TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

Pole sana dada kwa matatizo yako.
Ni vyema ungedadisi sababu za mwenzio kuondoka kwenye hiyo ndoa kabla ya kujiingiza kichwa kichwa.
Kumchunguza mwanaume au mwanamke kabla ya kufungamanishana naye ni jambo la msingi sana.
Kwa sasa jaribu kuangalia mustakabali wa maisha yako na weka mbele vipaumbele vyako kuhusu maisha yako na mwanao/wanao.
Mtu mzima huwa habadilishwi labda aamue mwenyewe.
Kikubwa ni usalama wako. Fanya maamuzi sahihi.
 
Daaah pole sana ayanda

1. Kama una ndugu wa karibu namaanisha kaka au dada mliozaliwa tumbo moja na huwa mnasaidiana ongea nao wakupunguzie mawazo. Kama una wazazi wa kukuzaa nenda nyumbani uwaombe radhi kwa kujipeleka kwa wanaume bila wao kutoa kibali hata kama umeshakuwa mkubwa. Yawezekana wazazi wako hawajafurahia na wanakinyongo nawe ndo maana unapatwa na haya masaibu.

2. Huyo mwanaume ni mfujaji ndo maana wakishindwa na na mkewe. Unajua mnapoishi wawili mnaishi vile mlivolelewa na wazazi wenu kitabia, sasa kama alipata malezi ya hovyo hawezi heshimu mwanamke na hana wema hata umtendee wema gani. Hapo nini ufanye na maamuzi gani uchukue kuhusu huyo mwanaume chekecha akili zako mwenyewe nimeshajaribu kukudadavulia kutokana na ulivotuelezea.

3. Kuhusu hiyo mimba, kama utaweza kulea mwenyewe hiyo mimba hadi mtoto maana yake kumgharamikia matibabu na shule basi Lea mimba uje uzee mwana, vinginevyo usije ukasubiri kuja kukitesa kiumbe kwanza aidha kwa kukitupa chooni au jalalani (bora ukitelekeze kanisani au msikitini au kwa masista kwenye watoto yatima). Nasema hivi maana ya natokea sana kama hayo na wanaofanya hivo wanakuwa na msongo mkubwa wa mawazo. Pia usije ukajikuta baada ya kujifungua huyo mtoto maisha yake yote ukawa unamchukia kutokana na baba yake kukutesa na kukufuja. Ujitahidi usije ukawabagua hao watoto hasa katika malezi utayowapa kutokana na wana baba tofauti. Nini ufanye kuhusu hiyo mimba chekecha akili zako za kuzaliwa mwenyewe maana nimeshakudadavulia kutokana na ulivyojielezea hapo juu.

3. Nyanyua wanao na nguo zako kapange nyumba au chumba ujipe likizo ya muda. Kwa lugha ya kigeni ningesema give him a space, get out of his house give yourself a leave out of his life for at least 3 to 6 months. That's an ample time to see if there's any importance for you two to keep on having a relationship. Halafu nimekumbuka, umesema kitu kuhusu sex he I'd doing you 3 times a day for 7 days..., inaonesha wewe hufurahii tendo la ndoa ni kuwa unatoa huduma ya sex. Ndo maana nikatangulia kusema huyo mwanaume anakufuja. Kwanza hata mahari hajakutolea..... natamani niongee mengi ila daaah nakosa wakati. Na chotara kukwambia hapa, unatakiwa na unahaki zote za kufurahia tendo la ndoa. Ingekuwa wale machangu sawa wao hawafurahii maana wanauza, sasa wewe hapo...... kama haja za kimwili hazitimilizwi...... go girl you are still beautiful. Na hata ukiwa unaishi mwenyewe na watoto pekeyake, you can date a man na enjoy sex bila kuhamia kwake wala yeye kuhamia kwako na bado mkaka life partners. Ni kujipanga kuamua na kuwa na msimamo yako.

4. Maadam ulisema ulimpata hapahapa JF natumai anasoma hapa, wewe kaka pambana na hali yako, simtetei huyu dada maana yaweza kuwa nae anamapungufu yake ndomaana hukuwezi ishia baba wa watoto wake. Kama mapenzi kati yenu yameisha acheni kutegeana na kufujana. Kila mtu achukue ustaarabu wake a sio kuanza kutiana ngeu.

