TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

Sijutii mimba hata maana niliitaka wala sijaipata kwa bahati mbaya.. hata yeye aliitaka pia. Najipanga niwe mwenyewe nikishajifungua, pesa nitadunduliza.. kuhusu kuchukua mkopo ili kulipa ada, sikufanya ili kumfurahisha niliona ni jambo jema maana mimi ndo nina gari ilikua rahisi kupata mkopo fasta kwa kuweka gari rehani.........sijutii mtoto as the matter of fact am happy with the pregnancy, na hicho pia ni kitu kinachonishangaza maana ingekua enzi zangu nishaitoa kitambo
hata hii utaitoa tu nina hakika
 
sasa unamlipia mwanaume ada ya nini wakati hajakuoa? mbona unabeba mizigo ya watu sana?

Kumbuka na yeye alinikaribisha home kwake na tuliishi vizuri na watoto including kunisaidia kutafuta shule za wanangu..... halafu hiyo ada niliyolipa naichukulia kama kodi ya nyumba ya miezi kadhaa incase ningepanga. I did my mathematics my dear
 
I THINK KUDAI PENZI KWA LUGHA YA KIHUNI NDO INANIPA SHIDA MNO KISAIKOLOJIA...UTASIKIA "Lete K.u.m.A nitombe"

sipendi kabisa yani
tapatalk_jpeg_1511797863380.jpg
 
unaanzaje kuishi na mtu bila NDOA, huyo alishindikana kwa mkewe wewe ukaenda kubeba furushi la mzigo, pole
 
Wadada msikurupuke kuingia kwenye mapenzi based on loneliness ya mda huo.

Wadada wenye watoto, yaani single Moms be extra careful when you are dating. Msiache mapenzi yawatie upofu mkaacha kufikiria na future ya watoto wenu pia.

Look at what you are putting yourself and your kids through. Seeing their Mom suffering again in the hands of a man.

Hiyo hela ya ada ya mtu na mwanae ungenunua hata popcorn machine ikakuingizia something at the end of the day.
 
Siri za ndani unaleta huku eeeeh?? Nmekuona tangu last week unatype muda mrefu mara unafuta. Ndo kwenu umefunzwa kutokuwa na stara eeeeh?? Jiandae kufungasha virago
 
Wadada msikurupuke kuingia kwenye mapenzi based on loneliness ya mda huo.

Wadada wenye watoto, yaani single Moms be extra careful when you are dating. Msiache mapenzi yawatie upofu mkaacha kufikiria na future ya watoto wenu pia.

Look at what you are putting yourself and your kids through. Seeing their Mom suffering again in the hands of a man.

Hiyo hela ya ada ya mtu na mwanae ungenunua hata popcorn machine ikakuingizia something at the end of the day.

Tatizo naloliona hapa watu hamjasoma nilichkiandika ila mnakimbilia kutengeneza imaginations zenu wenyewe.... hakuna mahali niliposema watoto wanaona ninavyoteseka...kwani watoto wanajua natiwa mara 3 per night? watoto wenyewe ni below 10 years, wao wanaona maisha ni mazuri tu na nimeshasema they love this guy so much! Yani mnanichosha , wengine wanadhani mimba inanitesa ! Jamani hebu base on what i have written not what you imagine
 
Ilisafanyika jaribu kukomaa Naye ikisindikana wanaume wapo watakupokea na wanao
 
Kuna mtu aliwahi ongelea kuwa tuogope sana wanaume wanaotafuta wanawake mitandaoni, kama naanza kumuelewa hivi!!!
Wee hujiulizi kotee huko akose kuanzia kitaa, kazini, kanisani, matembezini, barabarani, kwenye daladala....

Wanaotafuta wenzi humu wengi wanalia sana!
 
ayanda MAMBO YA MAMA TENA? HAYA ASANTE, JIWE LIMEKUPGA, PAMBANA NA HALI YAKO, ILA POLE MDOGO WANGU, UKIENDA KINYUME NA NATURE LAZIMA YAKUKUTE MAKUBWA KAMA HAYA. HAPO UTAACHANA NAYE UTAPATA MWINGNE ATAKUZALISHA THEN ATAKUDUMP, COZ YOU'RE TOO CHEAP TO FALL
 
Tatizo naloliona hapa watu hamjasoma nilichkiandika ila mnakimbilia kutengeneza imaginations zenu wenyewe.... hakuna mahali niliposema watoto wanaona ninavyoteseka...kwani watoto wanajua natiwa mara 3 per night? watoto wenyewe ni below 10 years, wao wanaona maisha ni mazuri tu na nimeshasema they love this guy so much! Yani mnanichosha , wengine wanadhani mimba inanitesa ! Jamani hebu base on what i have written not what you imagine
Yeye hoja zake ni zipi? Anacholalamikia hadi aseme mkewe was better than you ni kipi?Ukiacha mabaya yake ,yapi angalau unaowaona ni mazuri yake?
 
ayanda MAMBO YA MAMA TENA? HAYA ASANTE, JIWE LIMEKUPGA, PAMBANA NA HALI YAKO, ILA POLE MDOGO WANGU, UKIENDA KINYUME NA NATURE LAZIMA YAKUKUTE MAKUBWA KAMA HAYA. HAPO UTAACHANA NAYE UTAPATA MWINGNE ATAKUZALISHA THEN ATAKUDUMP, COZ YOU'RE TOO CHEAP TO FALL

POLE NA WEWE KWA KUKOSA AJIRA...NAONA SEHEMU ULIYONAYO YA KUTOLEA WATU MAPOVU NI HUMU JF...... WAPI NIMESEMA AMENIDUMP? AND WHAT DO YOU MEAN BY BEING TOO CHEAP TO FALL.... ACHANA NA KIZUNGU MAANA HUKIWEZI.

WEWE NDO UNAYEENDA KINYUME NA NATURE KWA KUTOA ******, MIE NIMETOA K.U.M.A NIKAZAA KAMA NATURE INAVYOHITAJI UNLESS HUELEWI MAANA YA NATURE....HALI YANGU NAPAMBANA NAYO THANK YOU VERY MUCH MDOGO WANGU
 
Back
Top Bottom