Daaah!! Jamaa umetisha nyoka wa kijani wanasikiliza muziki na maongezi?
Si kweli bana, msimu wa baridi ndiyo wanakuwa wengi maeneo ya makazi kwa kuwa wanakimbia baridi na umande porini wanakuja maeneo ya makazi baridi inakuwa imepungua!!
Ukikaa chini ya miti anakusogelea kupata joto lako na anaweza kulipata kwa umbali fulani!
Kutokudhuru ama kudhuru kwake ni kutokana na sumu. Wako sahihi.Huku kwetu wanaita kilamba tembo eti hawadhuru hawana shida binafsi naona nyoka ni nyoka haijalishi
This make sense.Daaah!! Jamaa umetisha nyoka wa kijani wanasikiliza muziki na maongezi?
Si kweli bana, msimu wa baridi ndiyo wanakuwa wengi maeneo ya makazi kwa kuwa wanakimbia baridi na umande porini wanakuja maeneo ya makazi baridi inakuwa imepungua!!
Ukikaa chini ya miti anakusogelea kupata joto lako na anaweza kulipata kwa umbali fulani!
Na wachuma kahawa wangegongwa sana na hawa nyoka kama wangekua na madhara.Huku kwetu wanaita kilamba tembo eti hawadhuru hawana shida binafsi naona nyoka ni nyoka haijalishi
Ukiwa Moshi Mjini usipende kukaa chini ya miti , kuna nyoka wengi sana wa kijani. Hata gari usipende kupack chini ya miti au kuacha vioo wazi.
Nyoka wa kijani ni wajinga sana. Wanapenda sana kusikiliza mziki au mazungumzo ambayo mnaongea. Utakuta ananing'inia karibu kabisa na mnpoongea halafu anatulia. Kama ikimpendeza utaona amenogewa na kusinzia kabisa. Mara paaaapu amekudondokea !
Ambao hulala chini ya miti hudondokewa sana na nyoka wa kijana. Puuu juu yakiwiliwili chako. Hapo sasa.
Miti mingi Moshi ukiwa makini kuangaza kwa juu, utaona nyoka wengi sanaaa.Rundo la nyoka.
Mmoja aliwahi kunidondokea. Nikapanick, nae akapanick , tukawa tunaangaliana tu.
Muwe makini sana.
Rudi tu kwenye lugha yetu, una maana "you are right"!your right.
Ha ha ha!Ukiwa Moshi Mjini usipende kukaa chini ya miti , kuna nyoka wengi sana wa kijani. Hata gari usipende kupack chini ya miti au kuacha vioo wazi.
Nyoka wa kijani ni wajinga sana. Wanapenda sana kusikiliza mziki au mazungumzo ambayo mnaongea. Utakuta ananing'inia karibu kabisa na mnpoongea halafu anatulia. Kama ikimpendeza utaona amenogewa na kusinzia kabisa. Mara paaaapu amekudondokea !
Ambao hulala chini ya miti hudondokewa sana na nyoka wa kijana. Puuu juu yakiwiliwili chako. Hapo sasa.
Miti mingi Moshi ukiwa makini kuangaza kwa juu, utaona nyoka wengi sanaaa.Rundo la nyoka.
Mmoja aliwahi kunidondokea. Nikapanick, nae akapanick , tukawa tunaangaliana tu.
Muwe makini sana.
hahaaa[emoji23][emoji23] we jamaaaUkiwa Moshi Mjini usipende kukaa chini ya miti , kuna nyoka wengi sana wa kijani. Hata gari usipende kupack chini ya miti au kuacha vioo wazi.
Nyoka wa kijani ni wajinga sana. Wanapenda sana kusikiliza mziki au mazungumzo ambayo mnaongea. Utakuta ananing'inia karibu kabisa na mnpoongea halafu anatulia. Kama ikimpendeza utaona amenogewa na kusinzia kabisa. Mara paaaapu amekudondokea !
Ambao hulala chini ya miti hudondokewa sana na nyoka wa kijana. Puuu juu yakiwiliwili chako. Hapo sasa.
Miti mingi Moshi ukiwa makini kuangaza kwa juu, utaona nyoka wengi sanaaa.Rundo la nyoka.
Mmoja aliwahi kunidondokea. Nikapanick, nae akapanick , tukawa tunaangaliana tu.
Muwe makini sana.
Anisogelee apate joto? Nyoka?? Hahahaha kitendo cha kuona tu mkia hilo eneo kwangu ni mwiko kusogeza miguu
You are in a process o a limiting your faculty of understanding. One size never fits all!Anisogelee apate joto? Nyoka?? Hahahaha kitendo cha kuona tu mkia hilo eneo kwangu ni mwiko kusogeza miguu
Hapa ni kibongo lakini siyo scientific.Namkumbuka sana maremu mama yangu miaka hiyo alikua akikuona unapenda kusikiliza mambo yasiyokuhusu anakwambia namnukuu " unairughumi tha nyoka ya bili" maana yake ni kwamba usipende kusikililiza mambo yasiyokuhusu kama nyoka wa kijani. Nisaidieni ndugu sake mama. Ila ni kweli nyoka hao ni wambea.
Unakuta wewe hufahamu sasa, anakuja tu around ulipo bila wewe kujua then anakula joto!!