Tafadhalini sana mabinti.

Tafadhalini sana mabinti.

wanaume bwana.ukipewa fasta,mnalalamika.mkicheleweshewa mnalalamika.hamueleweki.unadhani ukipewa fasta mwanamke ndio mcharuko?hapo ndio mnakosea.unaweza ukacheleweshewa wakaonjeshwa wengine.mcharuko ni tabia tu ya mtu

waambie hao alafu hamna demu mcharuko bwana...rhey just have a huge sex appetite bwana...nothing wrong with just wanting to do a man on the same day u meet...plus its exciting...infact its a fantasy every lady has but few have dared to turn it into a reality
 
Wanaume sisi hatuna jema ukisumbuliwa sana utasema kwani upo peke yako ukipewa haraka haraka ili usiende kwengine unaleta uzi hapa.

Mkuu huwezi kujua huyo dada amekuwa akikupigia hesabu kwa muda gani, pengine amesikia wapo wengi wanakufuatilia ndio maana akaona akuwahi yeye ili akumiliki kabisa.
Kula laki kabisa, wanaume huwa hamna jema. Ushamba tu na ulimbukeni kuamini eti ukikubaliwa mapema basi mwanamke atakuwa mgawaji....
 
Men vs Women...a battle of superiority
 
Mapenzi ya kuzungushana ni ya kizamani sana. Wadada wasituzungushe wala wasitupe mapema sana, strike a balance.
Ila tukumbuke kuwapa asante kwa hizo papuchi, zinatupa starehe sana. Jamani mzidi kutugea.
 
wanaume bwana.ukipewa fasta,mnalalamika.mkicheleweshewa mnalalamika.hamueleweki.unadhani ukipewa fasta mwanamke ndio mcharuko?hapo ndio mnakosea.unaweza ukacheleweshewa wakaonjeshwa wengine.mcharuko ni tabia tu ya mtu

Sijui kama umeielewa fasta nayo ongelea.
Hivi unaweza kutana na mtu leo,aka kutongoza,uka mkubalia,ukaenda mvulia chup** na
zaidi ya yote ukalala kwake?

kama hiyo haitilii shaka kwako basi tena,kuna walakini hapa.

Hivi unajua mapenzi hayana formula? Just imagine, wakati wewe anakuzungusha kuna mtu anampenda yeye ndo anasubiria mambo kama yatakaa fresh akueleze ukweli, akitemwa huko ndo anarudi full kwako na wewe unatoka kifua mbele kwa wenzako unajisifu huyu mwanamke mgumu sana, nimeteseka sana kumpata.

Kukubali mapema au kuchelewa kukubali hakumpandishi au kumshusha thamani mwanamke, kama akikubali mapema ni malaya, je akikutongoza utamwitaje? Huo ni ufinyu wa fikra.
 
Hata kama mtu mzima aisee! "Fasta fasta" inatisha, au ndio biashara tena? Hao tunawaitaga, "mama huruma",

Asante,nahisi hili ni jina zuri kwao.
Kwa style hiyo hata ukiwa mbali shamba boy
akiimbisha tu atakula siku hiyo hiyo.
 
Kula laki kabisa, wanaume huwa hamna jema. Ushamba tu na ulimbukeni kuamini eti ukikubaliwa mapema basi mwanamke atakuwa mgawaji....

Ah,hamna aisee.
Hata mtetee vipi,anae kubali haraka ni mgawaji tu
hamna lolote,vipi kama nakutania sasa?
 
Mapenzi ya kuzungushana ni ya kizamani sana. Wadada wasituzungushe wala wasitupe mapema sana, strike a balance.
Ila tukumbuke kuwapa asante kwa hizo papuchi, zinatupa starehe sana. Jamani mzidi kutugea.

Ha ha ha ha,hakyanani.
 
heri yako wewe uliyetoa somo hapa kwani umenikosha sana na kunifanya niweze kutoa somo kwa watoto wangu ambao wamo humu mjengoni be blessed bro
Ni kweli kwamba wanaume tuna tamaa,ni kweli kwamba
tuta tumia kila ujanja ili tuwapate haraka iwezekanavyo.

Lakini si kweli kwamba ukinikubali haraka basi nitachukulia kwamba ndo
ume nipenda saaaaana. Ina maana tofauti sana.

Huyu mtu alikua kwenye radar ya jamaa (alikua haja mtamkia wala kuchat nae).
Siku alipo anza kuchat nae,kesho yake walikutana na jamaa akaonja.

So sad,hata kama ulikua wa thamani na una jiheshimu,kuachia chup** mapema
kuna kufanya uonekane mtu wa aina nyingine kabisa.

Please,usije kuni kubali haraka,nisumbue sumbue sana tu.
 
Kula laki kabisa, wanaume huwa hamna jema. Ushamba tu na ulimbukeni kuamini eti ukikubaliwa mapema basi mwanamke atakuwa mgawaji....
Kwa mfano kama mimi ukinikubali itakuwa siri yangu wala sitaleta uzi JF.

Ww ni-pm tu ili wasione.
 
Wapo wazungushaji na wanagawa sana tu, wapo wasiozungusha na hawagawi ovyo. sasa nashangaa alipokuja na formular yake ambayo haijahakikishwa.....
Mwambie huyo amekurupuka bila kufanya utafiti wa kutosha.

Duniani hakuna kitu kigumu kama mapenzi, hii kitu haina kanuni na wala asidhani kilichomtokea yeye basi kitamtokea kila mtu.
 
mi tunamalizana siku hiyo hiyo .hutaki unaacha,kwanini kumaliziana vocha bwanaaa!
Halafu wewe huwa unaniachaga hoi kwa hoja zako.
Halafu kuna siku ulisema upo single?
 
Siyo kigezo kuomba siku hiyo hiyo na kupewa. Maana inategemea naye alikuwa katika hali gani wakati unamuomba.
 
Back
Top Bottom