TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

siwezi tafuta mwingine kwanza nilichokuja kugundua ni kwamba maisha yangu yapo vizuri zaidi nikiwa mwenyewe na watoto, yani nikitoka out na watoto naenjoy sana tu. Kingine pia nalala vizuri zaidi maana nalala fofofo bila kusumbuliwa na mtu.....hii ni relationship yangu ya pili na ni experience ya pili ya kuishi na mwanaume ila natamani sana life ya single , najua ina changamoto zake lakini stress zake ni ndogo mno compared na ndoa.
Hii post inaongea kila kitu.Inabidi Mkuu ukiangalia vizuri,hutaki kusumbuliwa usiku?
 
Kilicho kuchosha ni jamaa kutaka penzi sana,kukutukana,kukupiga ama?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee mie mlango nilioingilia ndio ningetokea huo huo. As long as najiweza kimaisha. Mie kutukanwa tu unanifukuza sembuse kupigwa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uvumilivu tunaonangwa nao wanawake aisee mimi sina huo
Wewe kama mimi tu, kuvumilia upuuzi kwakweli NEHIIIII!!!
 
Salaam zenu bandugu.. Naandika uzi huu ili angalau nipunguze msongo wa mawazo maana naweza kupasuka kichwa...

Mimi ni mdada nina kazi yangu nzuri tu Alhamdulihah na niko na watoto wawili (usiiulize baba yao alipo hayakuhusu) mnamo mwaka jana 2016 mwezi wa tisa hivi nilipata mkaka humuhumu JF aliyekua anatafuta mwanamke.

Tukapanga tukaonana na kwa mujibu wake akanipenda na mimi nikaona si mbaya nikaridhia mawasiliano yakawa makubwa tu. Huyu mkaka aliachana na mkewe wa ndoa ingawa bado si rasmi legally.

Ana 2 watoto na mmoja anaishi nae mwingine yupo kwa mama yake. Akanisisitiza mno nihamie kwake na wanangu ili tuishi pamoja na kusaidiana life.

Nikaona ni jambo jema maana sikua na nyumba sababu bado najikongoja mno kwenye ujenzi... Nikahamia na wanangu na watoto walimpenda kweli yani maisha yalikua murua kwakweli.

At that time, nilikua na vihela vyangu kidogo nikamsaidia kulipa ada ya wanae ya term ya kwanza takriban laki saba unusu. Na yeye nikamsaidia kumlipia ada ya open university asome Law maana alikua hapendi degree yake aliyonayo nikamlipia semester ya kwanza laki 4 na sabini.

Akaanza chuo na amefaulu first year na anatakiwa awe second year mwaka huu. Matumizi ya ndani tunashare ananipa mshahara wake ingawa mdogo lakini nina hulka ya kushukuru.

Tatizo kubwa ni kunisimanga kuhusu nyumba yake yani its too much, na pia mtoto wake hata nimpemdaje haoni anadai nambagua yani kiukweli huyu mtoto age 14 simbagui, kila nacholeta nagawa mara 3 sijawahi kumkaripia wala kumpiga wala kumgusa.

Hata yeye mtoto hana shida na mimi tatizo ni baba yake. Jana nilienda nao saluni ili mwanangu anyoe, sasa ikawa bonge la bifu eti why na yeye wa kwake sijamnyoa. Kiukweli hakua na nywele mbaya.

Akarudi jioni amelewa na kunipiga juu huku akidai mkewe alikua better kwamba ameruka mkojo amekanyaga mavi na kama vipi nihame chumba nikalale na watoto.

Huyu anataka sex mara 3 kwa siku. Usiku mara 2 na asubuhi ya saa 12 mara moja hadi huwa nachelewa job. Yani sex yenyewe haoimbi, ananivuta tu, "lete **** " anaingiza kwa lazima. Yani sex ni daily.

Akishalewa ni kunitukana kuniita ****** na mpuuzi. Jamani huyu mtu nimetoka kuchukua loan ya laki 4 kumlipia mwanae anayesema nambagua.......

Kiukweli kama ni kuingizwa chaka basi mimi ni chaka bovu. Hapa nilipo nina mimba ya miezi 3 na kwakweli moyoni nimeshamkinia....mungu anitangulie kwenye mipango yangu ya kujikomboa kutoka kwenye huu utumwa.

