TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

Salaam zenu bandugu.. Naandika uzi huu ili angalau nipunguze msongo wa mawazo maana naweza kupasuka kichwa...

Mimi ni mdada nina kazi yangu nzuri tu Alhamdulihah na niko na watoto wawili (usiiulize baba yao alipo hayakuhusu) mnamo mwaka jana 2016 mwezi wa tisa hivi nilipata mkaka humuhumu JF aliyekua anatafuta mwanamke.

Tukapanga tukaonana na kwa mujibu wake akanipenda na mimi nikaona si mbaya nikaridhia mawasiliano yakawa makubwa tu. Huyu mkaka aliachana na mkewe wa ndoa ingawa bado si rasmi legally.

Ana 2 watoto na mmoja anaishi nae mwingine yupo kwa mama yake. Akanisisitiza mno nihamie kwake na wanangu ili tuishi pamoja na kusaidiana life.

Nikaona ni jambo jema maana sikua na nyumba sababu bado najikongoja mno kwenye ujenzi... Nikahamia na wanangu na watoto walimpenda kweli yani maisha yalikua murua kwakweli.

At that time, nilikua na vihela vyangu kidogo nikamsaidia kulipa ada ya wanae ya term ya kwanza takriban laki saba unusu. Na yeye nikamsaidia kumlipia ada ya open university asome Law maana alikua hapendi degree yake aliyonayo nikamlipia semester ya kwanza laki 4 na sabini.

Akaanza chuo na amefaulu first year na anatakiwa awe second year mwaka huu. Matumizi ya ndani tunashare ananipa mshahara wake ingawa mdogo lakini nina hulka ya kushukuru.

Tatizo kubwa ni kunisimanga kuhusu nyumba yake yani its too much, na pia mtoto wake hata nimpemdaje haoni anadai nambagua yani kiukweli huyu mtoto age 14 simbagui, kila nacholeta nagawa mara 3 sijawahi kumkaripia wala kumpiga wala kumgusa.

Hata yeye mtoto hana shida na mimi tatizo ni baba yake. Jana nilienda nao saluni ili mwanangu anyoe, sasa ikawa bonge la bifu eti why na yeye wa kwake sijamnyoa. Kiukweli hakua na nywele mbaya.

Akarudi jioni amelewa na kunipiga juu huku akidai mkewe alikua better kwamba ameruka mkojo amekanyaga mavi na kama vipi nihame chumba nikalale na watoto.

Huyu anataka sex mara 3 kwa siku. Usiku mara 2 na asubuhi ya saa 12 mara moja hadi huwa nachelewa job. Yani sex yenyewe haoimbi, ananivuta tu, "lete **** " anaingiza kwa lazima. Yani sex ni daily.

Akishalewa ni kunitukana kuniita ****** na mpuuzi. Jamani huyu mtu nimetoka kuchukua loan ya laki 4 kumlipia mwanae anayesema nambagua.......

Kiukweli kama ni kuingizwa chaka basi mimi ni chaka bovu. Hapa nilipo nina mimba ya miezi 3 na kwakweli moyoni nimeshamkinia....mungu anitangulie kwenye mipango yangu ya kujikomboa kutoka kwenye huu utumwa.

Tuna mwaka mmoja na miezi kama miwili tangu tuanze mahusiano last year......

Jamani kina dada na kina kaka pia msikurupuke kwenye haya mambo! Go slowly, mimi nilikurupuka sababu ya upweke niliokua nao kipindi hicho.
Pole Sana .Jitahidi kuzimudu hasira zake kwani kwa hali uliyonayo itakuumiza lakini kuna mambo Wazee wanasemaga ujauzito nao huchaguia hasira ktk wawili kwa hiyo uwe uvumilivu
 
Ndio cha kujiuliza,ulikoishi kooote hola, ulikosoma koooote hola, ulimosafiri mwoooote hola, ulimokula mwoooooote hola heeeeee,ulimosali/swali mwooote hola Khaaaaa wapi bado
Kwahiyo mnataka kusema kwamba ukikutana nae huko mtaani wote mntakuwa na tabia njema na maisha yatakuwa na amani? Haya mambo hayana formula watu wengi wanalia ktk mahusiano japo walikutana huko uliko taja, by the way mitandao pia ina changamoto zake.

