Tafakuri yangu juu ya chanjo ya Corona

Na sio Kila kitu unacholetewa ukubali.
Vita ya chanjo sio Tanzania tu hata huko ulaya na marekani ipo.
Kuna watu wanamlaumu bill gates kuwa katengeneza Corona ili apige hela.
huu ugonjwa sio wa mungu ni wa binadamu ameutengeneza makusudi kwa maslahi yake binafsi
Mkuu hapo ulipo kwanza pegani una chanjo ya Ndui. Nawakati mdogo umeisha chomwa sana machanjo ya kila aina, na bado watoto wako wanaendelea kuchomwa

Note. Wazungu wakitaka kutuua awashindwi sabubu kila kitu tunategemea kutoka kwao kama alivyo sema hapo juu mleta mada

Alafu ukiambiwa ulete ushaidi kwamba Bill Gates ndo katengeneza uo ugonjwa unaweza kusibitisha
 
Kwahiyo una ushauri gani? Tusubirie tuugue tuondoke? Tumshtaki huyo alie tengeneza ugonjwa?chanjo au ?
 
Wala sijakataa.
Ila hii ya Corona inaonekana kuna ujanja ujanja mwingi.
Hata ugonjwa wenyewe ulivyoanza umeanzia "MAABARA".
KWA HYO NI UGONJWA WA KUTENGENEZA.
tujiulize kwanza waliutengeneza huu ugonjwa KWA MADHUMUNI GANI?

Kwanza tujiulize aliyetengeneza Corona alikuwa na NIA GANI?.
huu ugonjwa haukutoka kwa mungu umetoka maabara.hivyo Basi walioutengeneza wanajua dhumuni lao.
Wasubiri kwanza TUFE ndo waje na hizo chanjo kwa Sasa hatuwezi kuwaelewa

Mmh...!!!
IMG-20210129-WA0015.jpg
 
Kwanza tujiulize aliyetengeneza Corona alikuwa na NIA GANI?.
huu ugonjwa haukutoka kwa mungu umetoka maabara.hivyo Basi walioutengeneza wanajua dhumuni lao.
Wasubiri kwanza TUFE ndo waje na hizo chanjo kwa Sasa hatuwezi kuwaelewa
Tunapo endelea kujiuliza ndo tunavyo zidi kupuputika.

Basi kama tunagomea chanjo zao tugomee na zile wanazo pata watoto kwanzia umri wa mwenzi mpaka mwaka na nusu halafu tuje na sulujisho letu.
 
Simusumu tunazokula kwa siku ni nyingi zaidi kuliko chanjo tunayoihofia na unaweza ukute chanjo husika ni salama zaidi kuliko vyakula tulavyo na vinywaji tunywavyo
 
Wala sijakataa.
Ila hii ya Corona inaonekana kuna ujanja ujanja mwingi.
Hata ugonjwa wenyewe ulivyoanza umeanzia "MAABARA".
KWA HYO NI UGONJWA WA KUTENGENEZA.
tujiulize kwanza waliutengeneza huu ugonjwa KWA MADHUMUNI GANI?
Ata magonjwa yanayoletwa na MUNGU,
Uliishawai kujiuliza anayaleta kwa MADHUMUNI gani?
 
Tatizo lipo kwa wenye maamuzi ya mwisho...Tutapiga kelele sana mwisho wa siku wa kupitisha wataunga juhudi kumfurahisha Bwana yule!....
Simusumu tunazokula kwa siku ni nyingi zaidi kuliko chanjo tunayoihofia na unaweza ukute chanjo husika ni salama zaidi kuliko vyakula tulavyo na vinywaji tunywavyo
 
Mpaka sasa kuna virusi vya Corona vya aina nne.

Type 1 ni kile cha kwanza kutoka China,Type 2 ni kutoka UK,Type 3 ni kutoka South Africa na Type 4 kutoka Brazil na vyote vina behave tofauti na hivi vipya vina nguvu kuliko cha kwanza.

Sasa najiuliza tutumie chanzo ya aina gani?,manake UK wametumia chanjo,ndipo kikapatikana kirusi kingine chenye nguvu kuliko cha kwanza.

Hatujui chanjo ipi inatibu Corona ipi,nilitizama BBC Swahili,South Africa washa agiza chanjo,lkn hata wataalam wenyewe kutokana na huu mkanganyiko wanaamini kuna uwezekano mdogo sana hiyo chanjo kusaidia na bado hapo hawajui labda yanaweza kuwa kama ya UK,unawapa watu chanjo kumbe unakizalisha kingine chenye nguvu.

