Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,548
- 88,539
DaahTatizo hili linaanzia mbali sana na si kweli kwamba wanaume wote wapo kama huyu aliekutwa na kesi ukishakosa self-awareness ni tatizo kubwa sana
DaahTatizo hili linaanzia mbali sana na si kweli kwamba wanaume wote wapo kama huyu aliekutwa na kesi ukishakosa self-awareness ni tatizo kubwa sana
Hahhhahhhahhaa..duuh..skuizi watoto wa secondary ni noma[emoji23]...this is crazy,like howww??doh!..Hawa watoto acha tuu. Wananipenda sijui wanaanzia wapi. Ninao kama watatu hivi.Ngoja wasome kwanza wamalize shuleView attachment 1123317View attachment 1123318View attachment 1123319View attachment 1123320
Hata ww Mzazi wa Bint,uwe na huruma juu ya kijana aliefanya tendo na mwanaoUsipokua mzazi unaweza ukaona kama jamaa ameonewa kwa hiyo miaka alopewa kifungoni, ila ngoja uwe na mtoto alafu apigwe mimba akiwa form 2 ndo utajua uchungu wake.
Hahhhahhhahhaa..duuh..skuizi watoto wa secondary ni noma[emoji23]...this is crazy,like howww??doh!..
Wafungwa wa aina hiyo msamaha wa Rais huwahusu.Akili mkichwa miaka 30 lupango ikitokea 2020 hutoki hadi 2050 kama ukiwa hai.
Hahaha,ah wapi. .niseme nlikua fake labda. Hata kama ningekua na hisia ka hizo nisingeziexpose kwa kiwango hiko..kimya kimya. That is too much for a school girl (secondary).Ahahah bila shaka hata ww ulikuwa hivyo enzi zako
Hahaha,ah wapi. .niseme nlikua fake labda. Hata kama ningekua na hisia ka hizo nisingeziexpose kwa kiwango hiko..kimya kimya. That is too much for a school girl (secondary).
Mtoto kwa mtoto!!Wakuu hawa watoto wa shule wanaovaa sketi kaeni nao mbali kabisa, Ninaandika haya maneno kwa uchungu mkubwa kabisa na masikitiko mazito,
Rafiki yangu kanyeshewa mvua ya miaka 32 kwa kufumaniwa na mwanafunzi wa shule,
Dah wakuu hawa watoto hawafai kabisaa.
Huo utaratibu wa masaa 12 haupo,upo utaratibu wa punguzo la 1/3 ya muda wa kifungo chako.Lini imebadilishwa?
Haka katoto ni kapuuzi.Hawa watoto wa kike wapo sana. Kuna huyu kila siku ananiomba mapenzi. Nasubiri amalize shule. Sasa hivi namkazia mbaya kabisaView attachment 1123298View attachment 1123299
Haka katoto ni kapuuzi.
Ahhahahhah,nshakimbia as follows, kabla hata sijaona hayo maasi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125].Aiseee. Yani hadi nashangaa, hizo msg ni za school girls nikikuonyesha za wake za watu wa watu utakimbia
Lete mkuu tushuhudie maajab ya michepukoAiseee. Yani hadi nashangaa, hizo msg ni za school girls nikikuonyesha za wake za watu wa watu utakimbia
Endelea tu kukumbatia transfoma la umeme,unachokitafuta utakipata.Mi niko juu ya kiuno cha mtoto wa kidato cha 3 A sasahivi
Umezungumzia kiutani lakini post yako ina hoja nzito sanaHizi sharia kandamizi hasa kwetu me.
Wangetunga na upande wa ke kwamba akionekana anajishebedua mbele ya me apate miaka 30 jera.
Sipendagi ujinga kabisa.