TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

Kwa kweli kukurupuka ni kubaya. Na huu usasa wa siku hizi, mnakutana leo after 2 days ushahamia na zubeda zako maisha yanasonga na sex inawablind vibaya mno. Mnagundua hamuendani tayari una mimba, either uendelee tu for the sake of your child hadi mkioana "udumu" katika ndoa, au usepe na mimba yako ukaanze kuishi as a single parent, kitu ambacho sio rahisi sana. Kuachana tu na boyfriend nayeonana naye mara moja kwa mwezi ni shughuli, sembuse kuachana na mtu unayepika na kupakua naye for years?.

Kwahiyo mnaonana kwa mwezi mara moja eeeh!!! Anakufaidi tu bila hata faida!!! [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]

Hivi huwa mnaona ugumu ganinkuachana!! Mimi mbona huwa sielewi kabisa!!
 
Kwa upande wangu sioni ubaya watu kukutana kwenye mitandao maana tunaishi kwenye ulimwengu wa teknolojia na sasa kila mtu yupo resi na maisha, kumsimamisha mtu na kuanza kumwaga cheche inahitaji muda wa kutosha sasa ndio uko wapi muda wenyewe....

Kwa JF sijui inakaaje lakini najua kuna dating sites kibao tu,
mchuchu wangu nilimpata kwenye moja ya sites na mpaka sasa tuna 5 yrs together,

Mitandao imenipatia marafiki wa kudumu (Most of my close friends tumetoana kwenye mitandao),
Mitandao imenipatia ndugu maana nina Ankos, madada, makaka, mama wa hiari na mdogo angu flan hivi chizi chizi ila zinaenda 3 yrs now, lol.

Huo ndio ushuhuda wangu kuhusu mitandao, naiheshimu sana pia naimani jinsi utakavyoitumia ndio itakavyokupeleka, kuna mengi ya kuangalia labda ni kipaji au ni umakini sijui ila mitandaoni unaweza kupata life partner kama Mungu amekujaalia kumpata.
Kumbe ndio maana!!
Wewe na Heaven Sent msubiri tu kunyongwa.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
My dia pole tena polee haswaa,.pamoja na pole hiyo sepa fasta kwa huyo muuaji usisubiri kupewa sifa ya ustrong woman go go goo plz do it...
 
Ndo kitu kinachotusaidia wanawake tusife na presha, ukiwa na tatizo unaropoka tu kwa watu yanaisha. Tunaweza kumlaumu sijui anatoa siri za ndani, ila trust me that's a very big relief kwake, ameshusha bonge la mzigo. At first na mimi nilikuwa nashangaa unaanzaje kumsimulia stranger mambo yako, ila nashukuru Mungu now nimejifunza kuelewa wengine. Mahusiano yanaweza kukufanya ukawa chizi; unaongea alone barabarani
Well said, tena kumbuka amefunguka wakati ambapo ana matatizo hivyo imemsaidia sana. Ni tofauti na yule anayeyatoa tu wakati wala hakuna shida. Alafu mbona humu wanaume ndio wanaongoza kwa kufunguka ila huwa hawalaumiani kufunguka, ila kafunguka mwanamke eti anaonekana wa ajabu!!!? Ayanda mimi nimemuelewa, hata ukifuatilia uandishi wake ni mtu ambae alikuwa kwenye stress, hivyo hii ni mojawapo ya therapy kwake.
 
Pole my dear, ondoka kwake haraka. Nenda kajipange upya coz uwezo was kuishi bila kutegemea mume unao.
 
.........sijutii mtoto as the matter of fact am happy with the pregnancy, na hicho pia ni kitu kinachonishangaza maana ingekua enzi zangu nishaitoa kitambo
😵😵😵😵

Tatizo unalo Binti, kumbe umeua sana enzi zako, for now PRICE U SHOULD PAY!
Kafanye sala ya toba!
 
Kwahiyo mnaonana kwa mwezi mara moja eeeh!!! Anakufaidi tu bila hata faida!!! [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]

Hivi huwa mnaona ugumu ganinkuachana!! Mimi mbona huwa sielewi kabisa!!
Haha faida gani?

Jikute tu mgumu.... ..
 
Well said, tena kumbuka amefunguka wakati ambapo ana matatizo hivyo imemsaidia sana. Ni tofauti na yule anayeyatoa tu wakati wala hakuna shida. Alafu mbona humu wanaume ndio wanaongoza kwa kufunguka ila huwa hawalaumiani kufunguka, ila kafunguka mwanamke eti anaonekana wa ajabu!!!? Ayanda mimi nimemuelewa, hata ukifuatilia uandishi wake ni mtu ambae alikuwa kwenye stress, hivyo hii ni mojawapo ya therapy kwake.

Kuongea ni therapy ya kwanza, hapo na akili ya kuchukua hatua ya 2 itakuwa imekuja sasa. Ndo maana wengine wanaishiaga kujinyonga au kudondoka kwa presha, no one to talk to
 
Back
Top Bottom