witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,830
- 47,772
Wee unajiita Ekyoma/ chuma sasa mdada mlaini utampataje?[emoji23]Mbona mm mwanamke wa hivi simpati
Wee unajiita Ekyoma/ chuma sasa mdada mlaini utampataje?[emoji23]Mbona mm mwanamke wa hivi simpati
Tatizo sio kukutana fb, Ila amekutana na jambazi. Ni sawa na RRONDO awe ni lijambazi, mkakutana mkatongozana mkaamua mkahuishe nafsi guest, ndo huko asikie una hela akunyonge. Mtu wa kumnyonga mwenzie utasema amepatia hiyo roho mbaya fb??Kuna mdada pale africasana kanyongwa guest na mkaka waliyekutana FB!
Mnakutana kwenye bus!!! [emoji33][emoji33][emoji33] sasa huyo ana tofauti gani na wa kwenye mtandao!!Kwani wa humu back ground yake unairun jf au huko huko nje? Unless ni mtu ambaye unafahamiana toka kitambo, ila mtu wa kukutana naye tu kwenye bus, background yake unaijua instantly? Hivi ushawahi simuliwa mtu amedate na mwanaume for years ndo anakuja kugundua kuwa ameoa kitambo, alishindwaje kurun his background na wakati wamekutana nje? (Utumie tu wito wako kunielewesha leo puliiiz ma)
Nshomile sio jambazi we jitose tu. Nasubiri mrejesho.Tatizo sio kukutana fb, Ila amekutana na jambazi. Ni sawa na RRONDO awe ni lijambazi, mkakutana mkatongozana mkaamua mkahuishe nafsi guest, ndo huko asikie una hela akunyonge. Mtu wa kumnyonga mwenzie utasema amepatia hiyo roho mbaya fb??
Sana...wa kitaa mi nitakupeleleza hadi nijue ishu zako zote!Yaani hadi mje mfahamiane vizuri itakuchukua mlongo mzima aisee. Bora huku kurun back ground inakuwa rahisi kidogo.
Unakimbia sukari tamu mdomoni tena? Ooh get one for 24 hours dosage, u won't regret it!Khaaaaah!! Ile ya kukutana mara moja kwa mwaka tu mtu unatamani kukimbia nyumba sembuse hii ya kila siku kama dozi ya panadol!!! [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Nishajitosa, na sijanyongwa hahahhaNshomile sio jambazi we jitose tu. Nasubiri mrejesho.
Halafu wanaishi kwa raha kweli!Club billcanas.....
Ameongea sana story hii kwenye interviews zake.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Unakimbia sukari tamu mdomoni tena? Ooh get one for 24 hours dosage, u won't regret it!
ayanda, hebu njoo pm nikuambie ya moyoni mwangu. The other day nilikuwa nasikiliza kipindi cha ndoa channel 10 kilichoendeshwa na mchungaji Mtimingi. Moja wapo wa sifa anayopaswa kuwa nayo mwanamke ni unyenyekevu. Kwa kusoma bandiko lako hili, nakuona kama wewe ni mke mnyenyekevu!!! What went wrong?Salaam zenu bandugu.. Naandika uzi huu ili angalau nipunguze msongo wa mawazo maana naweza kupasuka kichwa...
Mimi ni mdada nina kazi yangu nzuri tu Alhamdulihah na niko na watoto wawili (usiiulize baba yao alipo hayakuhusu) mnamo mwaka jana 2016 mwezi wa tisa hivi nilipata mkaka humuhumu JF aliyekua anatafuta mwanamke.
Tukapanga tukaonana na kwa mujibu wake akanipenda na mimi nikaona si mbaya nikaridhia mawasiliano yakawa makubwa tu. Huyu mkaka aliachana na mkewe wa ndoa ingawa bado si rasmi legally.
Ana 2 watoto na mmoja anaishi nae mwingine yupo kwa mama yake. Akanisisitiza mno nihamie kwake na wanangu ili tuishi pamoja na kusaidiana life.
Nikaona ni jambo jema maana sikua na nyumba sababu bado najikongoja mno kwenye ujenzi... Nikahamia na wanangu na watoto walimpenda kweli yani maisha yalikua murua kwakweli.