Tuna mwaka mmoja na miezi kama miwili tangu tuanze mahusiano last year......

Jamani kina dada na kina kaka pia msikurupuke kwenye haya mambo! Go slowly, mimi nilikurupuka sababu ya upweke niliokua nao kipindi hicho.
Pole sana
 
Shida siyo jamii forum, shida ni judgement zako! Pole, mtu alieacha mke au kuachwa ni wakuangali sana, atakuwa na mapungufu, hilo la sex ni tatizo kwweli
 
Kaa naye jaribu kuongea naye akiwa hajalewa/ au hajanywa pombe, mweleze yote anayokufanyia ambayo huyapendi, usikae kimya kwani utakuwa unajiumiza moyo wako bure! Natumaini ukiongea naye kwa hisia kali atakuelewa na atabadirika, ila usiongee naye kwa ukali kwani hapo utakuwa unamwaga petrol kwenye moto! Pole sana mdada!!
 
Daaah pole sana ayanda

1. Kama una ndugu wa karibu namaanisha kaka au dada mliozaliwa tumbo moja na huwa mnasaidiana ongea nao wakupunguzie mawazo. Kama una wazazi wa kukuzaa nenda nyumbani uwaombe radhi kwa kujipeleka kwa wanaume bila wao kutoa kibali hata kama umeshakuwa mkubwa. Yawezekana wazazi wako hawajafurahia na wanakinyongo nawe ndo maana unapatwa na haya masaibu.

2. Huyo mwanaume ni mfujaji ndo maana wakishindwa na na mkewe. Unajua mnapoishi wawili mnaishi vile mlivolelewa na wazazi wenu kitabia, sasa kama alipata malezi ya hovyo hawezi heshimu mwanamke na hana wema hata umtendee wema gani. Hapo nini ufanye na maamuzi gani uchukue kuhusu huyo mwanaume chekecha akili zako mwenyewe nimeshajaribu kukudadavulia kutokana na ulivotuelezea.

3. Kuhusu hiyo mimba, kama utaweza kulea mwenyewe hiyo mimba hadi mtoto maana yake kumgharamikia matibabu na shule basi Lea mimba uje uzee mwana, vinginevyo usije ukasubiri kuja kukitesa kiumbe kwanza aidha kwa kukitupa chooni au jalalani (bora ukitelekeze kanisani au msikitini au kwa masista kwenye watoto yatima). Nasema hivi maana ya natokea sana kama hayo na wanaofanya hivo wanakuwa na msongo mkubwa wa mawazo. Pia usije ukajikuta baada ya kujifungua huyo mtoto maisha yake yote ukawa unamchukia kutokana na baba yake kukutesa na kukufuja. Ujitahidi usije ukawabagua hao watoto hasa katika malezi utayowapa kutokana na wana baba tofauti. Nini ufanye kuhusu hiyo mimba chekecha akili zako za kuzaliwa mwenyewe maana nimeshakudadavulia kutokana na ulivyojielezea hapo juu.

4. Nyanyua wanao na nguo zako kapange nyumba au chumba ujipe likizo ya muda. Kwa lugha ya kigeni ningesema give him a space, get out of his house give yourself a leave out of his life for at least 3 to 6 months. That's an ample time to see if there's any importance for you two to keep on having a relationship. Halafu nimekumbuka, umesema kitu kuhusu sex he I'd doing you 3 times a day for 7 days..., inaonesha wewe hufurahii tendo la ndoa ni kuwa unatoa huduma ya sex. Ndo maana nikatangulia kusema huyo mwanaume anakufuja. Kwanza hata mahari hajakutolea..... natamani niongee mengi ila daaah nakosa wakati. Na chotara kukwambia hapa, unatakiwa na unahaki zote za kufurahia tendo la ndoa. Ingekuwa wale machangu sawa wao hawafurahii maana wanauza, sasa wewe hapo...... kama haja za kimwili hazitimilizwi...... go girl you are still beautiful. Na hata ukiwa unaishi mwenyewe na watoto pekeyake, you can date a man na enjoy sex bila kuhamia kwake wala yeye kuhamia kwako na bado mkaka life partners. Ni kujipanga kuamua na kuwa na msimamo yako.

