Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,343
- 101,475
Hawezi kuwaamsha Watanganyika.Uandishi wake mara zote umekaa kisanii na kujiegemeza sehemu "salama" kwake.Paskali uandishi wako unapaswa kuwaamsha WaTanganyika wengi waliolala!
Anyways, tuendelee kukusanya ushahidi wa kimazingira!
Mimi nitaendelea kukumbusha tu, hiyo heshima unayompa mtu asiyeistahili sijui unalenga kitu gani.Ni vigumu kuaminika kuwa uliguswa, kuumizwa, kustushwa au kuchukizwa na matukio ya Oktoba 29, 2025. Ni vigumu kufanya watu wasadiki kuwa wewebkama Rais wa nchi yetu hujui kilichotokea au hata kufanya jitihada za kutaka kujua...
💯%.Mimi nitaendelea kukumbusha tu, hiyo heshima unayompa mtu asiyeistahili sijui unalenga kitu gani.
Ukimwita tu Samia haitoshi hadi umpe heshima na cheo kisichoendana kabisa na hadhi yake?
Hilo moja.
Mbona unakuwa na mashaka juu ya anachoamini Samia hadi utake kumlazimisha afanye kinyume na uamini wake.
Hujasikia kauli zake mbalimbali juu ya swala hilo hilo la "kujutia"?
Au labda nikupe mfano ulio karibu naye:
Bi Asha Migiro ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama kasema waziwazi kwamba "vyombo vya dola vilifanya kazi ya kutukuka", unaeleewa maana ya maneno hayo?
hayo anaweza kuyasema Katibu Mkuu wa chama; na Mwenyekiti wake awe na msimamo tofauti?
Jameni, kwa nini mnatafuta kumlazimisha Samia jambo ambalo haliamini kabisa. Aguswe na watu waliotaka kumnyima fursa ya kuwa mtawala (kwa uamini na fikra zake)?
Duh!Paskali uandishi wako unapaswa kuwaamsha WaTanganyika wengi waliolala!
Anyways, tuendelee kukusanya ushahidi wa kimazingira!
Huu msemo huwa unanikera kwelikweli; sasa wewe ukaona uusilibe kabisa kwenye maoni yangu!
Sasa atueleze hii tume aliyyounda juzi ni ya kazi gani?Mkuu katibu wa chama kasema juzi hapa kuwa POLISI WALIFANYA ILIYOTUKUKA.
Pia mwenyekiti sa💯 alisema kuwa polisi walifanya kazi nzuri kwa muda mfupi.
Hahahaa. Relax bana. Yaani hapo maana yake ni kwamba nimekubaliana na wewe kwenye kila kitu ulichokiandika mpaka nikakosa maneno ya kuandika.Huu msemo huwa unanikera kwelikweli; sasa wewe ukaona uusilibe kabisa kwenye maoni yangu!
Basi tu sina la kufanya.
Unasema tume? Tume ambazo ripoti zake ni mali yake binafsi!?Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu.
Unafikiri kwanini Rais wetu ameunda tume?
Unafikiri lengo la kuunda tume ni nini?
Unataka afanye maamuzi ya kukurupuka ili baadaye mje msema alikurupuka?
Rais wetu ni Makini na anataka ukweli wote ufahamike pasipo mtu yeyote yule kuonewa. Ndio Maana ameunda tume ili ije na majibu na majawabu yasiyo acha shaka.
Ndio maana watanzania wameendelea kuwa watulivu wenye subira na imani kubwa sana kwa Rais wetu Mpendwa
Maana ya mada hii hasa ni nini?- hujajaribu kujua au kukutana waliopoteza ndugu zao. Yaani, wale watoto/vijana waliouwa pale Mwanza hutaki kujua wazazi wao? Na yule mama na mwanae waliouawa mbele ya kamera hutaki kabisa kujua?
I know.Hahahaa. Relax bana. Yaani hapo maana yake ni kwamba nimekubaliana na wewe kwenye kila kitu ulichokiandika mpaka nikakosa maneno ya kuandika.
Btw, Victor Wembanyama is going to the NBA Finals……
Tena ngoja nikutupe kwenye Dustbin chap ,huvumiliki
Kupitia wewe leo nimeamini kweli kichaa huwaona watu timamu kuwa wao ndiyo vichaa.Kwani hujui hata wajinga huzeeka na kuota Mvi? Au unafikiri Umri unaongeza akili? Kama huna akili ni huna tu hata ungeota Mvi kichwani. Hata majambazi huzeeka na ujambazi wao
Asante sana,Naongeza na haoIgnore Mwashambwa, Tlaatlaah, Dr wa
Wahanga wote wameahidiwa matibabu na uangalizi wa bure, anataka Mheshimiwa SSH awe anaamka asubuhi na kuwapigia simu kujua wamelala vipi!.Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu.
Unafikiri kwanini Rais wetu ameunda tume?
Unafikiri lengo la kuunda tume ni nini?
Unataka afanye maamuzi ya kukurupuka ili baadaye mje msema alikurupuka?
Rais wetu ni Makini na anataka ukweli wote ufahamike pasipo mtu yeyote yule kuonewa. Ndio Maana ameunda tume ili ije na majibu na majawabu yasiyo acha shaka.
Ndio maana watanzania wameendelea kuwa watulivu wenye subira na imani kubwa sana kwa Rais wetu Mpendwa
Yes yesWe are so close!!
Tunakaribia kufika mwisho. Huyu atalia kilio cha kusaga meno very soon.
Majibu kama haya yanamstahili mvuta banging au mtu mwenye ufanano na ex mkimbiza mwenge Kenani KihongosiNaona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu.
Unafikiri kwanini Rais wetu ameunda tume?
Unafikiri lengo la kuunda tume ni nini?
Unataka afanye maamuzi ya kukurupuka ili baadaye mje msema alikurupuka?
Rais wetu ni Makini na anataka ukweli wote ufahamike pasipo mtu yeyote yule kuonewa. Ndio Maana ameunda tume ili ije na majibu na majawabu yasiyo acha shaka.
Ndio maana watanzania wameendelea kuwa watulivu wenye subira na imani kubwa sana kwa Rais wetu Mpendwa
Moja ya kauli ya kipumbavu kabisa kuwahi kutolewa1. Alikuwa anahutubia Zanzibar siku moja akasema ''waulizeni wenzenu bara kama wana hamu ya kuandmana tena''
2. Yeye na wasaidizi wake wamekuwa wanasifia polisi kwa kazi iliyotokuka
3. Muda wote amekuwa anasema kilichofanyika ni sahihi kabisa
Mnataka aonane tena na waathirika kwa kazi gani? Mimi nadhani tungewekea nguvu kwenye kutaka awajibishwe na kufikishwa mahakamani.