Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

Lowasa anatosha! Yote mengine mnosema ni kama hekaya za Abunuwasi tu!
 
Asalaam alyeikhum wanajamvi,,,,,,,,,!!!!!!
Natumai wote tu wazima wa afya na zaid tunazidi kupambana na maisha ya kila siku katika kulijenga taifa letu la tanzania nami nikiwa mmoja wapo wa wajenzi hao

Nimekuwa nikijiuliza swali hili kila niendapo kanisani na nitokapo ninapoona mchungaji anafanya vitu vya kijinga tena hadharani bila hata aibu mfano mchungaji GWAJIMA NA MSIGWA
Hivi hawa wachungaji ambao kimsingi sadaka zetu ndo zinawaweka hapa mjini wameshindwa kumtumika Mungu na KUANZA KUJIHUSISHA na uhaini kiasi hiki? hivi ni kweli Msigwa umeanza kusema wanakuroga mchungaji mzima ati ndo maana haujazi watu? ama wewe hauna imani thabiti? na kwanini umekula milion 300 za lowassa ili usikemee uovu? jamani iko wapi tofauti yako na yuda eskarioti?

Bwana Gwajima mbona unashusha hadhi yako? hivi pamoja na utashi wako unashindwa kujua mbivu na mbichi mpaka unadai mke wa slaa anatumia nguvu za giza wew mchungaji? je wafuasi tukueleweje? ama ndo mahaba ya siasa yamekuharibu kiasi hiki?
hivi na wew sasa hivi umeanza kutumika kuandaa watu wa kuujaza mkutano wa mtu aliyetuibia na kuifilisi nchi yetu? kiasi cha kumlinganisha lowassa na Joshua hivi ni Mungu yupi unayemuabudu?

hakika nimeamini fedha humfanya mwanaume kuwa mwanamke na mchungaji kuwa kibaka!

MSIGWA NA GWAJIMA kwa hili siwaungi mkono tubuni dhambi zenu na mmrudie Mungu

Mwombe Mungu akupe hekima ya kuelewa kat ya HAKI na Aman, ukishaelewa utajiona wewe ndiyo mwenye dhambi itatakiwa utubu iyo midhamb yako!
 
Ccm mnachekesha sana...meamua kuja na bolded font kwenye thread zenu za Leo....too late....
 
Nenda Shule kwanza. Pale Africa ya kusini, kuna Askofu Mashuuri Sana Anaitwa Desmondi Tutu.

Hawa ndio walikua wanamapinduzi Pamoja na Tata Madiba. Kuanzisha Arakati za Kupinga Ubaguzi wa Rangi.

Nenda Marekani Kamuulizie Mtu Anaitwa Martin Luta king. Naye alikua Mtumishi wa Mungu. Aliye pinga ubaguzi wa Rangi, Mpaka ikapelekea Kuuwawa.

sasa kwa kina Ngwajima na Msigwa. Ni kipi kipya? Au cha kushaangaza?

Ni ujingatu na uvivu wa kufikiri kwamba wanasiasa ndio wenye nchi. Na kusahau kwamba hata wachungaji nao ni wananchi, na siasa ni sehemu ya Maisha yao.

Yesu Mwenyewe alikua Mwana Harakati. Mtume Muhamadi naye Alikuwa Mwanaharakati. Na watetezi wa Haki za Wanyonge.

Tuache ujinga. Wa kudhani wanasiasa ndiyo kila kitu na wala hawahitaji viongozi wa Dini wa wakosoe na hata kutofautiana nao kifikra hata kuwapinga pale ambapo hawa fanyi vyema.

Kukemea. Au kukukataa ni wajibu wa viongozi wa Dini kusimama katika kweli,

Rejea katika Biblia kitabu cha (1samwel) Nabii Samweli alipo Mkataa wazi wazi Mfalme Saul. Na kumpigia Debe Daudi.

Hakuna jambo jipya chini ya jua. Kama ccm imekataliwa na Mungu. Hata watumishi wa Mungu. Wataikataa. Na wananchi wataikataa.
 
Mpuuzi usimjibu unampaisha achana nae mkuu!
 
Slaa kama Muumini wa kanisa la Romani Katoliki amefanya kile ambacho Papa Francis (kiongozi mkuu wa kanisa) amekubaliana naye kwamba hata kwenye hiyo dini sasa wanaweza 'kutalakiana na kuoa/kuolewa upya. Dr Slaa, ni mwana falsafa aliyebobea, aliliona hili mapema ila wenzake, na wewe amkulifikiria. Labda uniambie Papa Francis na wanasheria wa Kanisa Katoliki ni mbumbumbu.
Hilo la kutalikiana RC halipo na halitokaa liwepo...Yale yalikuwa ni bwembwe za magazeti pekee.
 
Tumepewa akili, ni vema tuzitumie akili zetu tuwatambue watu wajanja wajanja na walaghai.
 
