Tafuta wakufanana naye

Tafuta wakufanana naye

Sawa, umeeleweka; pata bia kwa gharama ya mfuko wako.
 
Sikieni watu usitafute mtu ambaye Hana swagga zako

Kama wewe ni Malaya hutulii oa kahaba ndio mtaelewana.

Ukiwa handsome qute na unamadharau oa hivyo hivyoo mke mqute na mwenye madharau , .

Oa mwanamke mwenye sura yakutisha kushinda wewe kama wewe una sura mbaya Kwa sababu utapunguza malalamiko,

So oa wakufanana nawewe . Ili upunguze lawama katika ndoa sio unaoa mke Hana chura na unapenda chura hiyo sio sawa ni lawama . Oa mke umtakaye.

Kaka yangu kaoa mke mwenye chura beautiful na mpole , mstaarabu kama yeye tena mcha Mungu . Sasa kaoe tofauti utalia mwaya .

Lawama zita pungua ....... Oa roho inapenda olewa na mtu mnaeendana .
Ngoja nisubili kuletewa posa
 
Back
Top Bottom