balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,836
- 15,668
Labda yupo humu. Ulizia kama Kuna yaliyomtokea Muhanga jana.Hahahaaa!! Jamaa si kagoma kujitokeza acha tumkaange.
Labda yupo humu. Ulizia kama Kuna yaliyomtokea Muhanga jana.Hahahaaa!! Jamaa si kagoma kujitokeza acha tumkaange.
Hahaa na kajua kutukomesha, hajitokezi ng'oooo. Ukute now wanabembelezana tu, hata kazini hawajaenda, sisi tunajaza mapovu tuHahahaaa!! Jamaa si kagoma kujitokeza acha tumkaange.
Ndiyo si anajua humjui na hata ndugu zenu hawajuani!Tatizo sio kukutana fb, Ila amekutana na jambazi. Ni sawa na RRONDO awe ni lijambazi, mkakutana mkatongozana mkaamua mkahuishe nafsi guest, ndo huko asikie una hela akunyonge. Mtu wa kumnyonga mwenzie utasema amepatia hiyo roho mbaya fb??
Hahahaaaaa!!! Sasa hivi jitahidi uniletee mkwe wa kwenye ndege,hawa wa kwenye bus nimewachoka.Haha hapa naomba treaty nyingine, chezea x-pozha
Hahahaaaaa! Mimi nitampa dozi ya 2/week kusudi asichelewe kazini.Unataka kumuomba mzigo wewe.Ngoja nije Nikukamate.
Sasa ndo nakuelewa.Baba yako tulikutana nyumbani kabisa.
Kumbe ndio maana!!!!!!!!!!!!
Kwahiyo dota una wachumba wangapi!! Maana umesema wengi tu,tukijumlisha wa kwenye bus na wa humu idadi inafika ngapi vile!!!
Hivi RRONDO ni omugambire omwisiki?Nshomile sio jambazi we jitose tu. Nasubiri mrejesho.
Hahahaaa!! Kaniudhi kweli, angejitokeza kama wale wa siku ile.Hahaa na kajua kutukomesha, hajitokezi ng'oooo. Ukute now wanabembelezana tu, hata kazini hawajaenda, sisi tunajaza mapovu tu
Yaani hapana kuchezea nature kabisa my dota, nature inajua sana kusumbua. Na kama umerithi kwa baba yako ndio[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Sasa ndo nakuelewa.
Me kwa kweli list sikumbuki wapo wangapi, nature inanisumbua, nimewapanga vizuri tu[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Naona umekutana na wenzio.Sijutii mimba hata maana niliitaka wala sijaipata kwa bahati mbaya.. hata yeye aliitaka pia. Najipanga niwe mwenyewe nikishajifungua, pesa nitadunduliza.. kuhusu kuchukua mkopo ili kulipa ada, sikufanya ili kumfurahisha niliona ni jambo jema maana mimi ndo nina gari ilikua rahisi kupata mkopo fasta kwa kuweka gari rehani.........sijutii mtoto as the matter of fact am happy with the pregnancy, na hicho pia ni kitu kinachonishangaza maana ingekua enzi zangu nishaitoa kitambo
Hahahhaaa!! Ni msukuma ila....Hivi RRONDO ni omugambire omwisiki?
Haha haha, hata hiyo nzito, siku hizi wanataka kamoja tuu kakulalia tena ijumaa usiku. Anapumzika hadi jumatatu. Utaweza na usiku usimsumbue alale fofofo, maana siku hizi ni starehe. Hivi ile falsafa ya kulala na nguo hamna maana yake ni nini?Hahahaaaaa! Mimi nitampa dozi ya 2/week kusudi asichelewe kazini.
Ila?.....matambo kama IWEHahahhaaa!! Ni msukuma ila....
Kwa hiyo huyu wa mtandaoni nikisubiri hadi nijue ndugu zake na yeye awajue wangu kutakuwa na shida? Still kumbe tatizo kuna stages za mahusiano tunaziruka, ndo maana; hatuna uvumilivu. Nafikiri hii inawahusu sana na wale team one night stand na dating for fun. Mtu mnakurupuana tu huko club hao mnaenda lodge, mnyongo utakuhusu.Ndiyo si anajua humjui na hata ndugu zenu hawajuani!
Yaan mitandaoni ni kama unaenda jitoa KAFARA!
Hao sina sana ushirikiano naoHahahaaaaa!!! Sasa hivi jitahidi uniletee mkwe wa kwenye ndege,hawa wa kwenye bus nimewachoka.
Wambea tumekomaHahahaaa!! Kaniudhi kweli, angejitokeza kama wale wa siku ile.
Acha tujaze povu siku ipite, na safari yangu inakua fupiii leo.
Hahahhaaaaa!!! Mimi sijasema hivyo. Heaven Sent njoo umuone wity balaa lake! [emoji85]Ila?.....matambo kama IWE