Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 10,799
- 22,217
Mkuu tuambie basi scenario ilivokua mpaka huu ugonjwa ukapatika au kama una refference yoyote ya maneno yako kua ilitengenezwa maabara basi share hapa nasi tupate kujua.Mungu haleti magonjwa.
Bali sisis wenyewe KWA ASILI YA BINADAMU NA WANYAMA LAZMA TUUMWE
Jinsi unavyokula ndivyo utavyokuwa mzima
Ila hao walikaa kabisa MAABARA wakatengeneza corona ndo tujiulize waliitengeneza Corona kwa NIA GANI?
Na vipi leo waseme wanataka kuleta chanjo Nani atawaamini?
Kwa kuanza tu tujuze walioitengeneza ni kina nani??
Nawasilisha