Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,374
Ungejua kwa nini mkewe kwa nini kambikia usingeingia chaka hilo
Mtaje tumshauri...tupe ID
Unajua tatizo lipo wapi espy?Hahahaa!! Kwakweli, yaani lazima kunakuwa kuna tatizo mahali tu.
Wewe kati ya wote ndo umeongea point,uko objective hujawa biased.Hongera sana.Naww ulishindwa kutumia busara tu kitendo cha kususa na kuondoka na mwanao haikuwa picha nzuri
Wote wawili mna matatizo kila mtu anamtunishia mwenzie misuli
Ndo itadumu kama wote wawili mnakutana kati sio kila mtu anataka kumzidi mwenzie
Mzembe wewe.moja ya vitu ambavyo siwezi kufanya maishani ni kumpiga mwanamke
Mzembe wewe.moja ya vitu ambavyo siwezi kufanya maishani ni kumpiga mwanamke
Mzembe wewe.moja ya vitu ambavyo siwezi kufanya maishani ni kumpiga mwanamke
Ili tukuchambeKo umekuja kuniripoti hapa ili iweje?
Duuuh!....ni mkurya huyo mngese?I THINK KUDAI PENZI KWA LUGHA YA KIHUNI NDO INANIPA SHIDA MNO KISAIKOLOJIA...UTASIKIA "Lete K.u.m.A nitombe"
sipendi kabisa yani
Mkinichamba mnaondoka na vipande au?Ili tukuchambe
Mkinichamba mnaondoka na vipande au?Ili tukuchambe
Mkinichamba mnaondoka na vipande au?Ili tukuchambe
Duuuh!....ni mkurya huyo mngese?
Sorry kama nitakukwaza but hapa nawe ulikosea usingemuacha mwanae ni aheri ungebaki saloon umsubiri anyoe mwende wote cause ulipomuacha mwanae ni dhahiri umeonyesha ubaguziYes nalala fofofo na pia I love my bed yani kulala kwangu ni starehe kubwa. Hivi ni sex gani mara 3 hadi 4 kwa usiku mmoja hadi kuchelewa job. Yani haniachii hata siku 2 basi japo mwili utengeneze n.y.e.g.e jamani? Kuhus mtoto kunyoa, ishu ilikua ni kwamba, nilikua naenda kumyoa mtoto wangu mdogo ambae alikua na kiduku na kilikua ovyo mno nilitaka kukiondoa, sasa wakti natoka housegal akaniambia hakuna viazi na ndizi, hivyo nikabeba buku 3 tu, 1 ya ndizi, 1 ya viazi na 1 ya kunyoa. Nikaona niende na gari, mwanae anapenda sana gari kwahiyo akainsist anataka kuja becoz tu apande gari sio kingine. Saluni tuliyoenda ipo karibu na bar ambayo huyu mwanaume alikua yupo pale anachek football. Tulivyofika pale dogo akaanza kunyoa na huyu mwanae akaenda toilet na mimi nikaenda kukaa na jamaa kaunta. Sasa basi gafla jamaa akamfuata dogo chooni then akarudi akakaa. Baada ya dakika 15 dogo akaja kuomba hela ya saluni kwamba nikampa buku 2 nikitegemea chenji ya buku. Nikanyanyuka kuingia saluni huyu mwanae ndo akaniambia, "Chenji haibaki, baba kasema na mimi ninyoe" The problem is, jamaa angeniambia mimi kama mtoto anyoe au na si kumwambia mtoto,na ni mara nyingi sana anawasiliana na mtoto instead of kupitia kwangu kwenye mambo ambayo ni ya idara yangu. Nikamwambia why asingeniambia mimi maana watoto nilienda nao mimi pale si yeye na mfukoni sina hela nyingine maana hiyo buku 2 ni viazi na ndizi....Basi ikawa bonge la bifuuuuuuu akanyanyuka akaenda kusimama kwingine na mimi nikaona isiwe tabu nikamchukua mwanangu nikasepa na gari huku mwanae akiwa anasubiri kunyoa.......Sikutaka ugomvi bar, maana akishapiga beer 2 tu huwa ni shida popote pale ni kichapo.
Kuhusu baba wa watoto wangu alshatangulia mbele ya haki
Mtaje,hayuko humu?HAPANA ILA WA KANDA YA KULE ZIWANI
Haya sasa!Sorry kama nitakukwaza but hapa nawe ulikosea usingemuacha mwanae ni aheri ungebaki saloon umsubiri anyoe mwende wote cause ulipomuacha mwanae ni dhahiri umeonyesha ubaguzi
Anatumia ID gani?ATAKUA KESHASOMA MAANA KILA BAADA YA DAKIKA 5 ANAFUNGUA JF ILI ACHANGIE MADA MBALIMBALI WHICH IS ALSO ANOTHER PROBLEM
Mtaje,hayuko humu?