Mbassa jr
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 1,234
- 3,239
Hahahahhaaaa msamehe mkuuKwa hiyo umeona unianzishie Uzi Sio?
Tutakutana Nyumbani sasa nitataka Mara Sita badala ya hizo Tatu unazolalamikia.
Hahahahhaaaa msamehe mkuuKwa hiyo umeona unianzishie Uzi Sio?
Tutakutana Nyumbani sasa nitataka Mara Sita badala ya hizo Tatu unazolalamikia.
Mama humu kama mtaani tu,akili kumkichwa wenyewe wanasema si kila king'aacho ni dhahabuMh basi hongereni, mlikutana wema ila wengi wao humu ni waongo balaa.
Ahhaha kweli kbs, habari za masiku mingi. Kule kwetu hawajambo?Mama humu kama mtaani tu,akili kumkichwa wenyewe wanasema si kila king'aacho ni dhahabu
Poa nakumiss tu mie...Ahhaha kweli kbs, habari za masiku mingi. Kule kwetu hawajambo?
Nakumis pia.Poa nakumiss tu mie...
Loneliness blinded her.. Au maybe alihisi with time mambo yatakuwa tu sawa. Mmh can't imagine "wewe lete. ....××××). SadHukuona RED FLAGS?
Cc Heaven Sent
Mdogo wangu anza kufanya utaratibu wa kujitegemea kimya kimya km mapatano ndani ya nyumba yameshindikana. Maana ww ulipo kwa sasa, ndiyo baba ndiyo mama kwa hao watoto uliachiwa na mumeo. Ameaanza kukupiga ila ipo siku anaweza kukukufanyia kitu kibaya ukashindwa hata kufanya kazi na watoto wak wakabaki kutesa.THAMK YOU KASIE! ALL YOUR POINTS ARE NOTED AND APPRECIATED BUT ON POINT NUMBER 3, JUST BE SURE SIWEZI TUPA MTOTO POPOTE NA WALA HII IMBA HAINIPI STRESS. SIJUI WHY WATU MNADHANI MIMBA AU MTOTO NI PROBLEM. HATA NIKILEA MWANANGU PEKE YANGU IN FUTURE HAINA SHIDA MAANA HATA HAWA WAWILI NILIONAO NIMELEA MWENYEWE BAADA YA BABA YAO KUFA MBONA SIKUWATUPA. HATA HUYU PIA NITAMLEA MWENYEWE KWANZA NA YEYE NITAMCHUKULIA YATIMA KAMA WENZIE
MmhYaani kama wewe nitaweka bandiko nikikupata tu umenikomaa.
Kuna dada nae alipata humu, wakafunga na ndoa. Baada ya ndoa ndio jamaa kaanza kuonyesha makucha, yaani anazisoma namba mpaka za kichina. Ana mpango wa kuikimbia ndoa.Kweli mkemwenza hata mimi nilikuwa siwaelewi kabisa
Duuh mwambie akimbie mbio tena asigeuke nyumaKuna dada nae alipata humu, wakafunga na ndoa. Baada ya ndoa ndio jamaa kaanza kuonyesha makucha, yaani anazidoma namba mpaka za kichina. Ana mpango wa kuikimbia ndoa.
Mwenza mie tena!! Ushauri mubashara kabisa ni "kimbia usigeuke nyuma".Duuh mwambie akimbie mbio tena asigeuke nyuma