TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

Yaani hapana kuchezea nature kabisa my dota, nature inajua sana kusumbua. Na kama umerithi kwa baba yako ndio[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Teh vyakurithi vinazidi. Mboga moja kila siku inachosha[emoji13] [emoji13]
 
Kwa hiyo huyu wa mtandaoni nikisubiri hadi nijue ndugu zake na yeye awajue wangu kutakuwa na shida? Still kumbe tatizo kuna stages za mahusiano tunaziruka, ndo maana; hatuna uvumilivu. Nafikiri hii inawahusu sana na wale team one night stand na dating for fun. Mtu mnakurupuana tu huko club hao mnaenda lodge, mnyongo utakuhusu.
We ngoja uje unyongwe, endelea tu!!
 
Haha haha, hata hiyo nzito, siku hizi wanataka kamoja tuu kakulalia tena ijumaa usiku. Anapumzika hadi jumatatu. Utaweza na usiku usimsumbue alale fofofo, maana siku hizi ni starehe. Hivi ile falsafa ya kulala na nguo hamna maana yake ni nini?
Ngoja niongee naye kwanza nimsikie.
 
Kwa hiyo huyu wa mtandaoni nikisubiri hadi nijue ndugu zake na yeye awajue wangu kutakuwa na shida? Still kumbe tatizo kuna stages za mahusiano tunaziruka, ndo maana; hatuna uvumilivu. Nafikiri hii inawahusu sana na wale team one night stand na dating for fun. Mtu mnakurupuana tu huko club hao mnaenda lodge, mnyongo utakuhusu.
Yes!

Na ndicho nachokisema hapa, kama unataka mahusiano ya kudumu acha kukurupuka ni utajuta!

Umeona mleta uzi? Ndani ya mda mfupi kashamove in... tena na mtu aliyeachana na mkewe!?...ni lazima yakukute yakukuta! Hujiulizi why yule kakimbia? Kuna mwanamke kirahisi rahisi anaiacha ndoa yake? Thubutu!
 
Back
Top Bottom