Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,954
- 183,558
Amtafutie mashamba kisarawe huko akalime awe busy. Maana hana kazi inayomkeep busy ndio maana.Labda a lime lami.
Amtafutie mashamba kisarawe huko akalime awe busy. Maana hana kazi inayomkeep busy ndio maana.Labda a lime lami.
Yaani hadi mje mfahamiane vizuri itakuchukua mlongo mzima aisee. Bora huku kurun back ground inakuwa rahisi kidogo.Mi nasema tena...wanaume wa mitandaoni ni majanga!
Humjui na haujui background yake, na ukianza kuijua au kumjua ni too late kama mleta mada!
Hana KAZI? Umeisoma wapi hiyo? Ana KAZI na anasoma.Amtafutie mashamba kisarawe huko akalime awe busy. Maana hana kazi inayomkeep busy ndio maana.
Khaaaaah!! Ile ya kukutana mara moja kwa mwaka tu mtu unatamani kukimbia nyumba sembuse hii ya kila siku kama dozi ya panadol!!! [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Asubuhi na usiku kuna ubaya gani?!! Mtuvumilie tu wengine mnavutia sana!
Kama espy mlainiiiiiNilichojifunza mnaojidai 'wagumu' jukwaani ndio walaini,wapoleee sana!
Club billcanas.....Blue na wahida wamekutana bar?
Nimesema "HANA KAZI INAYOMKEEP BUSY" elewa hapo!!!Hana KAZI? Umeisoma wapi hiyo? Ana KAZI na anasoma.
Labda amtafutie sex toy.Nimesema "HANA KAZI INAYOMKEEP BUSY" elewa hapo!!!
Haha nishamove in kitambo, ndo siondoki hata akinifukuzaYaani likinikuta la kunikuta nakuja na id hii hii kutoa ushuhuda. Usijali nitakutag.
Hata Heaven Sent amesema hatishiki. Sijui anaplan kumove in wapi huko[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kwani wa humu back ground yake unairun jf au huko huko nje? Unless ni mtu ambaye unafahamiana toka kitambo, ila mtu wa kukutana naye tu kwenye bus, background yake unaijua instantly? Hivi ushawahi simuliwa mtu amedate na mwanaume for years ndo anakuja kugundua kuwa ameoa kitambo, alishindwaje kurun his background na wakati wamekutana nje? (Utumie tu wito wako kunielewesha leo puliiiz ma)Yaani hadi mje mfahamiane vizuri itakuchukua mlongo mzima aisee. Bora huku kurun back ground inakuwa rahisi kidogo.
Mfano?Nilichojifunza mnaojidai 'wagumu' jukwaani ndio walaini,wapoleee sana!
Haaa haaaSiwataji....wanaletaga ushuhuda wao hapa jukwaani!
Aaaah wewe tena!!!Haha nishamove in kitambo, ndo siondoki hata akinifukuza
Wa mtandaoni/JF? Hell nouh!Nilikuwa nakupigia mahesabu ila michango yako humu imenikatisha tamaa!