Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 5,187
- 19,408
Kama mwoga jitahid kukaa na maji ya moto ndan,,,ukimwagia tu anakufaNilisikia nyoka ukimmwagia mafuta ya taa anakatika katika ni kweli
Hakuna black mamba wa kijani... Bali hawa nyoka aina ya MAMBA, wapo aina nyingi ikiwemo wa kijani1.Angalizo msije dhani black mamba aliitwa hivyo vile mweusi la hasha wapo black mamba wa kijani.
Waliitwa hivyo sababu ufizi wao ni mweusi sio mwekundu.
2.Ni kweli mafuta ya taa na jamii za petrol ni kero kwao sana na mafuta ya samli.Ukifanikiwa kumpaka mwilini anapata hasira mno atakutafuta kukushambulia ila ukweli baadae atakufa lazima
Mahali popote penye maoil yaliyomwagika garage au petrol station uliza wameshawahi ona nyoka?
Hakuna black mamba wa kijani... Bali hawa nyoka aina ya MAMBA, wapo aina nyingi ikiwemo wa kijani
Nilikuonya usilale mwenyewe ukawa mbishi, ona sasa!!Najuuta kuufungua huu uzi usiku, hizo picha hadi nimewasha taa![]()
Nilikuonya usilale mwenyewe ukawa mbishi, ona sasa!!









Haha, ngoja upishane nae kitandani leo usiku, utamtafuta tu wa kulala nae!!
Ngoja nitafute mtoto wa kulala nae
Nilimkuta gheto... Mama ake na msaka vibaya mno. View attachment 1265438
Ujanja wako wote umeishia mfukoni😀😀Najuuta kuufungua huu uzi usiku, hizo picha hadi nimewasha taa![]()
Nilisikia nyoka ukimmwagia mafuta ya taa anakatika katika ni kweli