Wish you all the beat in your decisions just NOTE: that, WE LIVE ONCE, HERE ON EARTH (WE ARE ALL NOT SURE AFTER LIFE IN DEATH) SO LIVE ONCE VIZURI AND WISELY. AND IF YOU LIVE ONCE VIZURI ONCE IS ENOUGH.

Kasie Matata.
Huyu mtu hata natural justice hapewi! Muulize ayanda am take hapa ili na yeye akuletee.Naona mawe yote anapigwa yeye.Ikibidi ayanda atutajie madhaifu yake.Wadada wa siku hizo shida sana.
Salaam zenu bandugu.. Naandika uzi huu ili angalau nipunguze msongo wa mawazo maana naweza kupasuka kichwa...

Mimi ni mdada nina kazi yangu nzuri tu Alhamdulihah na niko na watoto wawili (usiiulize baba yao alipo hayakuhusu) mnamo mwaka jana 2016 mwezi wa tisa hivi nilipata mkaka humuhumu JF aliyekua anatafuta mwanamke.

Tukapanga tukaonana na kwa mujibu wake akanipenda na mimi nikaona si mbaya nikaridhia mawasiliano yakawa makubwa tu. Huyu mkaka aliachana na mkewe wa ndoa ingawa bado si rasmi legally.

Ana 2 watoto na mmoja anaishi nae mwingine yupo kwa mama yake. Akanisisitiza mno nihamie kwake na wanangu ili tuishi pamoja na kusaidiana life.

Nikaona ni jambo jema maana sikua na nyumba sababu bado najikongoja mno kwenye ujenzi... Nikahamia na wanangu na watoto walimpenda kweli yani maisha yalikua murua kwakweli.

At that time, nilikua na vihela vyangu kidogo nikamsaidia kulipa ada ya wanae ya term ya kwanza takriban laki saba unusu. Na yeye nikamsaidia kumlipia ada ya open university asome Law maana alikua hapendi degree yake aliyonayo nikamlipia semester ya kwanza laki 4 na sabini.

Akaanza chuo na amefaulu first year na anatakiwa awe second year mwaka huu. Matumizi ya ndani tunashare ananipa mshahara wake ingawa mdogo lakini nina hulka ya kushukuru.

Tatizo kubwa ni kunisimanga kuhusu nyumba yake yani its too much, na pia mtoto wake hata nimpemdaje haoni anadai nambagua yani kiukweli huyu mtoto age 14 simbagui, kila nacholeta nagawa mara 3 sijawahi kumkaripia wala kumpiga wala kumgusa.

Hata yeye mtoto hana shida na mimi tatizo ni baba yake. Jana nilienda nao saluni ili mwanangu anyoe, sasa ikawa bonge la bifu eti why na yeye wa kwake sijamnyoa. Kiukweli hakua na nywele mbaya.

Akarudi jioni amelewa na kunipiga juu huku akidai mkewe alikua better kwamba ameruka mkojo amekanyaga mavi na kama vipi nihame chumba nikalale na watoto.

Huyu anataka sex mara 3 kwa siku. Usiku mara 2 na asubuhi ya saa 12 mara moja hadi huwa nachelewa job. Yani sex yenyewe haoimbi, ananivuta tu, "lete **** " anaingiza kwa lazima. Yani sex ni daily.

Akishalewa ni kunitukana kuniita ****** na mpuuzi. Jamani huyu mtu nimetoka kuchukua loan ya laki 4 kumlipia mwanae anayesema nambagua.......

Kiukweli kama ni kuingizwa chaka basi mimi ni chaka bovu. Hapa nilipo nina mimba ya miezi 3 na kwakweli moyoni nimeshamkinia....mungu anitangulie kwenye mipango yangu ya kujikomboa kutoka kwenye huu utumwa.

Tuna mwaka mmoja na miezi kama miwili tangu tuanze mahusiano last year......

Jamani kina dada na kina kaka pia msikurupuke kwenye haya mambo! Go slowly, mimi nilikurupuka sababu ya upweke niliokua nao kipindi hicho.
 