At that time, nilikua na vihela vyangu kidogo nikamsaidia kulipa ada ya wanae ya term ya kwanza takriban laki saba unusu. Na yeye nikamsaidia kumlipia ada ya open university asome Law maana alikua hapendi degree yake aliyonayo nikamlipia semester ya kwanza laki 4 na sabini.
Akaanza chuo na amefaulu first year na anatakiwa awe second year mwaka huu. Matumizi ya ndani tunashare ananipa mshahara wake ingawa mdogo lakini nina hulka ya kushukuru.
Tatizo kubwa ni kunisimanga kuhusu nyumba yake yani its too much, na pia mtoto wake hata nimpemdaje haoni anadai nambagua yani kiukweli huyu mtoto age 14 simbagui, kila nacholeta nagawa mara 3 sijawahi kumkaripia wala kumpiga wala kumgusa.
Hata yeye mtoto hana shida na mimi tatizo ni baba yake. Jana nilienda nao saluni ili mwanangu anyoe, sasa ikawa bonge la bifu eti why na yeye wa kwake sijamnyoa. Kiukweli hakua na nywele mbaya.
Akarudi jioni amelewa na kunipiga juu huku akidai mkewe alikua better kwamba ameruka mkojo amekanyaga mavi na kama vipi nihame chumba nikalale na watoto.
Huyu anataka sex mara 3 kwa siku. Usiku mara 2 na asubuhi ya saa 12 mara moja hadi huwa nachelewa job. Yani sex yenyewe haoimbi, ananivuta tu, "lete **** " anaingiza kwa lazima. Yani sex ni daily.
Akishalewa ni kunitukana kuniita ****** na mpuuzi. Jamani huyu mtu nimetoka kuchukua loan ya laki 4 kumlipia mwanae anayesema nambagua.......
Kiukweli kama ni kuingizwa chaka basi mimi ni chaka bovu. Hapa nilipo nina mimba ya miezi 3 na kwakweli moyoni nimeshamkinia....mungu anitangulie kwenye mipango yangu ya kujikomboa kutoka kwenye huu utumwa.
Tuna mwaka mmoja na miezi kama miwili tangu tuanze mahusiano last year......
Jamani kina dada na kina kaka pia msikurupuke kwenye haya mambo! Go slowly, mimi nilikurupuka sababu ya upweke niliokua nao kipindi hicho.
Kumbe ndio maana!!!!!!!!!!! [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Nishajitosa, na sijanyongwa hahahha
Hahahaaa!! Jamaa si kagoma kujitokeza acha tumkaange.Mko biased Sana, sijawahi ona kesi ikaamuliwa Kwa kusikiliza upande mmoja.
Mnakutana kwenye bus!!! [emoji33][emoji33][emoji33] sasa huyo ana tofauti gani na wa kwenye mtandao!!
Dota uko vizuri. Dota kwani yule wako mmekutana mtandaoni nini[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Haitokuchukua muda sana kama wa huku as hamfahamiani kabisaaaaa. Na cases za hivyo kwa mtaani ni chache mnooooooo compared to mitandaoni.
Haha hapa naomba treaty nyingine, chezea x-pozhaLumbe ndio maana!!!!!!!!!!! [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Unataka kumuomba mzigo wewe.Ngoja nije Nikukamate.ayanda, hebu njoo pm nikuambie ya moyoni mwangu. The other day nilikuwa nasikiliza kipindi cha ndoa channel 10 kilichoendeshwa na mchungaji Mtimingi. Moja wapo wa sifa anayopaswa kuwa nayo mwanamke ni unyenyekevu. Kwa kusoma bandiko lako hili, nakuona kama wewe ni mke mnyenyekevu!!! What went wrong?
Baba yako tulikutana nyumbani kabisa.Eeeeh mama kwani baba mlikutana wapi? Does it mean all the time ulidate watu ambao mpo familiar kitaani/kazini? Me kwenye bus napataga wachumba wengi tu mbona, na hivi nasafiri sana[emoji13] [emoji13] , huku kitaa kwetu sijuanagi na wakaka aiseee.
Haha yule mkweo nimekutana naye humu humu. Basi me sioni tofauti as hata hao naokutana nao mtaani ni huwa hatufahamiani kabisa, total strangers. Kwenye kaurafiki ndo we get to know each other na mengineyo, mbona nina hatari ya kunyongwa hahaha.