uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,789
- 4,461
Pole sana .maisha ni mfululizo wa matatizo na chembe chembe ndogo za Furaha.kuzaa kabla ya ndoa hakujawahi muacha mtu salama
Na usivyo na moyo wa kupondekaMwenza mie tena!! Ushauri mubashara kabisa ni "kimbia usigeuke nyuma".
Moving in huwa haipo ktk misamiati yangu kabisa hata kama sina mtoto.Yaani kuna ya kuvumilia kwa kweli. Na siku nyingine wanawake wote pamoja na ayanda tujifunze. Sio kila mwanaume wa kumuamini na ku move in haraka,mbaya zaidi ukiwa na watoto. Maana muda mwingine inabidi uvumilie mateso kwa ajili ya watoto wako. Lazima kuwa makini kwa kweli
Alisema wanawake haina shida kabisa. Hakuna mwanamke mwenye tatizo. Ukiona mwanamke ana tatizo ujue mwanaune wake ndio tatizo.....na wanawake wanaotafuta wanaume mitandaoni, huyo mtu alitoa comments gani?
That's maturity darling. .And napenda sana watu wanaotake responsibility ya choices zao, mwingine hapa angeishia tu kumlaumu mwenzie; but you owned up your mistake. Kila la kheri mpenziNimependa ushauri wako yani wee lazima utakua mhenga mwenye hekima zake ful of positivity.... Sometimes sijilaumu mno wala sitaki nimlaumu becoz inawezekana both of us hatujamove on from our painfull past... inawezekana bado sijamaliza maumivu ya kumpoteza mume wangu na yeye hajamove on from his broken marriage. Bado tuna machungu mioyoni mwetu ingawa nikimwambia hilo huwa anakataa kabisa lakini kitendo cha yeye jana kuniambia kwamba his ex-wife was better imenistua na mimi pia najua wazi kabisa kuna vitu marehem alikua better. We need space from each other, hatujapona bado hata kama tunajiforce. Na infact sometimes nahisi tulikutana kipindi ambacho sote tulikua na machozi machoni kwa hiyo tukawa tunajaribu kutumia hii relationship kama handkerchief..
Uchumba wa Jamiiforums wa kipekee Sana...mnatafutana humu humu Na kesi zinaletwa humu humu kwa utatuziSalaam zenu bandugu.. Naandika uzi huu ili angalau nipunguze msongo wa mawazo maana naweza kupasuka kichwa...
Mimi ni mdada nina kazi yangu nzuri tu Alhamdulihah na niko na watoto wawili (usiiulize baba yao alipo hayakuhusu) mnamo mwaka jana 2016 mwezi wa tisa hivi nilipata mkaka humuhumu JF aliyekua anatafuta mwanamke.
Tukapanga tukaonana na kwa mujibu wake akanipenda na mimi nikaona si mbaya nikaridhia mawasiliano yakawa makubwa tu. Huyu mkaka aliachana na mkewe wa ndoa ingawa bado si rasmi legally.
Ana 2 watoto na mmoja anaishi nae mwingine yupo kwa mama yake. Akanisisitiza mno nihamie kwake na wanangu ili tuishi pamoja na kusaidiana life.
Nikaona ni jambo jema maana sikua na nyumba sababu bado najikongoja mno kwenye ujenzi... Nikahamia na wanangu na watoto walimpenda kweli yani maisha yalikua murua kwakweli.
At that time, nilikua na vihela vyangu kidogo nikamsaidia kulipa ada ya wanae ya term ya kwanza takriban laki saba unusu. Na yeye nikamsaidia kumlipia ada ya open university asome Law maana alikua hapendi degree yake aliyonayo nikamlipia semester ya kwanza laki 4 na sabini.
Akaanza chuo na amefaulu first year na anatakiwa awe second year mwaka huu. Matumizi ya ndani tunashare ananipa mshahara wake ingawa mdogo lakini nina hulka ya kushukuru.
Tatizo kubwa ni kunisimanga kuhusu nyumba yake yani its too much, na pia mtoto wake hata nimpemdaje haoni anadai nambagua yani kiukweli huyu mtoto age 14 simbagui, kila nacholeta nagawa mara 3 sijawahi kumkaripia wala kumpiga wala kumgusa.
Hata yeye mtoto hana shida na mimi tatizo ni baba yake. Jana nilienda nao saluni ili mwanangu anyoe, sasa ikawa bonge la bifu eti why na yeye wa kwake sijamnyoa. Kiukweli hakua na nywele mbaya.