God is Great.
 
Ndio maana huwa hamna feed back nzuri aisee,ni majanga tu. Teh teh teeeeh!!
Mi naowashuhudia wote waliopata mitandaoni ni majanga!

Kuna mdada mwaka Jana Sinza muuza mafriji alimpata mkaka Facebook, wee aliishia kunyongwa guest!
 
Ayanda pole my dear. Ni kipindi kile natafuta mke si ungekuja my dear. Achana na huyo mwanaume wa hovyo kabisa. Anadhan kufanya sex 10 times a day ndo uanaume? Suala hapa si kuwa umempata JF hata ungempata msikitini au kanisani. Kama ana tabia mbaya ana tabia mbaya. Anza kujipanga tafuta nyumba uhame kama hataki kujirekebisha rudi nyumban mama asije akakuua bure. Na pia nani mtu wako wa karib ambaye yupo humu tuwe tunakufuatilia ?tukiona kimya tumuulize maana hilo jinga lisije likakudhuru. Mi wanaume wa namna hiyo siku nikikutana nao wanaonyanyasa dada zangu ntawagonga sana. Uanaume si kupiga mwanamke na kumnyanyasa....

Salaam zenu bandugu.. Naandika uzi huu ili angalau nipunguze msongo wa mawazo maana naweza kupasuka kichwa...

Mimi ni mdada nina kazi yangu nzuri tu Alhamdulihah na niko na watoto wawili (usiiulize baba yao alipo hayakuhusu) mnamo mwaka jana 2016 mwezi wa tisa hivi nilipata mkaka humuhumu JF aliyekua anatafuta mwanamke.

Tukapanga tukaonana na kwa mujibu wake akanipenda na mimi nikaona si mbaya nikaridhia mawasiliano yakawa makubwa tu. Huyu mkaka aliachana na mkewe wa ndoa ingawa bado si rasmi legally.

Ana 2 watoto na mmoja anaishi nae mwingine yupo kwa mama yake. Akanisisitiza mno nihamie kwake na wanangu ili tuishi pamoja na kusaidiana life.

Nikaona ni jambo jema maana sikua na nyumba sababu bado najikongoja mno kwenye ujenzi... Nikahamia na wanangu na watoto walimpenda kweli yani maisha yalikua murua kwakweli.

At that time, nilikua na vihela vyangu kidogo nikamsaidia kulipa ada ya wanae ya term ya kwanza takriban laki saba unusu. Na yeye nikamsaidia kumlipia ada ya open university asome Law maana alikua hapendi degree yake aliyonayo nikamlipia semester ya kwanza laki 4 na sabini.

Akaanza chuo na amefaulu first year na anatakiwa awe second year mwaka huu. Matumizi ya ndani tunashare ananipa mshahara wake ingawa mdogo lakini nina hulka ya kushukuru.

Tatizo kubwa ni kunisimanga kuhusu nyumba yake yani its too much, na pia mtoto wake hata nimpemdaje haoni anadai nambagua yani kiukweli huyu mtoto age 14 simbagui, kila nacholeta nagawa mara 3 sijawahi kumkaripia wala kumpiga wala kumgusa.

Hata yeye mtoto hana shida na mimi tatizo ni baba yake. Jana nilienda nao saluni ili mwanangu anyoe, sasa ikawa bonge la bifu eti why na yeye wa kwake sijamnyoa. Kiukweli hakua na nywele mbaya.

Akarudi jioni amelewa na kunipiga juu huku akidai mkewe alikua better kwamba ameruka mkojo amekanyaga mavi na kama vipi nihame chumba nikalale na watoto.

