balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,836
- 15,668
Kwahyo unaomba mzigo aseeNgoja niongee naye kwanza nimsikie.
Kwahyo unaomba mzigo aseeNgoja niongee naye kwanza nimsikie.
Sijui hata alipo, sina hamu naye[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi alipotelea wapi lkn!! Au kabadili id?
Sijamuona kitambo na yeyeHahahaaaa!! Kweli kabisa.
Hivi baba yako yuko wapi, hii sikukuu haioni!!
Hapana mkuu, nataka kumsimulia somo la mchungaji kwa mapana.utamlaje mwanamke ana mimba ya dune jingine. Mimi hapo huwa naona kichefuchefu.Kwahyo unaomba mzigo asee
Ila huyu mwanamke pamoja na kutetewa hapa, siyo mtu wa kawaida. AMEFUNGUKA KILA KITU CHAKE. AU LABDA VINGINE SIYO KWELI!Hapana mkuu, nataka kumsimulia somo la mchungaji kwa mapana.utamlaje mwanamke ana mimba ya dune jingine. Mimi hapo huwa naona kichefuchefu.
Kwa kweli kukurupuka ni kubaya. Na huu usasa wa siku hizi, mnakutana leo after 2 days ushahamia na zubeda zako maisha yanasonga na sex inawablind vibaya mno. Mnagundua hamuendani tayari una mimba, either uendelee tu for the sake of your child hadi mkioana "udumu" katika ndoa, au usepe na mimba yako ukaanze kuishi as a single parent, kitu ambacho sio rahisi sana. Kuachana tu na boyfriend nayeonana naye mara moja kwa mwezi ni shughuli, sembuse kuachana na mtu unayepika na kupakua naye for years?.Yes!
Na ndicho nachokisema hapa, kama unataka mahusiano ya kudumu acha kukurupuka ni utajuta!
Umeona mleta uzi? Ndani ya mda mfupi kashamove in... tena na mtu aliyeachana na mkewe!?...ni lazima yakukute yakukuta! Hujiulizi why yule kakimbia? Kuna mwanamke kirahisi rahisi anaiacha ndoa yake? Thubutu!
Kwa upande wangu sioni ubaya watu kukutana kwenye mitandao maana tunaishi kwenye ulimwengu wa teknolojia na sasa kila mtu yupo resi na maisha, kumsimamisha mtu na kuanza kumwaga cheche inahitaji muda wa kutosha sasa ndio uko wapi muda wenyewe....Halafu wanaishi kwa raha kweli!
Ila bora si wamekutana kitaa, fresh tofauti na JF[emoji23] [emoji23]
Fursa.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ayanda, hebu njoo pm nikuambie ya moyoni mwangu. The other day nilikuwa nasikiliza kipindi cha ndoa channel 10 kilichoendeshwa na mchungaji Mtimingi. Moja wapo wa sifa anayopaswa kuwa nayo mwanamke ni unyenyekevu. Kwa kusoma bandiko lako hili, nakuona kama wewe ni mke mnyenyekevu!!! What went wrong?
Well said!Pole sana na unayokabiliana nayo
Nadhani hukufanya homework yako vizuri
Ukijua mtu aliachana na mkewe au mumewe ni vizuri kujua tatizo ni nini lililowapelekea wawili hao kutengana
Jamaa hakuwa mkweli inaonekana ana tatizo
Ukaamua kuhamia kwenye nyumba ya mwanamke mwenzio aliyeachwa kwa sababu ambazo uliamini toka kwa mpenzi wako mpya.
Ulipaswa kukamilisha ujenzi wa nyumba yako hata kama ungehamia kwake angekuheshimu
Kwa nini kujiingizia madeni kwa ajili yake? Kumbuka nawe una watoto ulikuja nao hongera kwa kuongeza uhai mwingine.
It's never too late things might never change chukua maamuzi magumu. Upweke usikusukume kujiingiza kwenye miserable life. Mungu amekujalia watoto hao ndio faraja yako let the Mother Nature takes its role utampata yule atakayekupa faraja na kukupenda wewe na watoto wako na kuwajengea maisha bora na kuwafundisha upendo.