Akarudi jioni amelewa na kunipiga juu huku akidai mkewe alikua better kwamba ameruka mkojo amekanyaga mavi na kama vipi nihame chumba nikalale na watoto.
Huyu anataka sex mara 3 kwa siku. Usiku mara 2 na asubuhi ya saa 12 mara moja hadi huwa nachelewa job. Yani sex yenyewe haoimbi, ananivuta tu, "lete **** " anaingiza kwa lazima. Yani sex ni daily.
Akishalewa ni kunitukana kuniita ****** na mpuuzi. Jamani huyu mtu nimetoka kuchukua loan ya laki 4 kumlipia mwanae anayesema nambagua.......
Kiukweli kama ni kuingizwa chaka basi mimi ni chaka bovu. Hapa nilipo nina mimba ya miezi 3 na kwakweli moyoni nimeshamkinia....mungu anitangulie kwenye mipango yangu ya kujikomboa kutoka kwenye huu utumwa.
Tuna mwaka mmoja na miezi kama miwili tangu tuanze mahusiano last year......
Jamani kina dada na kina kaka pia msikurupuke kwenye haya mambo! Go slowly, mimi nilikurupuka sababu ya upweke niliokua nao kipindi hicho.
Hili ni jipu my kaka.Ila sista nahisi jamaa yake ni wale wenye nguvu kibao za kiume, so anataka mara kwa mara. Au ni wale wa nguvu za kuvizia, so akichekewa tu ngoma inalala dolo.
Ila hapo kwenye masimango ya nyumba sijaelewa vizuri, ile kuambiwa akale chumba cha watoto au kusmbiwa ex-wake alikuwa much better kuliko yeye?
Ndio maana huwa hamna feed back nzuri aisee,ni majanga tu. Teh teh teeeeh!!Wee hujiulizi kotee huko akose kuanzia kitaa, kazini, kanisani, matembezini, barabarani, kwenye daladala....
Wanaotafuta wenzi humu wengi wanalia sana!
Sometimes kuwa "conservative" ni kuzuri na muhimu sana.Moving in huwa haipo ktk misamiati yangu kabisa hata kama sina mtoto.
Mbona ngekewa!! Ila magarasa ndio yamejaa. Kila feedback humu ni majanga tu.Unajua tatizo lipo wapi espy?
Ni hivi:
Huyo mwanaume/ mwanamke ni hamjuani, japo mapenzi humea popote ila mimi naamini mapenzi ni gradually stage!
Pili, kutokana hamfahamiani kila mmoja huficha makucha makali kwa mda mfupi, once utakapoingia kingi imekula kwako!
Mwisho,mitandaoni most of men/women wanachukulia ni sehemu ya residues, yaaan ni ushapigika huko ( hii mostly ni kwa wanawake sasa) umekuja kujifia kifo cha mende mtandaoni[emoji23] [emoji23] ....
NB: kuna baadhi japo wachache wanaume/ wanawake wazuri sana humu ila ukibahatika! ( na uwe na ngekewa kweli kweli)
Hujambo HS?Na usivyo na moyo wa kupondeka
Sijambo, shikamoo big sis. Miss you, how have you been?Hujambo HS?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na usivyo na moyo wa kupondeka
Sana aisee, unajiepusha na mabalaa ya kujitakia.Sometimes kuwa "conservative" ni kuzuri na muhimu sana.
Haha huo ndo upendo na moyo wa kupondeka mama. Amempenda mupenzi kama anavyoipenda nafsi yake, bahati mbaya ndo hivyo.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Si ndio bado nawaza hapa hiyo ada iliyolipwa roho inaniuma kweli kweli[emoji134] [emoji134]
Ayanda natamani ningekupata mimi wallah.WAPI NILIPOANDIKA NIMEZAA KABLA YA NDOA? UNADHANI MAMA YAKO ALIOLEWA NA BIKRA? NA ISHU YA KUZAA IMEINGIAJE HAPO? SIO KOSA LAKO UTAKUA BADO NI KIJANA WA MIAKA 25 AU 26 HUJUI UNACHOONGEA.
NAJUA UTAJIBU MATUSI MAANA NDO ZENU DESIGN HII
Haswaaa. Kuingia rahisi, kutoka sasaSana aisee, unajiepusha na mabalaa ya kujitakia.