ya kustaafu ambapo alikuwa anashauri na kukemea hata hadharani inapobidi.
Nimemaliza.
NI udhaifu wa Ma-CCM wenyewe. Mbona CHADEMA waliweza kumpiga chini Mbowe!Tusisahau pia JK alidondoka pale Jangwani jukwaani kwenye kampeni, ilikuwa ni uchovu tu wazee wanajua hili.
Pale Mwanza Chizi alipanda jukwaani, haijulikani shida ilikuwa ni nini.
1995 - Mbele ya Mwalimu Julius Kambarage pale Chimwaga kijana akiwa very young alitema speech ambayo ilibidi Mzee Mwalimu Kambarage amkumbatie kijana wake.
Nani katika nchi hii katika umri wa JK mbele ya wazee akina Nyerere, Malecela, Msekwa, Msuya nk angeweza kuwa na uthubutu wakugombea Urais na kutingisha Dodoma namna ile?..
2005 - Pale Chimwaga Wazee wanasema RAIS ni SAS, BWM anaambiwa ukimkata dogo CCM inaishia hapa na kusambaratika., BWM anamezaa ndoano, JK anakuwa Rais.
2025 - JK anaambiwa ukimkata EL, CCM inasambaratika na kufa hapa, JK anamkata EL na JPM anakuwa Rais na CCM bado ipo.
Mambo ya JK tumuachie mwenyewe na Mwenyezi Mungu, sisi tumeshamshindwa.
Safarini Rostov - Russia.
Hili lipo Wazi kabisa!!Naomba nikwambie kuwa ukiendelea na hii tabia yako ya kupuuza maoni na matakwa ya wengi, kuna siku utakuja kupingwa kwa kuzomewa hadharani na heshima yako itashuka vibaya sana.
Mwaka 2015 ulipindua matakwa ya wanachama wenzako kwa kumpiga chini Marehemu Mzee wa watu na safari hii unafanya yale yale kwa kuwaletea wenzako mgombea wasie mtaka(asietakiwa na wengi) huku ukikiri wazi kuwa unakosea(kumbuka kukosea ni kukosea tu na hakuna kukosea kidogo kama ulivyosema).
Mzee wangui, tambua unaheshimiwa kwa nafasi kubwa uliowahi kushika katika hii nchi na si vinginevyo. Usipojirekebisha,, watu hawataendelea kukuvumilia na kuna siku utazomewa iwe ni ukumbini au katika eneo la wazi.
Kwa nafasi yako, unapaswa kuwa mshauri bora kwa chama chako na kwa nchi yako kama alivyokuwa Hayati Mwalimu Nyerere baada ya kustaafu ambapo alikuwa anashauri na kukemea hata hadharani inapobidi.
Nimemaliza.
Alafu kazeeka balaa ,msimuone kwenye TV, sivyo alivyo ana pesa ila kachoka ,mambo ya Mungu haya , jk ni mkuu wa chuo cha Udsm , miaka 2 iliyopita nilimuona pale mlimani city akiwaapisha ,Dr's kutoka chuo cha udsm mbeya ,cuppas ya mbeya , nilikuepo maana mdogo wangu alihitim pale , nilivyomuona sio nimuonavyo kwenye matv kachoka sana ,sijui kwa sasa ,wenda ni balaa tupuHuyu ndiye Mwasisi wa siasa za uchawa, kuteka na kuua