Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,840
- 25,367
Ni ndoa maana mnapata ujuziDuuuuh hiyo Sasa sio ndoa.
Ndio maana kuchepuka huwa ni siri. Muhusika akijua hata kama yeye anachepuka hapatakalikaNi ndoa maana mnapata ujuzi
Sawa ila inaupungufu Fulani wa kusumbuanaNdio maana kuchepuka huwa ni siri. Muhusika akijua hata kama yeye anachepuka hapatakalika
Mkuki kwa nguruwe.Sawa ila inaupungufu Fulani wa kusumbuana
Mkuu kuna haja gani ya kufuga ng'ombe wakati maziwa ni bei cheeLazima kataa ndoa kubali uzuzuz
Anaye mtaka mwenye hela nae inabidi awe na hela.Sikieni watu usitafute mtu ambaye Hana swagga zako
Kama wewe ni Malaya hutulii oa kahaba ndio mtaelewana.
Ukiwa handsome qute na unamadharau oa hivyo hivyoo mke mqute na mwenye madharau , .
Oa mwanamke mwenye sura yakutisha kushinda wewe kama wewe una sura mbaya Kwa sababu utapunguza malalamiko,
So oa wakufanana nawewe . Ili upunguze lawama katika ndoa sio unaoa mke Hana chura na unapenda chura hiyo sio sawa ni lawama . Oa mke umtakaye.
Kivipi cutestWalaghai hao balaa
Ninazo hela zakutosha sema sisemi tuAnaye mtaka mwenye hela nae inabidi awe na hela.
Nimekukumbusha hii point naona ulihisahau.
Wapo kutamanisha Mwili huo Kwa Kila mwanamkeKivipi cutest
Nimekukumbusha hii point ulihisahau.Ninazo hela zakutosha sema sisemi tu
Wewe utakuwa ni mweusiMie nataka mtu gentlemen anahela katika Dubai , au USA awe mweupe awe na six park mie nachura lakutosha . Awe tall na pia awe anapendeza kama huyu
Hiyo ngumu kumeza dah mwamba unafikiri nje ya box sijui mrembo atajibujeAnaye mtaka mwenye hela nae inabidi awe na hela.
Nimekukumbusha hii point naona ulihisahau.
Sijui hata lini mchumba mwenyewe sijapata bado.Eti eh haswaa lini tuvae vitengee vya heshima tukajidai
Mie nataka mtu gentlemen anahela katika Dubai , au USA awe mweupe awe na six park mie nachura lakutosha . Awe tall na pia awe anapendeza kama huyu
Sasa mbona hao ni wanaume wanne tofauti 😅Mie nataka mtu gentlemen anahela katika Dubai , au USA awe mweupe awe na six park mie nachura lakutosha . Awe tall na pia awe anapendeza kama huyu