Tafadhali tusaidiane kupima Akili za hawa Watanzania Wawili ili tujue nani ni Mwerevu sana na nani ni Kilaza mno

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Mtanzania wa Kwanza kaamua Kuitangaza Tanzania katika Shati lake Kubwa, zuri na lililobuniwa vyema kwa Kuandika Maandishi makubwa ya VISIT TANZANIA.

Mtanzania wa Pili kwa Akili zake anazozijua Yeye kaamua Kumuiga wa Kwanza kwa Kuandika mkononi mwa Shati lake Baya na Bovu ( tena kwa Maandishi Madogo ) kuwa visit Kilimanjaro and Zanzibar.

Hivi kumbe ukitembelea Tanzania kama Mtalii huwezi Kuzikuta hizo Kilimanjaro na Zanzibar?

Je, unapomwambia Mtu ( Mtalii ) kuwa atembelee tu Kilimanjaro na Zanzibar hapa unakuwa Umeitangaza nchi ya Tanzania kwa Ukubwa na Umuhimu wake au labda Yule aliyewaambieni Wageni kuwa Wakaribie Tanzania ndiyo ameonyesha Jambo la Tija na ndiyo anastahili Pongezi?

Mightier ninasubiri Majibu yenu Wadau.
 
Picha tafadhali
 
Ila Yanga ina viongozi wajanja wajanja sana,ila sema mashabiki wao mazwazwa haina shida,ni pipa na mfuniko!
 
Mo tuliza ball,vp kama wameuza nafasi ya matangazo kipande cha mkononi kwa wadau wa utalii mkoa wa Kilimanjaro kwanini wahangaike kuiweka Tanzania yote?
 
Another Fool from Jangwani and Twiga Junction.
una hasira zisizo na sababu.

kwani hili swala likifanywa kwa pamoja kuna tatizo???
wengine nao wakiandika visit ngorongoro ndio vile vile tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…