Choda ya baba tamuuuuuu
 
Cha msingi watafute viongozi wa dini waelezee then utajua wapi pa kuanzia humu utaishia kupata ushauri wa hasira tu
Kwani wakat anahamia kwa mwanaume viongozi wa dini walihusishwa? Hajasema kama wamefunga ndoa kwahiyo hapo apambane na hali yake
 
Pole bhana huyo jamaa hafai kuigwa na jamii though siyo mbaya nkiiga ratiba yake ya dozi usiku mara 2 asubuhi mara 1.....hatari sana
 
Daaah pole sana ayanda

1. Kama una ndugu wa karibu namaanisha kaka au dada mliozaliwa tumbo moja na huwa mnasaidiana ongea nao wakupunguzie mawazo. Kama una wazazi wa kukuzaa nenda nyumbani uwaombe radhi kwa kujipeleka kwa wanaume bila wao kutoa kibali hata kama umeshakuwa mkubwa. Yawezekana wazazi wako hawajafurahia na wanakinyongo nawe ndo maana unapatwa na haya masaibu.

2. Huyo mwanaume ni mfujaji ndo maana wakishindwa na na mkewe. Unajua mnapoishi wawili mnaishi vile mlivolelewa na wazazi wenu kitabia, sasa kama alipata malezi ya hovyo hawezi heshimu mwanamke na hana wema hata umtendee wema gani. Hapo nini ufanye na maamuzi gani uchukue kuhusu huyo mwanaume chekecha akili zako mwenyewe nimeshajaribu kukudadavulia kutokana na ulivotuelezea.

3. Kuhusu hiyo mimba, kama utaweza kulea mwenyewe hiyo mimba hadi mtoto maana yake kumgharamikia matibabu na shule basi Lea mimba uje uzee mwana, vinginevyo usije ukasubiri kuja kukitesa kiumbe kwanza aidha kwa kukitupa chooni au jalalani (bora ukitelekeze kanisani au msikitini au kwa masista kwenye watoto yatima). Nasema hivi maana ya natokea sana kama hayo na wanaofanya hivo wanakuwa na msongo mkubwa wa mawazo. Pia usije ukajikuta baada ya kujifungua huyo mtoto maisha yake yote ukawa unamchukia kutokana na baba yake kukutesa na kukufuja. Ujitahidi usije ukawabagua hao watoto hasa katika malezi utayowapa kutokana na wana baba tofauti. Nini ufanye kuhusu hiyo mimba chekecha akili zako za kuzaliwa mwenyewe maana nimeshakudadavulia kutokana na ulivyojielezea hapo juu.

4. Nyanyua wanao na nguo zako kapange nyumba au chumba ujipe likizo ya muda. Kwa lugha ya kigeni ningesema give him a space, get out of his house give yourself a leave out of his life for at least 3 to 6 months. That's an ample time to see if there's any importance for you two to keep on having a relationship. Halafu nimekumbuka, umesema kitu kuhusu sex he I'd doing you 3 times a day for 7 days..., inaonesha wewe hufurahii tendo la ndoa ni kuwa unatoa huduma ya sex. Ndo maana nikatangulia kusema huyo mwanaume anakufuja. Kwanza hata mahari hajakutolea..... natamani niongee mengi ila daaah nakosa wakati. Na chotara kukwambia hapa, unatakiwa na unahaki zote za kufurahia tendo la ndoa. Ingekuwa wale machangu sawa wao hawafurahii maana wanauza, sasa wewe hapo...... kama haja za kimwili hazitimilizwi...... go girl you are still beautiful. Na hata ukiwa unaishi mwenyewe na watoto pekeyake, you can date a man na enjoy sex bila kuhamia kwake wala yeye kuhamia kwako na bado mkaka life partners. Ni kujipanga kuamua na kuwa na msimamo yako.

5. Maadam ulisema ulimpata hapahapa JF natumai anasoma hapa, wewe kaka pambana na hali yako, simtetei huyu dada maana yaweza kuwa nae anamapungufu yake ndomaana hukuweza ishi na baba wa watoto wake. Kama mapenzi kati yenu yameisha acheni kutegeana na kufujana. Kila mtu achukue ustaarabu wake a sio kuanza kutiana ngeu.