Mpaka sasa kuna chanjo kutoka US,Russia,UK na India ila haifamiki ipi inaweza ikatibu virusi vyote vinne,naona tu makampuni ya madawa wapo kibishara zaidi kwa kuwahi kuwaisha kutengeneza chanjo ili washike soko ,ila upande wa ufanisi wa hizi chanjo zote bado haufamiki ni mwendo wa TRIAL AND ERROR mpaka kwenye AFYA ZA WATU.
 
Bado haujajibu swali.
Unajua waliitengeneza Corona kwa NIA GANI?
wao walikaa MAABARA wakate ngeneza hivhi Cha KUTENGENEZA leo wanatuletea chanjo TUTAWAAMINI KWELI?
Tunapo endelea kujiuliza ndo tunavyo zidi kupuputika.

Basi kama tunagomea chanjo zao tugomee na zile wanazo pata watoto kwanzia umri wa mwenzi mpaka mwaka na nusu halafu tuje na sulujisho letu.
 
Mpaka sasa kuna virusi vya Corona vya aina nne.

Type 1 ni kile cha kwanza kutoka China,Type 2 ni kutoka UK,Type 3 ni kutoka South Africa na Type 4 kutoka Brazil na vyote vina behave tofauti na hivi vipya vina nguvu kuliko cha kwanza.

Sasa najiuliza tutumie chanzo ya aina gani?,manake UK wametumia chanjo,ndipo kikapatikana kirusi kingine chenye nguvu kuliko cha kwanza.

Hatujui chanjo ipi inatibu Corona ipi,nilitizama BBC Swahili,South Africa washa agiza chanjo,lkn hata wataalam wenyewe kutokana na huu mkanganyiko wanaamini kuna uwezekano mdogo sana hiyo chanjo kusaidia na bado hapo hawajui labda yanaweza kuwa kama ya UK,unawapa watu chanjo kumbe unakizalisha kingine chenye nguvu.

Mpaka sasa kuna chanjo kutoka US,Russia,UK na India ila haifamiki ipi inaweza ikatibu virusi vyote vinne,naona tu makampuni ya madawa wapo kibishara zaidi kwa kuwahi kuwaisha kutengeneza chanjo ili washike soko ,ila upande wa ufanisi wa hizi chanjo zote bado haufamiki mwendo wa TRIAL AND ERROR mpaka kwenye AFYA ZA WATU.
Chanjo rasmi ni mbili tuu USA na Ujerumabi
 
Mungu haleti magonjwa.
Bali sisis wenyewe KWA ASILI YA BINADAMU NA WANYAMA LAZMA TUUMWE
Jinsi unavyokula ndivyo utavyokuwa mzima
Ila hao walikaa kabisa MAABARA wakatengeneza corona ndo tujiulize waliitengeneza Corona kwa NIA GANI?
Na vipi leo waseme wanataka kuleta chanjo Nani atawaamini?
Ata magonjwa yanayoletwa na MUNGU,
Uliishawai kujiuliza anayaleta kwa MADHUMUNI gani?
 
Chanjo rasmi ni mbili tuu USA na Ujerumabi
Mpaka sasa hamna chanjo iliyokuwa verified kwa 100%,mimi hizi habari za Corona nazifuatilia kwa 100%,kinachofanyika hivi sasa ni TRIAL AND ERROR,hamna mwenye uhakika na chanjo yake kama itakua suluhu ya tatizo hili la Corona.

Sometimes bora uangalie mchezo kwanza usikilizie,baadae ndio ufanye uamuzi baada ya kupata uhakika.Kitu kingine najiuliza hivi WHO hawana maabara za kucheki hizi chanjo zote za Corona baadae waje na kauli moja kwamba,chanjo hii na hii zipo sawa ila msitumie chanjo hii kwa sababu ..hizi na hizi...

Naona wameachiwa hizi kampuni za madawa hazijari afya za watu naona wao wanafikiria kutengeneza hela,kila kampuni inadai yake ni bora na ina ufanisi mkubwa,yaani vurugu kubwa kwenye hizi chanjo.
 
Mpaka sasa hamna chanjo iliyokuwa verified kwa 100%,mimi hizi habari za Corona nazifuatilia kwa 100%,kinachofanyika hivi sasa ni TRIAL AND ERROR,hamna mwenye uhakika na chanjo yake kama itakua suluhu ya tatizo hili la Corona.

Sometimes bora uangalie mchezo kwanza usikilizie,baadae ndio ufanye uamuzi baada ya kupata uhakika.
Kumbe kwahiyo hizo wanazokazana kuchanjana hazina hakika ya 100%?
 
Back
Top Bottom