Tahadhari kwa wana JF wote wa kiume

Tahadhari kwa wana JF wote wa kiume

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
5,139
Reaction score
12,912
Wakuu hawa watoto wa shule wanaovaa sketi kaeni nao mbali kabisa, Ninaandika haya maneno kwa uchungu mkubwa kabisa na masikitiko mazito,

Rafiki yangu kanyeshewa mvua ya miaka 32 kwa kufumaniwa na mwanafunzi wa shule,

Dah wakuu hawa watoto hawafai kabisaa.
 
Back
Top Bottom