Tafadhalini sana mabinti.

Tafadhalini sana mabinti.

Kuna mdada mmoja jamani ni mrembo mpaka wanawake wenzake wanampenda, anaishi maeneo ya Mbezi Beach mtaa siutaji watu watamsumbua, ana kila kitu kuanzia biashara kubwa tu, nyumba na magari ya kifahari kila siku anahangaika kuomba ushauri kwa wanasaikolojia ili wamsaidie kutatua msongo wa mawazo alionao.

TATIZO:
Mwanaume wake wa kwanza hakumpa haraka alimzungusha mpaka ikafikia huyo mwanaume akamjengea nyumba ili tu demu akubali kumpa mambo yetu. Demu akalegea akatoa tunda, siku jamaa alipokula tunda tu hakuonekana tena mpaka leo.

Mwanaume wake wa pili, naye hakumpa haraka akichelea maumivu, jamaa alihangaika mpaka akamnunulia demu Harrier, baadaye sana demu akashawishika tena akaliwa tunda. Jamaa aliporudia mara mbili tu akapata safari kwenda majuu aliporudi baada ya mwaka mmoja akamshiti huyo dada mpaka leo.

Kwa mfano huu hai, mtaona ilivyo vigumu kutabiri mapenzi. Unaweza kuchelewa kutoa penzi na ukaachwa, mwenzio aliyetoa penzi chapchap watu wanaweza kuweka kambi hapo hapo milele.

Siwezi nikajua huyu mdada ana siri gani nyuma ya pazia hasa mambo ya chumbani, lakini ukweli unabakia pale pale mambo haya hayana kanuni.
Hii imekaa kitamthilia, lakini huenda kweli maana wanaume tunatofautiana.. kuna waliozaliwa na DNA za ushamba na akina sie tuliochangamka aka wazee wa malikauli/
 
Sidhani kama kuna formula hapo maana wanaume hamtabiriki unaweza kumpa within 2 days akagonga na akatulia hapo hapo na mwingine ukamzungusha weee ukithubutu kumpa tu anagonga na kusepa zake so mapenzi hayana formula!
Yah sound true, wanaume cc hatutabiriki, upewe baada ya siku 2 au baada ya mwaka haijalishi, ukiamua kutulia unatulia tu. isitoshe mke bora anatoka kwa mungu. ukikuta mnaendana specifications and characteristics kwa nn usitulie na kumbuka utafaham tabia ya mtu baada ya kuwa inrelationship, binafsi mpaka sasa bado cjapata ninaeendana nae, hope i wil get soon omg. Lol
 
Hakuna swali hapo. Mkuu ni kweli kabisa, imeshawahi kutokea msichana alimualika mvulana nyumbani kwao wakati wazazi wake hawapo,yule mvulana masikini alikuwa mbumbumbu wa wanawake akaenda akijua ni wito tu kutoka kwa dada. Kumbe mdada alikuwa amemzimia siku nyingi na kwakuwa walikuwa wawili tu basi yule dada alianza kwa kupika chakula wakala.

Baada ya kula na kunywa kama umeme yule mdada alichojoa nguo zote na kumlazimisha yule mkaka wafanye kitendo la sivyo angepiga kelele za kubakwa. Kwa uoga wa kesi ya ubakaji mvulana wa watu alikula K lakini si kwa kupenda. Hii ina maana kwamba kama siku ile yule mkaka angerusha ndoano ingenyakwa kwa kasi ya radi.

Mwisho wa siku waliendelea kuwa wapenzi lakini kwa siri sana bila wazazi wao kufahamu, leo hii hawa watu ni mke na mume.

hahah sasa hapo jamaa si kabakwa,halaf hii stori km ni ww vile
 

yah!some tym
unakuta mdada anampenda
mkaka ila kumwambia ni kazi,sasa
mkaka akifunguka nisumbue ili iweje ilhali
nimempenda kitambo akhhhu najilia tundi langu!!!
 
wanaume bwana.ukipewa fasta,mnalalamika.mkicheleweshewa mnalalamika.hamueleweki.unadhani ukipewa fasta mwanamke ndio mcharuko?hapo ndio mnakosea.unaweza ukacheleweshewa wakaonjeshwa wengine.mcharuko ni tabia tu ya mtu

Hii nimeipenda na ndio inayofanyika nowdays,unazungushwaaaaaa,huku anapewa mwingine,wewe unajipa moyo kua anakusumbua so sio mgawaji,nami kabla nilifikiria hivyo,but now ukizungushwa jua kuna wengine wanamega,mpaka uje upate kashamegwa sana au kuna bifu na huko alipo ndo anakugeukia wewe,we unajua anakupenda mmhhh umeona hii kamba ilivyo na mzunguko?safi kisukari napenda speaker asome pia.
 
Ni kweli kwamba wanaume tuna tamaa,ni kweli kwamba
tuta tumia kila ujanja ili tuwapate haraka iwezekanavyo.

Lakini si kweli kwamba ukinikubali haraka basi nitachukulia kwamba ndo
ume nipenda saaaaana. Ina maana tofauti sana.

Huyu mtu alikua kwenye radar ya jamaa (alikua haja mtamkia wala kuchat nae).
Siku alipo anza kuchat nae,kesho yake walikutana na jamaa akaonja.

So sad,hata kama ulikua wa thamani na una jiheshimu,kuachia chup** mapema
kuna kufanya uonekane mtu wa aina nyingine kabisa.

Please,usije kuni kubali haraka,nisumbue sumbue sana tu.
Hivi mtu anapokusumbua ina maana anakupendaaaa au yupo neutral anahitaji umshawishi akupende.....au wakati huo si kuna sehemu anakuwa anamegwa alipojishikiza kabla hajakukubalia?
 
Hivi mtu anapokusumbua ina maana anakupendaaaa au yupo neutral anahitaji umshawishi akupende.....au wakati huo si kuna sehemu anakuwa anamegwa alipojishikiza kabla hajakukubalia?
Ningependa wangelijua hilo lakini kwa upeo wao wanafikiri kama wanavyofikiri.
 
Hii nimeipenda na ndio inayofanyika nowdays,unazungushwaaaaaa,huku anapewa mwingine,wewe unajipa moyo kua anakusumbua so sio mgawaji,nami kabla nilifikiria hivyo,but now ukizungushwa jua kuna wengine wanamega,mpaka uje upate kashamegwa sana au kuna bifu na huko alipo ndo anakugeukia wewe,we unajua anakupenda mmhhh umeona hii kamba ilivyo na mzunguko?safi kisukari napenda speaker asome pia.
Monaco naunga mkono hoja.
 
Hii imekaa kitamthilia, lakini huenda kweli maana wanaume tunatofautiana.. kuna waliozaliwa na DNA za ushamba na akina sie tuliochangamka aka wazee wa malikauli/
Mkuu kuna wazee bongo hii wakimtaka demu wako hawaoni shida kumtupia kagari ka milioni 10, kwao hiyo pesa ni sawa tu na ya vocha.
 
Back
Top Bottom