Wish you all the beat in your decisions just NOTE: that, WE LIVE ONCE, HERE ON EARTH (WE ARE ALL NOT SURE AFTER LIFE IN DEATH) SO LIVE ONCE VIZURI AND WISELY. AND IF YOU LIVE ONCE VIZURI ONCE IS ENOUGH.

Kasie Matata.

THAMK YOU KASIE! ALL YOUR POINTS ARE NOTED AND APPRECIATED BUT ON POINT NUMBER 3, JUST BE SURE SIWEZI TUPA MTOTO POPOTE NA WALA HII IMBA HAINIPI STRESS. SIJUI WHY WATU MNADHANI MIMBA AU MTOTO NI PROBLEM. HATA NIKILEA MWANANGU PEKE YANGU IN FUTURE HAINA SHIDA MAANA HATA HAWA WAWILI NILIONAO NIMELEA MWENYEWE BAADA YA BABA YAO KUFA MBONA SIKUWATUPA. HATA HUYU PIA NITAMLEA MWENYEWE KWANZA NA YEYE NITAMCHUKULIA YATIMA KAMA WENZIE
 
Sijutii mimba hata maana niliitaka wala sijaipata kwa bahati mbaya.. hata yeye aliitaka pia. Najipanga niwe mwenyewe nikishajifungua, pesa nitadunduliza.. kuhusu kuchukua mkopo ili kulipa ada, sikufanya ili kumfurahisha niliona ni jambo jema maana mimi ndo nina gari ilikua rahisi kupata mkopo fasta kwa kuweka gari rehani.........sijutii mtoto as the matter of fact am happy with the pregnancy, na hicho pia ni kitu kinachonishangaza maana ingekua enzi zangu nishaitoa kitambo

ahaa kumbe uko happy hadi ukaamua kubeba mimba ya mtu anayekutukana, anayekusema humpendi mwanae wakati wewe unampenda hadi kujitoa mhanga kuweka rehani gari lako ili mtoto asome, kusimangwa kwa ajili ya nyumba na bla bla kibao..... sasa kelele zote humu za nini?
 
Kuna mtu aliwahi ongelea kuwa tuogope sana wanaume wanaotafuta wanawake mitandaoni, kama naanza kumuelewa hivi!!!
Ila sista nahisi jamaa yake ni wale wenye nguvu kibao za kiume, so anataka mara kwa mara. Au ni wale wa nguvu za kuvizia, so akichekewa tu ngoma inalala dolo.

Ila hapo kwenye masimango ya nyumba sijaelewa vizuri, ile kuambiwa akale chumba cha watoto au kusmbiwa ex-wake alikuwa much better kuliko yeye?
 
Sijutii mimba hata maana niliitaka wala sijaipata kwa bahati mbaya.. hata yeye aliitaka pia. Najipanga niwe mwenyewe nikishajifungua, pesa nitadunduliza.. kuhusu kuchukua mkopo ili kulipa ada, sikufanya ili kumfurahisha niliona ni jambo jema maana mimi ndo nina gari ilikua rahisi kupata mkopo fasta kwa kuweka gari rehani.........sijutii mtoto as the matter of fact am happy with the pregnancy, na hicho pia ni kitu kinachonishangaza maana ingekua enzi zangu nishaitoa kitambo

Njoo inbox Mama tuyajenge,wewe unafaa kua mke na wala sio msichana.... Nilishapaluliwa pia
 
Choda ya baba tamuuuuuu

Aahahahahahahhahahahaaaa weeweeee, akunywa chodaa aa babaa...... achaaapaa weeweeee heheheheheheee

Acha fujo, mpe mawazo ayanda......

Cockroach Ngabuu hehehehe
 
Goja malize choda ya baba....tam kwey kwey aicheeeee
 
Pole sana. Basi atleast toka kwenye hiyo nyumba ake,amfuate mke wake alie better than you.i bet he will start loving you,soon as atatambua umuhimu wako. Pole sana.
Mbona hamumpongezi mume kumfanya Mara tatu kwa siku,
 
Back
Top Bottom