Huyu anataka sex mara 3 kwa siku. Usiku mara 2 na asubuhi ya saa 12 mara moja hadi huwa nachelewa job. Yani sex yenyewe haoimbi, ananivuta tu, "lete **** " anaingiza kwa lazima. Yani sex ni daily.

Akishalewa ni kunitukana kuniita ****** na mpuuzi. Jamani huyu mtu nimetoka kuchukua loan ya laki 4 kumlipia mwanae anayesema nambagua.......

Kiukweli kama ni kuingizwa chaka basi mimi ni chaka bovu. Hapa nilipo nina mimba ya miezi 3 na kwakweli moyoni nimeshamkinia....mungu anitangulie kwenye mipango yangu ya kujikomboa kutoka kwenye huu utumwa.

Tuna mwaka mmoja na miezi kama miwili tangu tuanze mahusiano last year......

Jamani kina dada na kina kaka pia msikurupuke kwenye haya mambo! Go slowly, mimi nilikurupuka sababu ya upweke niliokua nao kipindi hicho.
 
Mbona ngekewa!! Ila magarasa ndio yamejaa. Kila feedback humu ni majanga tu.
Nakwambiaje huyo mdada Sinza aliishiwa kunyongwa guest kisa kasikia bosi wake huyo mdada anamuuliza kwenye simu ameuza friji mbili kwa bei gani, mdada akatamka milioni tatu yuko guest na jamaa! Bosi akamwambia lala nazo utanipa kesho, kilichotokea jamaa kala papuchi, kamnyonga mtu na mil3 kasepa nazo! Wanaume wengine noma asee!
 
Mi naowashuhudia wote waliopata mitandaoni ni majanga!

Kuna mdada mwaka Jana Sinza muuza mafriji alimpata mkaka Facebook, wee aliishia kunyongwa guest!
Masikini[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Utakuwa na matatizo unaenda kushusha mtoto wa3 huna ndoa inayoeleweka lazima udharaulike
 
Nakwambiaje huyo mdada Sinza aliishiwa kunyongwa guest kisa kasikia bosi wake huyo mdada anamuuliza kwenye simu ameuza friji mbili kwa bei gani, mdada akatamka milioni tatu yuko guest na jamaa! Bosi akamwambia lala nazo utanipa kesho, kilichotokea jamaa kala papuchi, kamnyonga mtu na mil3 kasepa nazo! Wanaume wengine noma asee!
Mwenzangu kujiokotea tu mtu huku mitandaoni hapana kwakweli.
 
Ayanda pole my dear. Ni kipindi kile natafuta mke si ungekuja my dear. Achana na huyo mwanaume wa hovyo kabisa. Anadhan kufanya sex 10 times a day ndo uanaume? Suala hapa si kuwa umempata JF hata ungempata msikitini au kanisani. Kama ana tabia mbaya ana tabia mbaya. Anza kujipanga tafuta nyumba uhame kama hataki kujirekebisha rudi nyumban mama asije akakuua bure. Na pia nani mtu wako wa karib ambaye yupo humu tuwe tunakufuatilia ?tukiona kimya tumuulize maana hilo jinga lisije likakudhuru. Mi wanaume wa namna hiyo siku nikikutana nao wanaonyanyasa dada zangu ntawagonga sana. Uanaume si kupiga mwanamke na kumnyanyasa....
Faiza huwa anauliza huko shule mlienda kusomea nini vile?
 
Salaam zenu bandugu.. Naandika uzi huu ili angalau nipunguze msongo wa mawazo maana naweza kupasuka kichwa...

Mimi ni mdada nina kazi yangu nzuri tu Alhamdulihah na niko na watoto wawili (usiiulize baba yao alipo hayakuhusu) mnamo mwaka jana 2016 mwezi wa tisa hivi nilipata mkaka humuhumu JF aliyekua anatafuta mwanamke.