Ndo kitu kinachotusaidia wanawake tusife na presha, ukiwa na tatizo unaropoka tu kwa watu yanaisha. Tunaweza kumlaumu sijui anatoa siri za ndani, ila trust me that's a very big relief kwake, ameshusha bonge la mzigo. At first na mimi nilikuwa nashangaa unaanzaje kumsimulia stranger mambo yako, ila nashukuru Mungu now nimejifunza kuelewa wengine. Mahusiano yanaweza kukufanya ukawa chizi; unaongea alone barabaraniIla huyu mwanamke pamoja na kutetewa hapa, siyo mtu wa kawaida. AMEFUNGUKA KILA KITU CHAKE. AU LABDA VINGINE SIYO KWELI!
Ushauri wako nimeupenda sana maana umegusa uhalisia wa maisha ambavyo kila mmoja anapaswa kuuelewaKumlipia mtoto ada ni jambo jema lakini jikune unapofikia
Jipange upya si mwisho wa safari tunajifunza kutokana na makosa
Angalisho: it doesn't matter ulimpata wapi mpenzi wako iwe JF Kanisani Club Barabarani Harusini thru a Friend ni tabia ya mtu so usijilaumu kumpata kupitia JF ilikuwa ni kosa hapana ni tabia yake yeye sio wote walio ndani ya JF watafutao wapenzi wapo kana huyu. Lakini kushauri wengine ni jambo jema.
Najaribu kuunganisha dots za story yako, kwa mtazamo wangu naona kama unacheza na bongo zetu hapa, samahani lakini kama nitakukwaza ni mtazamo tu.yupo humu muda woteeeee sijui hata kama kazi anafanyaga ipasavyo maana ni addict wa JF kitu ambacho pia kinanikwaza mno...yani hapa si ajabu anasoma comments anasubiri kulianzisha home ha ha ha ha ha inabidi nicheke wallah si kwa chaka hili nililoingia.....yani maisha yake ni JF,Movie za kinigeria na sex mara 4 per day....yani kuna kipindi hata story tulikua hatuna. Kupigiwa simu nimeshasahau wakati zamani ilikua napigiwa simu hadi chaji inaisha lakini siku hizi wapiiiiii....mwanzoni nilijitahidi kuwa napiga badae nikaona upuuzi. Hata mwanzoni nilikua najitahidi naamka kumuandalia walau kasupu ka ndizi lakini kuna siku akaniambia yeye hana haja ya kupikiwa, yeye shida yake K.u.M.a TU! Basi na mie nikaacha, jana akawa analalamika simjali kama kala au lah! Lugha ya mapenzi hana halafu anategema nimfulie Boxers zake! siku hizi naziangalia tu
Vipi kama jamaa aliyasoma hapa akamvunja taya jana usiku, sijamuona ayanda humu hadi muda huu.Na alisema jamaa anaishi jf sebuleni.Ndo kitu kinachotusaidia wanawake tusife na presha, ukiwa na tatizo unaropoka tu kwa watu yanaisha. Tunaweza kumlaumu sijui anatoa siri za ndani, ila trust me that's a very big relief kwake, ameshusha bonge la mzigo. At first na mimi nilikuwa nashangaa unaanzaje kumsimulia stranger mambo yako, ila nashukuru Mungu now nimejifunza kuelewa wengine. Mahusiano yanaweza kukufanya ukawa chizi; unaongea alone barabarani
Haha watapelekana tu hospital jamani, ndo mahabaVipi kama jamaa aliyasoma hapa akamvunja taya jana usiku, sijamuona ayanda humu hadi muda huu.Na alisema jamaa anaishi jf sebuleni.
Acha woga wewe. Si tunakutana sehemu za wazi tena mchana.Wa mtandaoni/JF? Hell nouh!
Ata sijui.sijui ndo wanasema ndo ukubwaHivi ni kwanini mkuu?
Huwa najiuliza nikadhani pekeyangu! Yaan kupata raha/furaha ni kiduuchu mnoo to compare na shida
Hamu eeeeh!! [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Sijui hata alipo, sina hamu naye