5. Maadam ulisema ulimpata hapahapa JF natumai anasoma hapa, wewe kaka pambana na hali yako, simtetei huyu dada maana yaweza kuwa nae anamapungufu yake ndomaana hukuweza ishi na baba wa watoto wake. Kama mapenzi kati yenu yameisha acheni kutegeana na kufujana. Kila mtu achukue ustaarabu wake a sio kuanza kutiana ngeu.

Wish you all the beat in your decisions just NOTE: that, WE LIVE ONCE, HERE ON EARTH (WE ARE ALL NOT SURE AFTER LIFE IN DEATH) SO LIVE ONCE VIZURI AND WISELY. AND IF YOU LIVE ONCE VIZURI ONCE IS ENOUGH.

Kasie Matata.
 
Wewe kama mimi tu, kuvumilia upuuzi kwakweli NEHIIIII!!!
Yaani kuna ya kuvumilia kwa kweli. Na siku nyingine wanawake wote pamoja na ayanda tujifunze. Sio kila mwanaume wa kumuamini na ku move in haraka,mbaya zaidi ukiwa na watoto. Maana muda mwingine inabidi uvumilie mateso kwa ajili ya watoto wako. Lazima kuwa makini kwa kweli
 
Shida siyo jamii forum, shida ni judgement zako! Pole, mtu alieacha mke au kuachwa ni wakuangali sana, atakuwa na mapungufu, hilo la sex ni tatizo kwweli
Sex ni tatizo kivipi? Wanawake wa leo ni tatizo sana,ukiwa na ki naniii kidogo wanasema kibamia,ukishindwa kupiga mashine wanasema ,mwanaume wa Dar,ukit..o...mba wanadai umezidi,sasa tufanyeje? Halafu sidhani kama suruhu inapatikana jamii forum.
 
Kwa udhoefu wangu mdogo nilionao, Mahusiano ya kimapenzi ni moja ya mambo ambayo yanaongoza ktk kurudisha maendeleo nyuma hasa tofauti kama hizo zinapojikita ndani ya nyumba.

Ushauri: Rudi ktk maisha yako ya mwanzo, focus kwenye mambo yako na usomeshe watoto wako ili badae wawe na maisha bora.
 
Salaam zenu bandugu.. Naandika uzi huu ili angalau nipunguze msongo wa mawazo maana naweza kupasuka kichwa...

Mimi ni mdada nina kazi yangu nzuri tu Alhamdulihah na niko na watoto wawili (usiiulize baba yao alipo hayakuhusu) mnamo mwaka jana 2016 mwezi wa tisa hivi nilipata mkaka humuhumu JF aliyekua anatafuta mwanamke.

Tukapanga tukaonana na kwa mujibu wake akanipenda na mimi nikaona si mbaya nikaridhia mawasiliano yakawa makubwa tu. Huyu mkaka aliachana na mkewe wa ndoa ingawa bado si rasmi legally.

Ana 2 watoto na mmoja anaishi nae mwingine yupo kwa mama yake. Akanisisitiza mno nihamie kwake na wanangu ili tuishi pamoja na kusaidiana life.

Nikaona ni jambo jema maana sikua na nyumba sababu bado najikongoja mno kwenye ujenzi... Nikahamia na wanangu na watoto walimpenda kweli yani maisha yalikua murua kwakweli.

At that time, nilikua na vihela vyangu kidogo nikamsaidia kulipa ada ya wanae ya term ya kwanza takriban laki saba unusu. Na yeye nikamsaidia kumlipia ada ya open university asome Law maana alikua hapendi degree yake aliyonayo nikamlipia semester ya kwanza laki 4 na sabini.

Akaanza chuo na amefaulu first year na anatakiwa awe second year mwaka huu. Matumizi ya ndani tunashare ananipa mshahara wake ingawa mdogo lakini nina hulka ya kushukuru.

Tatizo kubwa ni kunisimanga kuhusu nyumba yake yani its too much, na pia mtoto wake hata nimpemdaje haoni anadai nambagua yani kiukweli huyu mtoto age 14 simbagui, kila nacholeta nagawa mara 3 sijawahi kumkaripia wala kumpiga wala kumgusa.