Tukapanga tukaonana na kwa mujibu wake akanipenda na mimi nikaona si mbaya nikaridhia mawasiliano yakawa makubwa tu. Huyu mkaka aliachana na mkewe wa ndoa ingawa bado si rasmi legally.

Ana 2 watoto na mmoja anaishi nae mwingine yupo kwa mama yake. Akanisisitiza mno nihamie kwake na wanangu ili tuishi pamoja na kusaidiana life.

Nikaona ni jambo jema maana sikua na nyumba sababu bado najikongoja mno kwenye ujenzi... Nikahamia na wanangu na watoto walimpenda kweli yani maisha yalikua murua kwakweli.

At that time, nilikua na vihela vyangu kidogo nikamsaidia kulipa ada ya wanae ya term ya kwanza takriban laki saba unusu. Na yeye nikamsaidia kumlipia ada ya open university asome Law maana alikua hapendi degree yake aliyonayo nikamlipia semester ya kwanza laki 4 na sabini.

Akaanza chuo na amefaulu first year na anatakiwa awe second year mwaka huu. Matumizi ya ndani tunashare ananipa mshahara wake ingawa mdogo lakini nina hulka ya kushukuru.

Tatizo kubwa ni kunisimanga kuhusu nyumba yake yani its too much, na pia mtoto wake hata nimpemdaje haoni anadai nambagua yani kiukweli huyu mtoto age 14 simbagui, kila nacholeta nagawa mara 3 sijawahi kumkaripia wala kumpiga wala kumgusa.

Hata yeye mtoto hana shida na mimi tatizo ni baba yake. Jana nilienda nao saluni ili mwanangu anyoe, sasa ikawa bonge la bifu eti why na yeye wa kwake sijamnyoa. Kiukweli hakua na nywele mbaya.

Akarudi jioni amelewa na kunipiga juu huku akidai mkewe alikua better kwamba ameruka mkojo amekanyaga mavi na kama vipi nihame chumba nikalale na watoto.

Huyu anataka sex mara 3 kwa siku. Usiku mara 2 na asubuhi ya saa 12 mara moja hadi huwa nachelewa job. Yani sex yenyewe haoimbi, ananivuta tu, "lete **** " anaingiza kwa lazima. Yani sex ni daily.

Akishalewa ni kunitukana kuniita ****** na mpuuzi. Jamani huyu mtu nimetoka kuchukua loan ya laki 4 kumlipia mwanae anayesema nambagua.......

Kiukweli kama ni kuingizwa chaka basi mimi ni chaka bovu. Hapa nilipo nina mimba ya miezi 3 na kwakweli moyoni nimeshamkinia....mungu anitangulie kwenye mipango yangu ya kujikomboa kutoka kwenye huu utumwa.

Tuna mwaka mmoja na miezi kama miwili tangu tuanze mahusiano last year......

Jamani kina dada na kina kaka pia msikurupuke kwenye haya mambo! Go slowly, mimi nilikurupuka sababu ya upweke niliokua nao kipindi hicho.
Na akiuona uzi huu kazi unayo...
Pole sana unaelekea kuwa single mother kwa watoto watatu...
 
Alisema wanawake haina shida kabisa. Hakuna mwanamke mwenye tatizo. Ukiona mwanamke ana tatizo ujue mwanaune wake ndio tatizo.
Hakuna mwanamke mwenye tatizo.....ukiona mwenye tatizo!!! Well!!
 
Aiseeee!!! Achana nae mamaa mimba na mtoto utalea mwenyewe kama mshahara unaruhusu maana huyo mwanaume ni sumu tena nyoka kaa nae mbali, naona amekuona unamhitaji sana ndo maana anakuwa na jeuri, umetoa sana kupitiliza na hana shukrani, mwoneshe kama unaweza simama peke yako bila yeye ili akili zimrudie vizuri. Mamaa changamka kabla hajakuzalisha watoto sita maana muda unaokubalika ni sasa
 
Back
Top Bottom