Yapo mabandiko yako mwenyewe ambayo yanaonesha kwamba unajua what is the right thing to do kwenye mazingira kama haya.Hii ndio the freedom of expression
Si ameunda Tume, ikitaja hata yeye, kama ndie alitoa ile amri, then na yeye pia atajiwajibisha, tuendelee kusubiri kama tunavyokula mtori, nyama utazikuta chini!.
Kwani siku hizi jf, tunapangiana muda, au kusubirishana kiasi cha kupotezeana muda?!.
P
Hivi huyu bichwa lake limejawa na shahawa Nini?Kwani hujui hata wajinga huzeeka na kuota Mvi? Au unafikiri Umri unaongeza akili? Kama huna akili ni huna tu hata ungeota Mvi kichwani. Hata majambazi huzeeka na ujambazi wao
1. Alikuwa anahutubia Zanzibar siku moja akasema ''waulizeni wenzenu bara kama wana hamu ya kuandmana tena''Ni vigumu kuaminika kuwa uliguswa, kuumizwa, kustushwa au kuchukizwa na matukio ya Oktoba 29, 2025. Ni vigumu kufanya watu wasadiki kuwa wewebkama Rais wa nchi yetu hujui kilichotokea au hata kufanya jitihada za kutaka kujua...
- hujajaribu kukutana na wahanga wa matukio yale...hujajaribu kujua Ni kina nani wanadai au kitafuta miili ya ndugu zao
- hujajaribu kujua au kukutana waliopoteza ndugu zao. Yaani, wale watoto/vijana waliouwa pale Mwanza hutaki kujua wazazi wao? Na yule mama na mwanae waliouawa mbele ya kamera hutaki kabisa kujua?
- umeendelea kukingia kifua vyombo vya dola na kuvipongeza jwa mauaji yale kwa kisingizio cha kutuliza "amani". Inamaanisha vyombo hivyo vilipata Baraka na vinaendelea kupata Baraka kutoka kwako. Miezi sita baadaye hujamwajibisha hata kuruta mmoja. Unataka watu waamini kilichotokea ni bahati mbaya.
- Utawala wako umeendelea kufumbia macho matukio ya utekaji na kupoteza wananchi kiasi kwamba haijulikani yapi ni uhalifu na yapi yanafanywa na vyombo vya dola. Kitendo cha Mafwele kutajwa kingekushtua...haujashtuka..IGP hajashtuka na wale wavuta bangi za madaraka bungeni hawajashtuka...
Unataka watu wengine wa nje wawajibishe nyinyi? Yaani Wamarekani, EU, SADC na wengine waumizwe na matukio kuliko mnaojiita viongozi wetu...
Bado hujafanya lolote la kutufanya tuamini kuwa umeguswa na unataka lisitokee tena...naogopa kuwa wa kwanza kusema...mtaua tena nyinyi...tena labda zaidi..harufu ya damu bado iko angani. Hamuogopi...hamna cha kuwatisha kama walivyosema wahenga...
ZA MWIZI.....
Duh!Huyo Bibi ni zigo zito la mavi ambalo nchi hii imewahi kulibeba
Jitahidi usiwe na familiaNaona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu.
Unafikiri kwanini Rais wetu ameunda tume?
Unafikiri lengo la kuunda tume ni nini?
Unataka afanye maamuzi ya kukurupuka ili baadaye mje msema alikurupuka?
Rais wetu ni Makini na anataka ukweli wote ufahamike pasipo mtu yeyote yule kuonewa. Ndio Maana ameunda tume ili ije na majibu na majawabu yasiyo acha shaka.
Ndio maana watanzania wameendelea kuwa watulivu wenye subira na imani kubwa sana kwa Rais wetu Mpendwa
Huyu ni mental case mkuu achana nayeLucas, Octoba 29, watu waliuwawa au hawakuuwawa?
Mbona hujibu maswali madogo ya Ndiyo na Hapana!
Huyu jamaa ni mental caseLucas amekuwa na roho ya kinyama sana. Watu wameuwawa yeye analeta kusifu na kuabudu samia.
Wewe una matatizo ya akili na utabisha maana unayo kweliNani kakuambia tunaongozwa ama kuamrishwa na Trump? Who Is Trump in Our County?
Mkuu Pucha, Pulchra Animo, hatua ya kwanza ya political accountability ni self realization that your government did something wrong somewhere somewhat somehow, kwa vile kila kitu kinachofanywa na serikali, na maofisa wa serikali, ni kinafanywa kwaniaba ya rais wa JMT, na rais yeye anashikilia everything that happened, they did the right thing na ameunda tume kuchunguza, then hatuna jinsi ni tusubirie matokeo ya Uchunguzi.Yapo mabandiko yako mwenyewe ambayo yanaonesha kwamba unajua what is the right thing to do kwenye mazingira kama haya.
Kuna two levels of accountabilityβpolitical accountability and criminal accountability. Political accountability hainaga kusubiri matokeo ya investigation. Ndiyo maana kashifa ya mauaji ya enzi za kina Mwinyi (in the 1970βs) ilikwenda na viongozi asubuhi na mapema, kabla ya criminal investigation. Criminal accountability ni sawa kuja baada ya criminal investigation.
Kujizima data makusudi ni matumizi mabaya ya muda wako mwenyewe na ya muda wa wasomaji wako!
Mkuu Pucha, Pulchra Animo, hatua ya kwanza ya political accountability ni self realization that your government did something wrong somewhere somewhat somehow, kwa vile kila kitu kinachofanywa na serikali, na maofisa wa serikali, ni kinafanywa kwaniaba ya rais wa JMT, na rais yeye anashikilia everything that happened, they did the right thing na ameunda tume kuchunguza, then hatuna jinsi ni tusubirie matokeo ya Uchunguzi.