Hata yeye mtoto hana shida na mimi tatizo ni baba yake. Jana nilienda nao saluni ili mwanangu anyoe, sasa ikawa bonge la bifu eti why na yeye wa kwake sijamnyoa. Kiukweli hakua na nywele mbaya.

Akarudi jioni amelewa na kunipiga juu huku akidai mkewe alikua better kwamba ameruka mkojo amekanyaga mavi na kama vipi nihame chumba nikalale na watoto.

Huyu anataka sex mara 3 kwa siku. Usiku mara 2 na asubuhi ya saa 12 mara moja hadi huwa nachelewa job. Yani sex yenyewe haoimbi, ananivuta tu, "lete **** " anaingiza kwa lazima. Yani sex ni daily.

Akishalewa ni kunitukana kuniita ****** na mpuuzi. Jamani huyu mtu nimetoka kuchukua loan ya laki 4 kumlipia mwanae anayesema nambagua.......

Kiukweli kama ni kuingizwa chaka basi mimi ni chaka bovu. Hapa nilipo nina mimba ya miezi 3 na kwakweli moyoni nimeshamkinia....mungu anitangulie kwenye mipango yangu ya kujikomboa kutoka kwenye huu utumwa.

Tuna mwaka mmoja na miezi kama miwili tangu tuanze mahusiano last year......

Jamani kina dada na kina kaka pia msikurupuke kwenye haya mambo! Go slowly, mimi nilikurupuka sababu ya upweke niliokua nao kipindi hicho.
If it is about you and you read this, before you have gone a paragraph,you know it is about you.
 
Pole sana.
Hivi ni kwann mwanamke mwenye tabia nzuri anapata kimeo? Hivyo hivyo kwa mwanaume?
Ikifikia hatua ya kukupiga ni hatari sana tena na mwanaume anayempiga mkewe ni hatari sana.
Fanya utaratibu wa kujitegemea na km hautahama usishike mimba ya mtoto mwingine.
Duniani kuna majaribu sana
 
Tatizo ni hiyo mimba, umebeba mimba bila kujua future yenu whether ni familia moja au ni mbili zimeamua kuishi pamoja.

It's like kwako mahusiano una F, sh!t happens in life.
 
Kwa mtazamo wangu naona muhusika hajasema ukweli wa upande wa pili.Anasema yeye hulala fofofo na anaenjoy akilala peke yake.Inavyoonekana anachukia hata kumpa mzigo jamaa,hivyo hampi freshi,kuhusu mtoto kunyoa je,kwanini hakumnyoa na alienda naye salon? Ukisoma vizuri ayanada anaonekana ni wale wa dada wa mtandaoni kila wakati na majisifu chungu mbovu,kuna haja gani ya kueleza hapa yy ndo ana gari ,mara mikopo,mara nikamlipia ada,mara open university na kama huyo jamaa yuko humu mbona atajua mapema sana tuu.Ushauri,ajiangalie tena yawezekana jamaa yuko sahihi,dada yetu ndo ana matatizo.Kingine mbona hasemi kilichotokea kwa bwana ake wa kwanza?

