Tahadhari: Huu ni msimu wa nyoka!

Tahadhari: Huu ni msimu wa nyoka!

Naogopa nyoka uwiii, majuzi nmetoka kwenye saa 4 usik kufunga geti kubwa la nje ile kurudi ndan mlangoni kumbe kuna nyoka sijamuona nikamkanyaga lkn hakuniuma ila alishtuka akanigusa kwenye mguu. Alikua wa rangi ya majivu sijui ndo anaitwaje nilikimbia na kilio juu. Muda wa kulala sasa nilihangaika kulala nashindwa nahisi na yeye yupo kitandan. Nyoka ni balaa
 
Niliwahi kuskia kuwa hata mkikutana ile ghafla ukashtuka na kudhamiria kujihami yeye kuna rangi anaiona ambayo inampa tafsiri kwamba unataka kumdhuru hivyo anaweza akakuwahi kukugonga
Nyoka waliowengi hawapo agressive,hivyo sio rahisi kukudhuru hasa kama hujamuona. Unaweza kaa nae ndani kila mtu akawa na mishe zake. Hata ukimuona unaweza mpisha asepe zake.

Inasemekana nyoka anauwezo wa kujua kusudio lako ( what u think to act) hata kabla hujafanya kitendo.
 
Huko mbali hivyo hapo snake park Arusha tu sikanyagi hata kwa milioni.

Sasa wewe unaambiwa mama yake hayuko mbali unafikiri masikhara hayo? Nikaona huu mfurugano sitouweza, wabakie tu na nyumba yao.

Yote tisa sasa, kuna siku tai ilidondokea uvunguni, ike kuinama nisafishe uvunguni nikaona kitu kimejikunja. Haki sio kwa mbio zile, nikaisusa nyumba wiki. Walipokuja kuangalia wakakuta ni tai eti
Chamdeko 🤗🤗
 
Mungu wangu mbavu zangu,, haki wewe umeshindikana kwa uwoga..
Huko mbali hivyo hapo snake park Arusha tu sikanyagi hata kwa milioni.

Sasa wewe unaambiwa mama yake hayuko mbali unafikiri masikhara hayo? Nikaona huu mfurugano sitouweza, wabakie tu na nyumba yao.

Yote tisa sasa, kuna siku tai ilidondokea uvunguni, ike kuinama nisafishe uvunguni nikaona kitu kimejikunja. Haki sio kwa mbio zile, nikaisusa nyumba wiki. Walipokuja kuangalia wakakuta ni tai eti
 
Sasa mbona ninapo ishi Wapo tandu wengi sana tena weusi na nge kwani wana sumu ya kuua?
Hii inatuhusu kwa siye tunaoishi shamba, tunauzingatia ushauri huu. Mahali nilipo kuna wadudu kama tandu wakubwa, weusi nao ni hatari; siku moja nilimkuta kibarazani amejificha na kuzaliana kwenye madumu ya maji ambayo hayaguswi, tuwe makini.
 
pole
Naogopa nyoka uwiii, majuzi nmetoka kwenye saa 4 usik kufunga geti kubwa la nje ile kurudi ndan mlangoni kumbe kuna nyoka sijamuona nikamkanyaga lkn hakuniuma ila alishtuka akanigusa kwenye mguu. Alikua wa rangi ya majivu sijui ndo anaitwaje nilikimbia na kilio juu. Muda wa kulala sasa nilihangaika kulala nashindwa nahisi na yeye yupo kitandan. Nyoka ni balaa
 
Je kuna dawa ya kufukuza nyoka na wadudu wanaotambaa?
 
haki nimecheka hadi nimepaliwa,, kwahiyo hao waliokuambia kuwa mama yake hayuko mbali ndiyo wakakufurugha kabisa?? Ukaona uwaachie nyumba mtu na mama yake wajinafasi vizuri

Hivi mtu akikuambia anakupa offer ya kuenda kutembelea kisiwa fulani kiko Brazil kinaitwa Snake Island yaani wanaishi nyoka tu wa kila aina dunia hii,, halafu gharama zote juu yake na anakupa hela ya ziada utakubali??
Kama kakimbia nyumba kisa kitoto cha nyoka hiyo offer ya kwende kutalii snake island si atakimbia Dunia na kuhamia Mars kabisa.
 
Kisiwa cha nyoka
FB_IMG_15642588545886872.jpeg
 
kUNA NYOKA MWINGINE HATARI wengi hawamjui. Ni kama mwoga ila ukimchokoza ndio asili yake hujionyesha. Green Mamba ni yule nyoka wa kijani. Sifa zake ni kama Black Mamba. Ila Wengi humuita nyoka wa kijani. Ni mpole na kama mwoga vile mana unaweza mkaribia yeye akakukimbia. Ila ukimfuatilia zaidi au akajua unataka kumdhuru ndio dhoruba yake huanzia hapo. Tabia yake inakuwa kama Black mamba.
Sahihisho, sio kila nyoka wa kijani ni green mamba.
 
Back
Top Bottom