Tafuta wakufanana naye

Tafuta wakufanana naye

Watu wanachukulia ndoa very serious, mtu umekutana nae ukubwani alafu unataka aishi unavyotaka wewe, vitu vingine ni kama uchizi, wewe fanya mambo yako na yeye mwache afanye yake. Mnaheshimiana tu
 
Yalaaaaaaaaah yalaaaah 😍😍😍Em nitajie herufi mbili za mwanzo hilo embreeeeee dodo dear.
Sio Moja best zaidi ya Moja wapo serious ila wewe huoni unadhani ni utani sioo utani wapo serious ngoja tu nitatulia nikupe inboboo
 
Mie nimekuchukia hujui tu kunasiku mlidhani mnanisifia mie nikasoma wee nikaona sio mnanisifia hapana nimeona mnaniona kichaa kimaukweli
Nashukuru kwa chuki ila sipo hivyo na siwezi kuwa hivyo kamwe. Naheshimu kila member na kila anachokiwasilisha humu hata kama hakina tija kwangu.
 
Back
Top Bottom