Yes nalala fofofo na pia I love my bed yani kulala kwangu ni starehe kubwa. Hivi ni sex gani mara 3 hadi 4 kwa usiku mmoja hadi kuchelewa job. Yani haniachii hata siku 2 basi japo mwili utengeneze n.y.e.g.e jamani? Kuhus mtoto kunyoa, ishu ilikua ni kwamba, nilikua naenda kumyoa mtoto wangu mdogo ambae alikua na kiduku na kilikua ovyo mno nilitaka kukiondoa, sasa wakti natoka housegal akaniambia hakuna viazi na ndizi, hivyo nikabeba buku 3 tu, 1 ya ndizi, 1 ya viazi na 1 ya kunyoa. Nikaona niende na gari, mwanae anapenda sana gari kwahiyo akainsist anataka kuja becoz tu apande gari sio kingine. Saluni tuliyoenda ipo karibu na bar ambayo huyu mwanaume alikua yupo pale anachek football. Tulivyofika pale dogo akaanza kunyoa na huyu mwanae akaenda toilet na mimi nikaenda kukaa na jamaa kaunta. Sasa basi gafla jamaa akamfuata dogo chooni then akarudi akakaa. Baada ya dakika 15 dogo akaja kuomba hela ya saluni kwamba nikampa buku 2 nikitegemea chenji ya buku. Nikanyanyuka kuingia saluni huyu mwanae ndo akaniambia, "Chenji haibaki, baba kasema na mimi ninyoe" The problem is, jamaa angeniambia mimi kama mtoto anyoe au na si kumwambia mtoto,na ni mara nyingi sana anawasiliana na mtoto instead of kupitia kwangu kwenye mambo ambayo ni ya idara yangu. Nikamwambia why asingeniambia mimi maana watoto nilienda nao mimi pale si yeye na mfukoni sina hela nyingine maana hiyo buku 2 ni viazi na ndizi....Basi ikawa bonge la bifuuuuuuu akanyanyuka akaenda kusimama kwingine na mimi nikaona isiwe tabu nikamchukua mwanangu nikasepa na gari huku mwanae akiwa anasubiri kunyoa.......Sikutaka ugomvi bar, maana akishapiga beer 2 tu huwa ni shida popote pale ni kichapo.

Kuhusu baba wa watoto wangu alshatangulia mbele ya haki
 
si wote wapo ivyo humu ndani.....halafu huyo kaja kukubadilikia baada ya kupata mimba au
 
Naww ulishindwa kutumia busara tu kitendo cha kususa na kuondoka na mwanao haikuwa picha nzuri

Wote wawili mna matatizo kila mtu anamtunishia mwenzie misuli

Ndo itadumu kama wote wawili mnakutana kati sio kila mtu anataka kumzidi mwenzie
 
Yes nalala fofofo na pia I love my bed yani kulala kwangu ni starehe kubwa. Hivi ni sex gani mara 3 hadi 4 kwa usiku mmoja hadi kuchelewa job. Yani haniachii hata siku 2 basi japo mwili utengeneze n.y.e.g.e jamani? Kuhus mtoto kunyoa, ishu ilikua ni kwamba, nilikua naenda kumyoa mtoto wangu mdogo ambae alikua na kiduku na kilikua ovyo mno nilitaka kukiondoa, sasa wakti natoka housegal akaniambia hakuna viazi na ndizi, hivyo nikabeba buku 3 tu, 1 ya ndizi, 1 ya viazi na 1 ya kunyoa. Nikaona niende na gari, mwanae anapenda sana gari kwahiyo akainsist anataka kuja becoz tu apande gari sio kingine. Saluni tuliyoenda ipo karibu na bar ambayo huyu mwanaume alikua yupo pale anachek football. Tulivyofika pale dogo akaanza kunyoa na huyu mwanae akaenda toilet na mimi nikaenda kukaa na jamaa kaunta. Sasa basi gafla jamaa akamfuata dogo chooni then akarudi akakaa. Baada ya dakika 15 dogo akaja kuomba hela ya saluni kwamba nikampa buku 2 nikitegemea chenji ya buku. Nikanyanyuka kuingia saluni huyu mwanae ndo akaniambia, "Chenji haibaki, baba kasema na mimi ninyoe" The problem is, jamaa angeniambia mimi kama mtoto anyoe au na si kumwambia mtoto,na ni mara nyingi sana anawasiliana na mtoto instead of kupitia kwangu kwenye mambo ambayo ni ya idara yangu. Nikamwambia why asingeniambia mimi maana watoto nilienda nao mimi pale si yeye na mfukoni sina hela nyingine maana hiyo buku 2 ni viazi na ndizi....Basi ikawa bonge la bifuuuuuuu akanyanyuka akaenda kusimama kwingine na mimi nikaona isiwe tabu nikamchukua mwanangu nikasepa na gari huku mwanae akiwa anasubiri kunyoa.......Sikutaka ugomvi bar, maana akishapiga beer 2 tu huwa ni shida popote pale ni kichapo.

