Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,548
- 88,539
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasikia cobra wakiingia ndani break ya kwanza chini ya mto au ndani ya shuka,, sasa siku mmoja akiingia kwako na ukagundua kama nakuona unavyoenda kuhama nyumba..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani mie naogopa nyoka hadi sio vizuri. Nikipita mahali nikakuta kauawa yaani kitu kikinigusa tu naruka na silali kwa amani siku hiyo.