Tahadhari kwa wana JF wote wa kiume

Tahadhari kwa wana JF wote wa kiume

Wanini kuchukua watoto wa Form II B wakati Makonki wapo kitaa kibao wametega MINGO? Miaka 30 ipo nafahamu kama watu wawili walichezea Mvua 30 kama masikhara kwa kutembea na vitoto vya shule!!! Naipongeza sana serikali kwa kuweka sheria hizo kali kwa mabazazi,naona waongeze ziwe nyundo aka mvua 50.
 
Itakuwa wewe ni handsome. Mabinti wa umri huo wana shobo sana na wanaume wazuri.
Huyu toka anitumie msg likizo ya pasaka leo naona msg yake.

Nimeamua kuwalea tuu. Mimi sio kama Kanumba[emoji1787][emoji1787]
20190609_233953%20(1).jpeg
 
Huyu toka anitumie msg likizo ya pasaka leo naona msg yake.

Nimeamua kuwalea tuu. Mimi sio kama Kanumba[emoji1787][emoji1787]View attachment 1123323
"Poa habari za masomo"[emoji16][emoji16][emoji16].
Safi sana hakikisha wanasoma wasije wakakusababishia balaa.
Nimependa unavyowa treat nimetamani kujua umri wako japo unaweza usiniambie.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] 28
"Poa habari za masomo"[emoji16][emoji16][emoji16].
Safi sana hakikisha wanasoma wasije wakakusababishia balaa.
Nimependa unavyowa treat nimetamani kujua umri wako japo unaweza usiniambie.
 
Mmoja nilikutana nae kwenye Ndege Arusha to Dar akaniomba namba ya simu

Mwingine aliniomba namba ya simu niwe kaka yake, nilienda kwenye mahafali shuleni kwao
Aise unaonekana na nyota ya hao mabinti, jitahidi tu kuwakwepa mkuu wasije kufanya ukaishia pabaya
 
Msichukue wa tauni,chukua anaesoma mkoa akija anaweka kambi gheto,unabwengaaaaaaaa wiki nzima,
akifunga skuli anatia timu,akiondoka anatia timu analala kama siku 2 hakuna noma,
wa hapa hapa.longolongo nyingi sana na wanga wengi,mpaka mchana
Sio jambo la busara kutembea na mwanafunzi mkuu, mbona wapo mabinti wengi mitaani waliohitimu na wasiosoma
 
Nilikutana nae Kilimanjaro Int. Airport. Alinisumbua sana kwenye Ndege nikampa namba. Ndo tukafikia huko. Leo kamenipigia kananiuliza nipo Dar au Arusha, sijui kanataka nn
Unampa namba yako mwanafunzi, wewe ni mwalimu. Acha janjajanja kijana. U knew exactly wat will happen and yet uko hapa bragging kwamba u ar such a nice person...i dont buy that crap[emoji41]
 
siwezi kusema jamaa mpumbavu ila nimpe pole tu kiukwel wanaume hatuangaliahi tunsposhikwa
 
Kwani ukiwanunulia halafu ukawaacha kuna shida gani? Yaani ugegede mtoto wa watu kisa elfu mbili tu jamani hivi wanaume mnatuchukuliaje wanawake? Hizi ni dharau aisee

Tatizo hili linaanzia mbali sana na si kweli kwamba wanaume wote wapo kama huyu aliekutwa na kesi ukishakosa self-awareness ni tatizo kubwa sana
 
Hizi sharia kandamizi hasa kwetu me.
Wangetunga na upande wa ke kwamba akionekana anajishebedua mbele ya me apate miaka 30 jera.
Sipendagi ujinga kabisa.
Kwani umeambiwa kuwa kila ukimuona mwanamke anajishebedua ni lazima upite naye? Kama ni tamaa zako ndo ukubali zikuponze
 
Back
Top Bottom