Sidhani kama kuna formula hapo maana wanaume hamtabiriki unaweza kumpa within 2 days akagonga na akatulia hapo hapo na mwingine ukamzungusha weee ukithubutu kumpa tu anagonga na kusepa zake so mapenzi hayana formula!
Mambo ya kusubirsubiri na blueballs nani anayataka? Mi kuulizia mwisho mara 2, tabu yote ya nini ilhali sayari hii kuna K za bilioni 3?
Waambie washamba wa majamboz hao.ndio maana mnawekewa bikira bandia ...
Pokea like x 100,000.vijana mnajidanganya sana.
wadada wanajua kabisa kwamba akikupa fasta utamdharau, so anachofanya anakunyima wewe hata mwaka lakini wengine pembeni anawapa kama kawa, ha ha ha unadhani wanawake hawapendi sex eh stop being stupid.
ladies are smarter than u think, utadhani huyu ndo mgumu kuvua chupi kumbi ni wewe tu ndo unayenyimwa.
CHA MSINGI, angalia maongezi yake na mwenendo wake na sio eti kavua chupi fasta, je kama alikua amezidiwa na nyege siku hiyo? kuvua chupi fasta sio kwamba ni mapepe na kukusumbua mda mrefu sio kwamba ni malaya.
watu walioa mabikira then later wakaja kuwafumania na minjemba nje na wapo walioa mapepe na wakatulia kwenye ndoa zao maana walishachoka kuona midushelele ya kila namna.
PreetG pokea like zako za kutosha.Sidhani kama kuna formula hapo maana wanaume hamtabiriki unaweza kumpa within 2 days akagonga na akatulia hapo hapo na mwingine ukamzungusha weee ukithubutu kumpa tu anagonga na kusepa zake so mapenzi hayana formula!
Kuna mdada mmoja jamani ni mrembo mpaka wanawake wenzake wanampenda, anaishi maeneo ya Mbezi Beach mtaa siutaji watu watamsumbua, ana kila kitu kuanzia biashara kubwa tu, nyumba na magari ya kifahari kila siku anahangaika kuomba ushauri kwa wanasaikolojia ili wamsaidie kutatua msongo wa mawazo alionao.
TATIZO:
Mwanaume wake wa kwanza hakumpa haraka alimzungusha mpaka ikafikia huyo mwanaume akamjengea nyumba ili tu demu akubali kumpa mambo yetu. Demu akalegea akatoa tunda, siku jamaa alipokula tunda tu hakuonekana tena mpaka leo.
Mwanaume wake wa pili, naye hakumpa haraka akichelea maumivu, jamaa alihangaika mpaka akamnunulia demu Harrier, baadaye sana demu akashawishika tena akaliwa tunda. Jamaa aliporudia mara mbili tu akapata safari kwenda majuu aliporudi baada ya mwaka mmoja akamshiti huyo dada mpaka leo.
Kwa mfano huu hai, mtaona ilivyo vigumu kutabiri mapenzi. Unaweza kuchelewa kutoa penzi na ukaachwa, mwenzio aliyetoa penzi chapchap watu wanaweza kuweka kambi hapo hapo milele.
Siwezi nikajua huyu mdada ana siri gani nyuma ya pazia hasa mambo ya chumbani, lakini ukweli unabakia pale pale mambo haya hayana kanuni.
Kama ni ajali kazini unafikiri unaweza kuzuia ajali hizo kwa kutumia kanuni zako hapo juu?Ni kweli hayana kanuni,hilo la huyo dada tunaweza sema ni "ajali kazini"...
Alikutana na players tu.
Lakini hili la kukutana leo,kutongozwa,unakubali,unaenda kulala kwa jamaa na kuliwa
huko huko ni UJUHA kama sio UKAHABA.
Kwani akichelewa kwanini usihisi anazuga tu lakini kila anekomaa anampa tu? Au kwa nini asikuhisi wewe unatongoza kila mwanamke anekuvutia? Sioni umuhimu wowote wa mwanamke kumzungusha mtu, mwanaume anaemuona mwanamke ni malaya kisa kampa on time ana kasoro huyo.
Mambo ya kusubirsubiri na blueballs nani anayataka? Mi kuulizia mwisho mara 2, tabu yote ya nini ilhali sayari hii kuna K za bilioni 3?
siku hiyo hiyo hutaki unaacha kuna ubaya mkuuHalafu wewe huwa unaniachaga hoi kwa hoja zako.
Halafu kuna siku ulisema upo single?
Basi tuendelee na yetu na wao waendelee na yao. Tukutane kule mtaa wa pm kama hutojali.siku hiyo hiyo hutaki unaacha kuna ubaya mkuu
Kwa hiyo wewe unazungumzia kuomba K? Nadhani tunazungumza as part of a relationship. Sio just hit and runs.
Wengine hawatoi K. It comes with it packadge, lazima upende jumla kwanza, akiridhika kua umependa yote ndio unapata access ya huko as part of the entire box. Kama huna patience hiyo ndio basi tena.
PS: hizo B3 toa half of them under 18, toa married ones, toa lesbians, toa walioamua kutotoa, toa wasio weza kutoa sababu wanaumwa etc.katika hao walio baki zingatia kuna wanao jiamini na kujitambua. In the end utakuta competition kwa hao "wagawaji wa siku za kwanza" ni kubwa kuliko unavo fikiria.
duh papuchi + dusheleleMapenzi ya kuzungushana ni ya kizamani sana. Wadada wasituzungushe wala wasitupe mapema sana, strike a balance.
Ila tukumbuke kuwapa asante kwa hizo papuchi, zinatupa starehe sana. Jamani mzidi kutugea.
Hakuna swali hapo. Mkuu ni kweli kabisa, imeshawahi kutokea msichana alimualika mvulana nyumbani kwao wakati wazazi wake hawapo,yule mvulana masikini alikuwa mbumbumbu wa wanawake akaenda akijua ni wito tu kutoka kwa dada. Kumbe mdada alikuwa amemzimia siku nyingi na kwakuwa walikuwa wawili tu basi yule dada alianza kwa kupika chakula wakala.Siyo kigezo kuomba siku hiyo hiyo na kupewa. Maana inategemea naye alikuwa katika hali gani wakati unamuomba.
Ni kweli kwamba wanaume tuna tamaa,ni kweli kwamba
tuta tumia kila ujanja ili tuwapate haraka iwezekanavyo.
Lakini si kweli kwamba ukinikubali haraka basi nitachukulia kwamba ndo
ume nipenda saaaaana. Ina maana tofauti sana.
Huyu mtu alikua kwenye radar ya jamaa (alikua haja mtamkia wala kuchat nae).
Siku alipo anza kuchat nae,kesho yake walikutana na jamaa akaonja.
So sad,hata kama ulikua wa thamani na una jiheshimu,kuachia chup** mapema
kuna kufanya uonekane mtu wa aina nyingine kabisa.
Please,usije kuni kubali haraka,nisumbue sumbue sana tu.
Hivi mke mwema ndio anakueje?Ama kweli,mke mwema hapatikani kirahisi.
Kwa maana hii ni kwamba kuna watu wana chezewa na kuachwa kila siku.