Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,817
- 5,403
Kudadadeki ...ngoja nirudi zangu nikalale kulekule KAUNTA
WapoNiliwahi sikia kuna nyoka anaitwa ndumilakuwili huyu nyoka ana vichwa viwili na vyote vinaweza kumgogonga mtu, ni kweli?
Kweli, yaani ile dharau kabisa, atajiangusha hapo chini, basi sivyo mtatoka nduki, fala sana yule nyoka! 🤣 🤣 🤣 Ishanitokea siku moja nikiwa baharini, niko ufueni kule nimechill na masela chini ya miti kibao, alijiangusha mmoja, nakwambia tulikimbia tukaacha hadi viatu na pesa chini, kudadadeki yule mdudu ana masifa usipime! 🤣Bela Ciao kumbe ndio maana nyoka wa kijani wanamwita nyoka mmbeya sababu mkiwa chini ya mti mnapiga soga yeye anawasanifu kumbe ni green mamba
Inaonekana kuna species maelfu ya nyoka duniani.Yuko mmoja anaitwa Puff Adder (kifutu) ni mfupi mno lakini mnene na sio mchokozi ila ukimkanyaga ndio anakuuma na mguu unaweza oza hadi ukatwe ninavyosikia.
**Tabora inasemekana kuna nyoka mrefu akiwa juu ya mti ukipita anarukia utosini anakugonga ni huyu koboko?
**Nyoka wapo wanawinda usiku au ni mchana tu.
**Wengi wa nyoka normally hawako aggressive hadi washokozwe au wakanyagwe.Je wapo ambao bila kuchokozwa akikuona unakuja anakusubiri au pengine kukukimbiza?
Ahsante Mshana Jr kuanzisha mada hii.
Ahsante Bela Ciao kujibu kitaalamu.
HahahahaKweli, yaani ile dharau kabisa, atajiangusha hapo chini, basi sivyo mtatoka nduki, fala sana yule nyoka!![]()
![]()
Ishanitokea siku moja nikiwa baharini, niko ufueni kule nimechill na masela chini ya miti kibao, alijiangusha mmoja, nakwambia tulikimbia tukaacha hadi viatu na pesa chini, kudadadeki yule mdudu ana masifa usipime!
![]()
Ok mkuu.Niseme hivi nyoka za awamu ya tano zilikuwa zinauma kwerikweri.Nyoka za awamu ya hii ni pole kama mama yetuAwamu ya sita![]()
huyu ndio Kifutu...nakumbuka nilikua nimechoka zangu naenda geto nkamkuta mzee katulia mlangoni anakula upepo,maeneo yetu huku wako sana ni kawaida kuwaona na unaishi kwa tahadhari sanaBela Ciao kumbe ndio maana nyoka wa kijani wanamwita nyoka mmbeya sababu mkiwa chini ya mti mnapiga soga yeye anawasanifu kumbe ni green mamba