Tahadhari: Huu ni msimu wa nyoka!

Tahadhari: Huu ni msimu wa nyoka!

Mkuu kutokujua haimaanishi wewe ni mpumbavu.. Unaweza tu kukubali ulikuwa hujui, na hakuna binadamu anaejua kila kitu... Naomba nikufahamishe mimi nyoka nacheza nao nawajua tabia zao zaidi ya unavyofikiri..

Nimesoma vitabu zaidi ya 6 vya reptiles na hakuna hata kimoja kimesema kuna BLACK MAMBA wa kijani

Nimewaona Black mamba, Tabora, Mikumi, serengeti, Arusha (Metheran snake park), Snake park ya Mji wa Mikumi, Mwanga... Hakuna sehem nimeona wa kijani

Hata saivi ukienda google watakuambia rangi ya Black mamba kuanzia mtoto inakuwa Grey adi anapevuka inakua dark brown

ata kama ikitokoea ana tatizo la "Melanism Pigmentation" hawezi kuwa GREEN...

Acha story za vijiweni, Tembelea vivutio ujifunze
 
Naomba wajuvi mtuambie ni dawa gani itasaidia kuwapunguza kama siyo kuwafukuza kabisa hawa wadudu?inatisha sana maana nyumbani watoto bado wadogo na ijumaa ya week iliyoisha nilipigiwa simu mchana kwamba wamemuona huyu nyoka wa kijani aki-survey maeneo ya nje ya nyumba.

Nimeuliza watu nilio nao karibu wananiambia oil chafu inasaidia sasa sijui ni kweli!
 
Pia Nasikia mafuta ya mdarasini na karafuu ni good repellent of snakes.Na ni vizuri ndani ya nyumba uwe na jiwe la sumu.Simple kutengeneza eti unachukua mfupa wa mnyama then unaufunga kwenye foil afu unauchoma.

Oil chafu simple kuipata kwenye garage unawezapata bure.
Asante Kwa angalizo mkuu, nyoka ni kiumbe hatari sana, hata tandu ni hatari pia. Ngoja nikatafute oil chafu ..
 
Na mafutataa pia
Naomba wajuvi mtuambie ni dawa gani itasaidia kuwapunguza kama siyo kuwafukuza kabisa hawa wadudu?inatisha sana maana nyumbani watoto bado wadogo na ijumaa ya week iliyoisha nilipigiwa simu mchana kwamba wamemuona huyu nyoka wa kijani aki-survey maeneo ya nje ya nyumba.

Nimeuliza watu nilio nao karibu wananiambia oil chafu inasaidia sasa sijui ni kweli!
 
.
Nyoka mwenye sumu Kali kuliko wote Duniani ni ccm!
IMG-20191117-WA0113.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ni kweli juzi kati hapa nilifanikiwa kukauwa katoto kanyoka kalikoingia ndani
 
Kati ta hayo majoka unafuga aina ipi?
 
Anaitwa green mamba acha uongo wewe

State agent
1.Angalizo msije dhani black mamba aliitwa hivyo vile mweusi la hasha wapo black mamba wa kijani.
Waliitwa hivyo sababu ufizi wao ni mweusi sio mwekundu.
2.Ni kweli mafuta ya taa na jamii za petrol ni kero kwao sana na mafuta ya samli.Ukifanikiwa kumpaka mwilini anapata hasira mno atakutafuta kukushambulia ila ukweli baadae atakufa lazima
Mahali popote penye maoil yaliyomwagika garage au petrol station uliza wameshawahi ona nyoka?
 
Mkuu kutokujua haimaanishi wewe ni mpumbavu.. Unaweza tu kukubali ulikuwa hujui, na hakuna binadamu anaejua kila kitu... Naomba nikufahamishe mimi nyoka nacheza nao nawajua tabia zao zaidi ya unavyofikiri..

Nimesoma vitabu zaidi ya 6 vya reptiles na hakuna hata kimoja kimesema kuna BLACK MAMBA wa kijani

Nimewaona Black mamba, Tabora, Mikumi, serengeti, Arusha (Metheran snake park), Snake park ya Mji wa Mikumi, Mwanga... Hakuna sehem nimeona wa kijani

Hata saivi ukienda google watakuambia rangi ya Black mamba kuanzia mtoto inakuwa Grey adi anapevuka inakua dark brown

ata kama ikitokoea ana tatizo la "Melanism Pigmentation" hawezi kuwa GREEN...

Acha story za vijiweni, Tembelea vivutio ujifunze
Ahsante mkuu nimesoma kiundani kumbe neno MAMBA ni jamii ya nyoka flani ndio sasa kukawa na Black Mamba na Green Mamba.Sasa najiuliza hawa nyoka wa kijani wapole na wembamba tunaokutana nao majumbani ni green Mamba?
Mkuu kuna nyoka mwenye sifa ya hatari Tabora anaitwa Koboko je ndio black mamba.
Hongera wewe ni herpetologist mzuri
Ahsante kunijuza ila Black Mamba anatisha sifa zake kuwa anauma mara nyingi.
Ila anaonekana hapendi bugha ya binadamu bila hivyo wangekuwa wanaingia majumbani watu wangekufa sana
 
Back
Top Bottom