Sidhani kama kuna formula hapo maana wanaume hamtabiriki unaweza kumpa within 2 days akagonga na akatulia hapo hapo na mwingine ukamzungusha weee ukithubutu kumpa tu anagonga na kusepa zake so mapenzi hayana formula!
umenena

Wanaume sisi hatuna jema ukisumbuliwa sana utasema kwani upo peke yako ukipewa haraka haraka ili usiende kwengine unaleta uzi hapa.
unajua tofauti yangu na wanaume wengine ni kwamba mie nilishajua kuwa wanawake wanagawa sana papuchi zao so napojikamatia papuchi sina mpango wakuweka kibanda hivyo basi wether atagegedwa na mwengi mie hilo halinihusu kabisaaaa
vijana mnajidanganya sana.
wadada wanajua kabisa kwamba akikupa fasta utamdharau, so anachofanya anakunyima wewe hata mwaka lakini wengine pembeni anawapa kama kawa, ha ha ha unadhani wanawake hawapendi sex eh stop being stupid.
ladies are smarter than u think, utadhani huyu ndo mgumu kuvua chupi kumbi ni wewe tu ndo unayenyimwa.
CHA MSINGI, angalia maongezi yake na mwenendo wake na sio eti kavua chupi fasta, je kama alikua amezidiwa na nyege siku hiyo? kuvua chupi fasta sio kwamba ni mapepe na kukusumbua mda mrefu sio kwamba ni malaya.
watu walioa mabikira then later wakaja kuwafumania na minjemba nje na wapo walioa mapepe na wakatulia kwenye ndoa zao maana walishachoka kuona midushelele ya kila namna.
Sidhani kama kuna formula hapo maana wanaume hamtabiriki unaweza kumpa within 2 days akagonga na akatulia hapo hapo na mwingine ukamzungusha weee ukithubutu kumpa tu anagonga na kusepa zake so mapenzi hayana formula!
Mkuu ulichosema ni sahihi kabisa, ikiwa wote kwa upande wa wanaume na wanawake tutafuata miiko waliyokuwa nayo wazee wetu. Vinginevyo sasa hivi ni usaniii mtupu.Hapo sasa ndipo tunapokosea, mwanamke anatakiw kujifunza kukataa sio kila kitu anasema YES.
Wanaume tulio wengi tunahitaji mwanamke ambaye anakuwa mgumu yaani haingiliki kirahisi, sio mtu unametupia sound moja tu, akimwangalia mdada tayari kashakufa kaoza.
Uko sahihi kabisa,ila naona tunatofautiana tu kwenye jinsi ya kuwa chukulia.
Mi sipendi "An Easy lady",...yaana hata kwa utani tu unachovya duh.
Hata kama nabaniwa,anapewa mwingine,niko smart sana,nawafahamu hawa viumbe
lakini pamoja na kua kanibania,bado ata sifiwa na mimi kwamba "hakua maharagwe ya mbeya"
Hapo sasa ndipo tunapokosea, mwanamke anatakiw kujifunza kukataa sio kila kitu anasema YES.
Wanaume tulio wengi tunahitaji mwanamke ambaye anakuwa mgumu yaani haingiliki kirahisi, sio mtu unametupia sound moja tu, akimwangalia mdada tayari kashakufa kaoza.
Hapo sasa ndipo tunapokosea, mwanamke anatakiw kujifunza kukataa sio kila kitu anasema YES.
Wanaume tulio wengi tunahitaji mwanamke ambaye anakuwa mgumu yaani haingiliki kirahisi, sio mtu unametupia sound moja tu, akimwangalia mdada tayari kashakufa kaoza.
Mkuu ulichosema ni sahihi kabisa, ikiwa wote kwa upande wa wanaume na wanawake tutafuata miiko waliyokuwa nayo wazee wetu. Vinginevyo sasa hivi ni usaniii mtupu.
Kwa nini usanii? Soma hapa;
Wasichana wengi siku hizi wameujua udhaifu huo hivyo nao wanachofanya wanakuzungusha wewe anayekupigia mahesabu ya future, lakini wakati huo huo anaendelea kukata kiu na wengine wa fasta fasta kama kawaida. Huku wewe unajisifu nimepata bonge la msichana mwenye msimamo simuachi mpaka ndoa.
Hii ina-apply pia kwa wavulana/wanaume mwenye ndoto za future.

Wakienda India ndio watazima fegi kabisa, maana demu anatokea kidume na mahari analipa kama kawaida.mh yani we unaongelea mwanaume kumtupia sound mwanamke?
mbona siku hizi wanawake wanatupa sound kwa wanaume tena bila haya wala nini?
mh yani we unaongelea mwanaume kumtupia sound mwanamke?
mbona siku hizi wanawake wanatupa sound kwa wanaume tena bila haya wala nini?
Hujawahi kusikia malaya wameolewa na wametulia nyumbani mkuu?Kiukweli kabisa,una jisikiaje uki mu-approach mtu,ana kukubalia siku hiyo hiyo.
Na siku hiyo hiyo una chovya,tena ana lala kwako siku hiyo hiyo? Anaweza kua mke mtu kama
huyo?
Kiukweli kabisa,una jisikiaje uki mu-approach mtu,ana kukubalia siku hiyo hiyo.
Na siku hiyo hiyo una chovya,tena ana lala kwako siku hiyo hiyo? Anaweza kua mke mtu kama
huyo?
ha ha ha ha kaka wewe bado hujayaona ya kizazi hichi cha digital
wake za watu wenyewe tumepinda mpaka basi, tunagawa hadi basi itakua hivyo visichana visivyojielewa vitaolewa na nani, bado vinacheza kamali ya mapenzi.
acha kufanya maisha yawe magumu zaidi, kwani kua mke wa mtu nini?