TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

Je mlipima UKIMWI au ulihamia kwake tu na kuanza kutoa papuchi ??

Tukiwapiga bao moja na kuanza kukoroma mnalalamika, tukipiga bao nyingi usiku na alfajiri pia mnalalamika!!!!

Nyie viumbe mwatakani???
Sasa wewe kila siku mara tatu ni kukomoana au!!! [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Subiri kwanza yatukute nasi tuje tutoe ushuhuda jamani.
Nawaona tu mnanyatiana [emoji3] [emoji3] [emoji3] alafu yakikukuta unitag manake utatumia ID mpya .
Kuna ' miss natafuta ' yeye anasema tusimtishe na thead kama hii.
 
Sasa wewe kila siku mara tatu ni kukomoana au!!! [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hivi mara tatu anamaana bao tatu au asubuhi mbili, mchana tatu, usiku tatu?!!
 
Atakuwa na wangapi mpaka akimpata amtakaye?
kwa hiyo avumilie kipigo, matusi, kuliwa hela zake na kitombo kikali daily? najenga taswira angekuwa dada yangu...hana raha hapo
 
Ushauri wangu,usitarajie kupata mtu ambaye yuko perfect kama unavyotaka,mtengeneze wewe mwenyewe,ukikuta mtu anatabia unazozitaka wewe ametengenezwa na mtu.Standards dont just emerge they are created doll.Mtengeneze hadi awe vile unavyotaka,kama hasikii give him a break rudi kapange akiona anakuhitaji atakuambia.Usimpe notice jipange vizuri then siku moja jioni mwambie nahama naona this is not working out,tupeane break,hata akisisitiza ubaki mwambie no na simamia maamuzi yako,then time will tell.Ukienda kwa mwanaume mwingine utakuta matatizo ambayo siyo hayo ila utakuta mengine.
 
Nawaona tu mnanyatiana [emoji3] [emoji3] [emoji3] alafu yakikukuta unitag manake utatumia ID mpya .
Kuna ' miss natafuta ' yeye anasema tusimtishe na thead kama hii.
Yaani likinikuta la kunikuta nakuja na id hii hii kutoa ushuhuda. Usijali nitakutag.
Hata Heaven Sent amesema hatishiki. Sijui anaplan kumove in wapi huko[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Hivi mara tatu anamaana bao tatu au asubuhi mbili, mchana tatu, usiku tatu?!!
ayanda hebu kuja uweke sawa hii ratiba.
Ila hata kama ni kimoja tu ila mara tatu kwa siku ni balaa hilo. Amtafutie hata shamba akalime awe busy.
 
kwa hiyo avumilie kipigo, matusi, kuliwa hela zake na kitombo kikali daily? najenga taswira angekuwa dada yangu...hana raha hapo
Ni kweli hana raha lakini ajaribu kuongea naye.Ana watoto wawili wa baba mwingine na hujui inawezekana wa baba wengine,then ana mimba akifika huko kwingine atapachikwa mwingine je atakuwa amepata faida gani?
 
Back
Top Bottom