Hii ni tofauti kwa Gwajima ambaye ni mtomvu wa heshima ya kiongozi wa dini kwa kueleza siri za familia aliyoipa huduma za kiroho kisa tu kachokozwa kisiasa na yeye kajibu kwa kutoa siri za familia ya Slaa.

Angekuwa daktari angeweza kufutiwa cheti na kudaiwa fidia.

Hii ni trend ya Gwajima anayejiita Bishop ambayo inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la Tahadhari hasa hasa na waumini wake wanaompelekea siri za ndani.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANI!!

sio hilo tu kasema(gwajima) huwa anarekodi kila mazungumzo ; sasa mtizame(gwajima) anavyojua kulipuka :blabla: endapo akivurugwa ...chukulia mmesha tofautiana na clip yako yakuomba msaada wa kiroho anayo sipati picture :scared:
 
Ni muda mrefu jamii yetu imekuwa ikiwaheshimu na kuwaamini viongozi wa dini katika masuala mbalimbali ya kiroho na ustawi wa familia.

Ni jambo la kawaida sana kwa waumini wa dini zote kupeleka matatizo yao mbalimbali ya kifamilia kwa viongozi wa dini.

Ni dhahiri kwamba wengi wetu hupeleka masuala mbalimbali hata yale ya unyumba na siri nzito nzito za chumbani na familia kwa ujumla kwa kuwa tuna imani viongozi wa dini wana hulka ya kutunza siri na kusaidia kutatua matatizo yetu ya kiroho au kifamilia.

Hii ni tofauti kwa Gwajima ambaye ni mtomvu wa heshima ya kiongozi wa dini kwa kueleza siri za familia aliyoipa huduma za kiroho kisa tu kachokozwa kisiasa na yeye kajibu kwa kutoa siri za familia ya Slaa.

Angekuwa daktari angeweza kufutiwa cheti na kudaiwa fidia.

Lakini tukumbuke ni Gwajima huyu huyu aliyeshutumiwa kuvuruga ndoa ya Mbasha badala ya kutatua mgogoro wa familia hiyo.

Hii ni trend ya Gwajima anayejiita Bishop ambayo inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la Tahadhari hasa hasa na waumini wake wanaompelekea siri za ndani.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANI!!

Hapo nmenena. Ni juu ya waumini na wale wanaodhani kuwa huyu Gwajima ni mteule kufikiria upya.

Mimi nimeshamtoa thamani kabisa kwa vile ni muongo na Mnafiki. Hilo uliloliongeza ni la tatu.

Huki kinyago hakifai kabisa, ni ukoma wa kuuepuka.
 
Ni muda mrefu jamii yetu imekuwa ikiwaheshimu na kuwaamini viongozi wa dini katika masuala mbalimbali ya kiroho na ustawi wa familia.

Ni jambo la kawaida sana kwa waumini wa dini zote kupeleka matatizo yao mbalimbali ya kifamilia kwa viongozi wa dini.

Ni dhahiri kwamba wengi wetu hupeleka masuala mbalimbali hata yale ya unyumba na siri nzito nzito za chumbani na familia kwa ujumla kwa kuwa tuna imani viongozi wa dini wana hulka ya kutunza siri na kusaidia kutatua matatizo yetu ya kiroho au kifamilia.

Hii ni tofauti kwa Gwajima ambaye ni mtomvu wa heshima ya kiongozi wa dini kwa kueleza siri za familia aliyoipa huduma za kiroho kisa tu kachokozwa kisiasa na yeye kajibu kwa kutoa siri za familia ya Slaa.

Angekuwa daktari angeweza kufutiwa cheti na kudaiwa fidia.

Lakini tukumbuke ni Gwajima huyu huyu aliyeshutumiwa kuvuruga ndoa ya Mbasha badala ya kutatua mgogoro wa familia hiyo.

Hii ni trend ya Gwajima anayejiita Bishop ambayo inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la Tahadhari hasa hasa na waumini wake wanaompelekea siri za ndani.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANI!!

Gwajima ni mmoja wa manabii wa uongo wa LOWASSA

CA2gO_CUIAAJwHq.jpg
 
Kama angekuwa amewasema ukawa ccm wangemsifia sana gwajima kwamba ni kiboko yao. Umesahau kwamba kuna viongozi wa dini waliwahi kutoa tamko kwamba wasiwapigie kura chadema ccm waliwasifia kweli kwamba wamefanya vizuri.

Halafu wewe huna mamlaka yoyote ya kuwafundisha labda kama mke wako anaendaga huko mkataze na hata hivyo huna haki kumkataza mkeo maana ni maswala ya imani
 
Nani kakudanganya kwamba Gwajima ni kiongoz wa kiroho,,,, wenye akili zao wanajua Pasipo shaka kwamba Gwajima ni mwanasiasa pia ni kiongozi wa Ukawa.... Dini anautumia tu Kama kichaka cha kufichia maovu yake.
 
Back
Top Bottom