Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,927
- 183,353
Yaani hapo nina hasira na wivu pia, wazee wenzenu hamtuoni hadi mhangaike na watoto?Ni wivu tu!!
Na mfungwe tu.
Yaani hapo nina hasira na wivu pia, wazee wenzenu hamtuoni hadi mhangaike na watoto?Ni wivu tu!!
Sawa uwe makini na wewe pia.
Aisee hao watoto n shda nna mshkaji wangu cjui hata alikimbilia pori gan mwaka unaisha sasa ajulikan alipo kisa mwanafunz
Hawa watoto wa kike wapo sana. Kuna huyu kila siku ananiomba mapenzi. Nasubiri amalize shule. Sasa hivi namkazia mbaya kabisaSawa uwe makini na wewe pia.
Lupango si wanahesabu siku kwa 12 hours ama ilishabadilishwa??Akili mkichwa miaka 30 lupango ikitokea 2020 hutoki hadi 2050 kama ukiwa hai.
Lupango si wanahesabu siku kwa 12 hours ama ilishabadilishwa??
Haipo tena hiyo...ni yenyewe yenyewe tuu mzee babaLupango si wanahesabu siku kwa 12 hours ama ilishabadilishwa??
Yah ndo ipo hivyo mkuuOh! Kwa hiyo miaka 30 jela ni sawa na miaka 15? Silijui hili Mkuu.
Lini imebadilishwa?Haipo tena hiyo...ni yenyewe yenyewe tuu mzee baba
Mwendelezo[emoji16][emoji16]Hawa watoto wa kike wapo sana. Kuna huyu kila siku ananiomba mapenzi. Nasubiri amalize shule. Sasa hivi namkazia mbaya kabisaView attachment 1123298View attachment 1123299
Mambo yenye ndo kama hayo ananiomba mapenzi na mambo mengi kuweka hapa ni aibuMwendelezo[emoji16][emoji16]
Hapana ajadakwa ila bado wanamtafuta, ad kaz aliikimbia kaacha kisa mwanafunzi wa form 3Labda walishamdaka