TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

Usiogope,maranyingi mahusiano yanayoanzia mahali ambapo watu wana watoto au wameachana na wenza wao hasa wale waliokuwa kwenye ndoa huanza kwa mtindo huo,yaani ni kama mziki ambao unaanzia katikati,ni wachache wanaoanza vizuri ila wengi huwa ni vurugu za hali ya juu na msipokuwa wavumilivu mtaachana na kuachana kwake huwa kunakuwa na hali mbaya kuliko hata kule mlikotokea.Sikushauri uachane ila cha kwanza kabla ya yote mrudie Mungu wako kwa nguvu na moyo wako wote,kwani anaesababisha yote hayo ni shetani,mmeanza kidhambi na bado mnaenda kidhambi,kwahiyo kwake inakuwa rahisi sana kuwaingia na kuwavuruga,ndoa ni sakramenti inayochukiwa sana na shetani,kwahiyo simama imara sana,omba uvumilivu itafikia mahali yote yataisha ila its a hard way..
 
siwezi tafuta mwingine kwanza nilichokuja kugundua ni kwamba maisha yangu yapo vizuri zaidi nikiwa mwenyewe na watoto, yani nikitoka out na watoto naenjoy sana tu. Kingine pia nalala vizuri zaidi maana nalala fofofo bila kusumbuliwa na mtu.....hii ni relationship yangu ya pili na ni experience ya pili ya kuishi na mwanaume ila natamani sana life ya single , najua ina changamoto zake lakini stress zake ni ndogo mno compared na ndoa.
Duu yaan atafute tena mwingine sio ajipumzikie tu saiv alee watoto
 
Pole inaonekana hiyo ndiyo tabia yake ndiyo maana wa kwanza aliondoka.Na wewe muache ondoka anza upya hujachelewa
 
Pole sana, maji yameshamwagika kuyazoa huwezi chamsingi ondoka hapo kwake kwavile unajiweza kiuchumi tafuta sehemu uishi na watoto wako kwa amani.
 
siwezi tafuta mwingine kwanza nilichokuja kugundua ni kwamba maisha yangu yapo vizuri zaidi nikiwa mwenyewe na watoto, yani nikitoka out na watoto naenjoy sana tu. Kingine pia nalala vizuri zaidi maana nalala fofofo bila kusumbuliwa na mtu.....hii ni relationship yangu ya pili na ni experience ya pili ya kuishi na mwanaume ila natamani sana life ya single , najua ina changamoto zake lakini stress zake ni ndogo mno compared na ndoa.
Bora ukae mwenyewe na wanao, watoto wawili na mwingine tumboni wanatosha sana kwa maisha ya saivi. Mambo mengine hayo ya utamu unaeza pata anytime ukihitaji sio nyanya hicho kuwa zitaharibika
 
Akija kusoma huu uzi na hii ID yako, sindio leo atakupa kichapo tena...[emoji45] [emoji45]
 
Mitandao kuwa sehem ya kutafuta mahusiano siono km ni afya sana maana wengi wanalalamika. Nina rafiki yngu alikutana na mwanamke facebook wakapendana na kufikia kuoana na sasa hv wana watoto wawili. Jamaa sasa hv anafikiria kumwachia mali zote walizochuma kwa jinsi huy mdada alivyo pasua kichwa. Tuweni makini jaman, hivi huko mtaani ni kwamba hawapo au inakuaje?
 
Hv hao viongoz wa dini mnaowasema nyie ni wapi hao?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee mie mlango nilioingilia ndio ningetokea huo huo. As long as najiweza kimaisha. Mie kutukanwa tu unanifukuza sembuse kupigwa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uvumilivu tunaonangwa nao wanawake aisee mimi sina huo
 
Kwa mtazamo wangu naona muhusika hajasema ukweli wa upande wa pili.Anasema yeye hulala fofofo na anaenjoy akilala peke yake.Inavyoonekana anachukia hata kumpa mzigo jamaa,hivyo hampi freshi,kuhusu mtoto kunyoa je,kwanini hakumnyoa na alienda naye salon? Ukisoma vizuri ayanada anaonekana ni wale wa dada wa mtandaoni kila wakati na majisifu chungu mbovu,kuna haja gani ya kueleza hapa yy ndo ana gari ,mara mikopo,mara nikamlipia ada,mara open university na kama huyo jamaa yuko humu mbona atajua mapema sana tuu.Ushauri,ajiangalie tena yawezekana jamaa yuko sahihi,dada yetu ndo ana matatizo.Kingine mbona hasemi kilichotokea kwa bwana ake wa kwanza?
 
TATIZO LA KUZAA KABLA YA NDOA. POLE LAKIN, NA UNAZID KUZAA TU KILA MTOTO BABA YAKE.

TATIZO LA KUZAA KABLA YA NDOA. POLE LAKIN, NA UNAZID KUZAA TU KILA MTOTO BABA YAKE.

WAPI NILIPOANDIKA NIMEZAA KABLA YA NDOA? UNADHANI MAMA YAKO ALIOLEWA NA BIKRA? NA ISHU YA KUZAA IMEINGIAJE HAPO? SIO KOSA LAKO UTAKUA BADO NI KIJANA WA MIAKA 25 AU 26 HUJUI UNACHOONGEA.

NAJUA UTAJIBU MATUSI MAANA NDO ZENU DESIGN HII
 
Back
Top Bottom