Kuhusu baba wa watoto wangu alshatangulia mbele ya haki
moja ya vitu ambavyo siwezi kufanya maishani ni kumpiga mwanamke
 
Daaah pole sana ayanda

1. Kama una ndugu wa karibu namaanisha kaka au dada mliozaliwa tumbo moja na huwa mnasaidiana ongea nao wakupunguzie mawazo. Kama una wazazi wa kukuzaa nenda nyumbani uwaombe radhi kwa kujipeleka kwa wanaume bila wao kutoa kibali hata kama umeshakuwa mkubwa. Yawezekana wazazi wako hawajafurahia na wanakinyongo nawe ndo maana unapatwa na haya masaibu.

2. Huyo mwanaume ni mfujaji ndo maana wakishindwa na na mkewe. Unajua mnapoishi wawili mnaishi vile mlivolelewa na wazazi wenu kitabia, sasa kama alipata malezi ya hovyo hawezi heshimu mwanamke na hana wema hata umtendee wema gani. Hapo nini ufanye na maamuzi gani uchukue kuhusu huyo mwanaume chekecha akili zako mwenyewe nimeshajaribu kukudadavulia kutokana na ulivotuelezea.

3. Kuhusu hiyo mimba, kama utaweza kulea mwenyewe hiyo mimba hadi mtoto maana yake kumgharamikia matibabu na shule basi Lea mimba uje uzee mwana, vinginevyo usije ukasubiri kuja kukitesa kiumbe kwanza aidha kwa kukitupa chooni au jalalani (bora ukitelekeze kanisani au msikitini au kwa masista kwenye watoto yatima). Nasema hivi maana ya natokea sana kama hayo na wanaofanya hivo wanakuwa na msongo mkubwa wa mawazo. Pia usije ukajikuta baada ya kujifungua huyo mtoto maisha yake yote ukawa unamchukia kutokana na baba yake kukutesa na kukufuja. Ujitahidi usije ukawabagua hao watoto hasa katika malezi utayowapa kutokana na wana baba tofauti. Nini ufanye kuhusu hiyo mimba chekecha akili zako za kuzaliwa mwenyewe maana nimeshakudadavulia kutokana na ulivyojielezea hapo juu.

3. Nyanyua wanao na nguo zako kapange nyumba au chumba ujipe likizo ya muda. Kwa lugha ya kigeni ningesema give him a space, get out of his house give yourself a leave out of his life for at least 3 to 6 months. That's an ample time to see if there's any importance for you two to keep on having a relationship. Halafu nimekumbuka, umesema kitu kuhusu sex he I'd doing you 3 times a day for 7 days..., inaonesha wewe hufurahii tendo la ndoa ni kuwa unatoa huduma ya sex. Ndo maana nikatangulia kusema huyo mwanaume anakufuja. Kwanza hata mahari hajakutolea..... natamani niongee mengi ila daaah nakosa wakati. Na chotara kukwambia hapa, unatakiwa na unahaki zote za kufurahia tendo la ndoa. Ingekuwa wale machangu sawa wao hawafurahii maana wanauza, sasa wewe hapo...... kama haja za kimwili hazitimilizwi...... go girl you are still beautiful. Na hata ukiwa unaishi mwenyewe na watoto pekeyake, you can date a man na enjoy sex bila kuhamia kwake wala yeye kuhamia kwako na bado mkaka life partners. Ni kujipanga kuamua na kuwa na msimamo yako.

4. Maadam ulisema ulimpata hapahapa JF natumai anasoma hapa, wewe kaka pambana na hali yako, simtetei huyu dada maana yaweza kuwa nae anamapungufu yake ndomaana hukuwezi ishia baba wa watoto wake. Kama mapenzi kati yenu yameisha acheni kutegeana na kufujana. Kila mtu achukue ustaarabu wake a sio kuanza kutiana ngeu.

Wish you all the beat in your decisions just NOTE: that, WE LIVE ONCE, HERE ON EARTH (WE ARE ALL NOT SURE AFTER LIFE IN DEATH) SO LIVE ONCE VIZURI AND WISELY. AND IF YOU LIVE ONCE VIZURI ONCE IS ENOUGH.

Kasie Matata.
Huyu mtu hata natural justice hapewi! Muulize ayanda am take hapa ili na yeye akuletee.Naona mawe yote anapigwa yeye.Ikibidi ayanda atutajie madhaifu yake.Wadada wa siku hizo shida sana.

Back
Top Bottom