- Thread starter
- #121
Pole sana na unayokabiliana nayo
Nadhani hukufanya homework yako vizuri
Ukijua mtu aliachana na mkewe au mumewe ni vizuri kujua tatizo ni nini lililowapelekea wawili hao kutengana
Jamaa hakuwa mkweli inaonekana ana tatizo
Ukaamua kuhamia kwenye nyumba ya mwanamke mwenzio aliyeachwa kwa sababu ambazo uliamini toka kwa mpenzi wako mpya.
Ulipaswa kukamilisha ujenzi wa nyumba yako hata kama ungehamia kwake angekuheshimu
Kwa nini kujiingizia madeni kwa ajili yake? Kumbuka nawe una watoto ulikuja nao hongera kwa kuongeza uhai mwingine.
It's never too late things might never change chukua maamuzi magumu. Upweke usikusukume kujiingiza kwenye miserable life. Mungu amekujalia watoto hao ndio faraja yako let the Mother Nature takes its role utampata yule atakayekupa faraja na kukupenda wewe na watoto wako na kuwajengea maisha bora na kuwafundisha upendo.
Thank you dear...ofkoz kuhamia kwake nilikua nasita mno but aliningangania mno yani nilijaribu kweli kulikwepa but alibana hadi penalty.
Kuhusu kumsaidia ada sikuona shida maana watoto wangu hawana shida na ada maana wanalipiwa na mfuko flani wa hifadhi ya jamii. Kwahiyo sina stress na ishu ya ada na ndo maana sikuona shida kumsaidia lakini bado anasema nabagua watoto !Jamani