Asalaam alyeikhum wanajamvi,,,,,,,,,!!!!!!
Natumai wote tu wazima wa afya na zaid tunazidi kupambana na maisha ya kila siku katika kulijenga taifa letu la tanzania nami nikiwa mmoja wapo wa wajenzi hao
Nimekuwa nikijiuliza swali hili kila niendapo kanisani na nitokapo ninapoona mchungaji anafanya vitu tena hadharani bila hata aibu mfano mchungaji GWAJIMA NA MSIGWA
Hivi hawa wachungaji ambao kimsingi sadaka zetu ndo zinawaweka hapa mjini wameshindwa kumtumika Mungu na KUANZA KUJIHUSISHA na uhaini kiasi hiki? hivi ni kweli Msigwa umeanza kusema wanakuroga mchungaji mzima ati ndo maana haujazi watu? ama wewe hauna imani thabiti? na kwanini umekula milion 300 za lowassa ili usikemee uovu? jamani iko wapi tofauti yako na yuda eskarioti?
Bwana Gwajima mbona unashusha hadhi yako? hivi pamoja na utashi wako unashindwa kujua mbivu na mbichi mpaka unadai mke wa slaa anatumia nguvu za giza wew mchungaji? je wafuasi tukueleweje? ama ndo mahaba ya siasa yamekuharibu kiasi hiki?
hivi na wew sasa hivi umeanza kutumika kuandaa watu wa kuujaza mkutano wa mtu aliyetuibia na kuifilisi nchi yetu? kiasi cha kumlinganisha lowassa na Joshua hivi ni Mungu yupi unayemuabudu?
hakika nimeamini fedha humfanya mwanaume kuwa mwanamke na mchungaji kuwa kibaka!
MSIGWA NA GWAJIMA kwa hili siwaungi mkono tubuni dhambi zenu na mmrudie Mungu