Hiyo ipo ila haileti picha nzuri japo hata mwanamke ni binadamu na pia ana hisia zake lakini hapo inatakiwa awe na usubiri katika kufikia hatua hiyo ya kumweleza ya moyoni. Wanaume wengi hususa huku Tz wakiambiwa hayo humshusha hadhi huyo mwanamke na muda mwingine huanza kumwona kama hajatulia vile!!
ah mie unione sijatulia ama vipi kimpango wako.