Tahadhari: Mzee wa Msoga kuna siku utazomewa

Ni upepo tu, utapita. Alisikika.
 
Marais na viongozi wastaafu wawe makini kuingia kwenye active politics itawachafua sana na kujisafisha inachukua muda. wametutumikia miaka 10 inatosha.
 
Naomba nikwambie kuwa ukiendelea na hii tabia yako ya kupuuza maoni na matakwa ya wengi, kuna siku utakuja kupingwa kwa kuzomewa hadharani na heshima yako itashuka vibaya sana.

Mwaka 2015 ulipindua matakwa ya wanachama wenzako kwa kumpiga chini Marehemu Mzee wa watu na safari hii unafanya yale yale kwa kuwaletea wenzako mgombea wasie mtaka(asietakiwa na wengi) huku ukikiri wazi kuwa unakosea(kumbuka kukosea ni kukosea tu na hakuna kukosea kidogo kama ulivyosema).

Mzee wangui, tambua unaheshimiwa kwa nafasi kubwa uliowahi kushika katika hii nchi na si vinginevyo. Usipojirekebisha,, watu hawataendelea kukuvumilia na kuna siku utazomewa iwe ni ukumbini au katika eneo la wazi.

Kwa nafsi yako, unapaswa kuwa mshauri bora kwa chama chako na kwa nchi yako kama alivyokuwa Hayati Mwalimu Nyerere baada ya kustaafu ambapo alikuwa anashauri na kukemea hata hadharani inapobidi.

Nimemaliza.
kwa ushahidi upi kwamba hayo mawazo yako ndio ya wengi? acha kulazimisha utakacho wewe ndio wengi watakacho
 
Sawa sawa Lizwan
mimi wala huo ukoo siujui,niko mbali sana nao ba hata wao hawanijui,na si hivyo tu mimi wanasiasa wa tanzania wote hawanijui maana sipendi siasa na ukizingatis historia yangu ya kuzaliwa na wazazi ambao wana utaifa tofauti,niko makini sana kuongea very objectively
 
Huyu JK ameshatushinda hatumuwezi tena labda tuanze kupambana na Riz 1 kabla naye hajawa too late.

JK inawezekana ni mjanja sana kuliko watanzania wooote au Mwenyezi Mungu kambariki tu kipaji fulani, historia yake toka mwanzo wa ukuaji wake inaonekana kabisa nuru ilimuwakia, KESI YAKE TUMUACHIE MWENYEZI MUNGU MWENYEWE, sisi ameshatushinda.

JK hakuwahi kumuweka ndani Mbowe, Lissu, Dr Slaa, wala Lipumba ila aliweza kukaa nao wote pale White house na chai wakanywa, uchaguzi ukapigwa na majimbo wapinzani wakapata wakaenda bungeni na kuzoza wakazoza.
Inaonekana ni scientist by nature, lakini pia ni town boy by nature ( he knows how to play the game and press the button).

At the end of the day, he is from Saigon aka Msaigoni nafikiri historia ya Saigoni inafahamika toka enzi zakina Sykes nk.

Safarini Rostov - Russia.
 
Naomba nikwambie kuwa ukiendelea na hii tabia yako ya kupuuza maoni na matakwa ya wengi, kuna siku utakuja kupingwa kwa kuzomewa hadharani na heshima yako itashuka vibaya sana.

Mwaka 2015 ulipindua matakwa ya wanachama wenzako kwa kumpiga chini Marehemu Mzee wa watu na safari hii unafanya yale yale kwa kuwaletea wenzako mgombea wasie mtaka(asietakiwa na wengi) huku ukikiri wazi kuwa unakosea(kumbuka kukosea ni kukosea tu na hakuna kukosea kidogo kama ulivyosema).

Mzee wangui, tambua unaheshimiwa kwa nafasi kubwa uliowahi kushika katika hii nchi na si vinginevyo. Usipojirekebisha,, watu hawataendelea kukuvumilia na kuna siku utazomewa iwe ni ukumbini au katika eneo la wazi.

Kwa nafsi yako, unapaswa kuwa mshauri bora kwa chama chako na kwa nchi yako kama alivyokuwa Hayati Mwalimu Nyerere baada ya kustaafu ambapo alikuwa anashauri na kukemea hata hadharani inapobidi.

Nimemaliza.
JIBU NI MOJA TU WAISLAMU WASIPEWE UONGOZI TUFANYE KAMA RWANDA WALIVYO FANYA KWA WAHUTU ...WAISLAMU SIYO WAZALENDO WAISLAMU AWANA AKILI YOYOTE NDIYO SABABU YA TZ KUBAKI HAPA ILIPO KWA SABABU RAISI MMOJA ANAKUJA KUJENGA NCHI KISHA ANAKUJA MPUMBAVU WA MASJID KUBOMOA
 
mimi wala huo ukoo siujui,niko mbali sana nao ba hata wao hawanijui,na si hivyo tu mimi wanasiasa wa tanzania wote hawanijui maana sipendi siasa na ukizingatis historia yangu ya kuzaliwa na wazazi ambao wana utaifa tofauti,niko makini sana kuongea very objectively
No reforms no election..sasa kama hupendi siasa unaongea usivyovijua gerahia
 
Back
Top Bottom