Son.j
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 1,030
- 2,447
Unamaanisha kasa?? Kobe majiHahahah!
Mkuu refer kobe maji waotoka Australia kuja Tz kutaga wanaacha mayai yenyewe yanajiangua watoto nao wanaenda Australia 😃😃
Unamaanisha kasa?? Kobe majiHahahah!
Mkuu refer kobe maji waotoka Australia kuja Tz kutaga wanaacha mayai yenyewe yanajiangua watoto nao wanaenda Australia 😃😃
ni kisiwa Galapagos ndio turtle wana sifa hiiHahahah!
Mkuu refer kobe maji waotoka Australia kuja Tz kutaga wanaacha mayai yenyewe yanajiangua watoto nao wanaenda Australia![]()
Sorry,huyu mdudu anaitwaje nishawahi kumkuta room kwangu
, nilidhani ni jongoo
ngoja usiku niamke kimya kimya nafyeka haya maua ya mama wa nyumba yotee, au kesho nikanunue ile dawa ya kuyakaushaaa.
Na anavyoamini uchawi alooo mchungaji lazima amle kichwa, maana nishawahi ona kitu kinatereza tereza kwenye dirisha leo ndio nimegundua sio ndoto ilikuwa kifoo.
Ubarikiwe mkuu


Huyu bwana nimemkuta chini ya fagio, ningejichanganya kidogo tu angeniadhibu vikaliView attachment 1268636
Nimejenga choo na banda la kuku.....Huajenga bado yakwako?!!
Ndio kakaYa kienyeji?