Ile issue ya Mwanza ile 1976 iliyomuondoa Mwinyi, Mzee wangu ndio alikuwa RSO wa Mwanza.
It's very dangerous to be right when the boss is wrong, because the boss is always right!, hivyo sasa ni kuwashauri wasaidizi wake wamsaidie boss wao kwenye self realization and awareness that something real bad happened!, 518 deaths is not a small number, the bucks stop at the top Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe
Tumsaidie kumuelimisha hata yeye, lakini wale wasaidizi wake wakuu watatu, CDF, IGP na DGIS, walipaswa wapishe wenyewe tuu sio kusubiria hiyo tume jinai Wito Kwa Viongozi Wetu: Unapokosea, hata kwa kujikwaa tu ulimi, tujenge utamaduni wa kuwajibika ili kumuepushia Rais wetu kubeba mzigo wa karma
P
Mpaka nimecheka kwa hii comment yako. Angalia hata waliokupa like hata mwenyewe utajicheka. Lakini all in all kila anawaza ajuavyo ππππNaona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu.
Unafikiri kwanini Rais wetu ameunda tume?
Unafikiri lengo la kuunda tume ni nini?
Unataka afanye maamuzi ya kukurupuka ili baadaye mje msema alikurupuka?
Rais wetu ni Makini na anataka ukweli wote ufahamike pasipo mtu yeyote yule kuonewa. Ndio Maana ameunda tume ili ije na majibu na majawabu yasiyo acha shaka.
Ndio maana watanzania wameendelea kuwa watulivu wenye subira na imani kubwa sana kwa Rais wetu Mpendwa
Ajiuzulu kwa kosa gani?!, kwani yeye ameshika bunduki?, au aliwatuma?, ajiuzulu kwasababu watu wanamsema vibaya?, ajiuzulu kwasababu Jumuiya ya kimataifa inatuangazia vibaya?, mimi nimeshauri akamae na Watanzania Wazalendo tukomae nae Rais Nyerere na Magufuli Walikataa, Rais Samia Usikubali Nchi Yoyote Kuingilia Sovereignty Yetu, Iwe ni US, UK or EU!, Kwani Marekani Ndio Nani, Nini?Pasco,
Sikupingi, nataka niende mbali hapo kwenye "accountability"; kwa hali ilivyo sasa nchini, kwa namna wananchi walio wengi na jamii ya kimataifa inavyolitazama taifa letu. Ili kuliponya hili taifa, huyu mama anatakiwa ajiuzulu kwa maslahi mapana ya taifa, ajiuzulu kulinda na kurudisha utaifa wetu.
Kwa hali ilivyo, watanzania hawanabimanai na huyu mama, jamii ya kimataifa haintazami vizuri, hali ambayo itatupa shida sana na kuligharimu taifa sababu ya makosa ya huyu mama ya kiuongozi. Japo sijajua Katiba inasemaje; lakini huyu mama akijiuzulu pafanyike uchaguzi au Makamu aendelee kwa "de facto".
Hili taifa tutaendelea kuliharibu kwa huyu mama kuendelea kushika madaraka ambayo kimsingi yanaliumiza taifa hili changa. Ajiuzulu maji yameshavurugika ni hatari kwa taifa na kwake yeye mwenyewe, kiafya na kiutashi.
Huwezi ongoza watu wanaoiga kelele, ndani na nje ya nchi. Huwezi ongoza watu hawakutami vizuri na wanakushambulia, suo afya kwake binafsi na kwa taifa hili. Ajiuzulu.
Ajiuzulu kwa kosa gani?!, kwani yeye ameshika bunduki?, au aliwatuma?, ajiuzulu kwasababu watu wanamsema vibaya?, ajiuzulu kwasababu Jumuiya ya kimataifa inatuangazia vibaya?, mimi nimeshauri akamae na Watanzania Wazalendo tukomae nae Rais Nyerere na Magufuli Walikataa, Rais Samia Usikubali Nchi Yoyote Kuingilia Sovereignty Yetu, Iwe ni US, UK or EU!, Kwani Marekani Ndio Nani, Nini?
P
Hapa unafanya dhihaka sasa kaka mkuu, awajibisjwe kwa tume aliyoiunda mwenyewe ππππHii ndio the freedom of expression
Si ameunda Tume, ikitaja hata yeye, kama ndie alitoa ile amri, then na yeye pia atajiwajibisha, tuendelee kusubiri kama tunavyokula mtori, nyama utazikuta chini!.
Kwani siku hizi jf, tunapangiana muda, au kusubirishana kiasi cha kupotezeana muda?!.
P
Sidhani kama muuaji aliyetumia mazombi ya Unguja atamwajibisha yeyote!Ni vigumu kuaminika kuwa uliguswa, kuumizwa, kustushwa au kuchukizwa na matukio ya Oktoba 29, 2025. Ni vigumu kufanya watu wasadiki kuwa wewebkama Rais wa nchi yetu hujui kilichotokea au hata kufanya jitihada za kutaka kujua...
- hujajaribu kukutana na wahanga wa matukio yale...hujajaribu kujua Ni kina nani wanadai au kitafuta miili ya ndugu zao
- hujajaribu kujua au kukutana waliopoteza ndugu zao. Yaani, wale watoto/vijana waliouwa pale Mwanza hutaki kujua wazazi wao? Na yule mama na mwanae waliouawa mbele ya kamera hutaki kabisa kujua?
- umeendelea kukingia kifua vyombo vya dola na kuvipongeza jwa mauaji yale kwa kisingizio cha kutuliza "amani". Inamaanisha vyombo hivyo vilipata Baraka na vinaendelea kupata Baraka kutoka kwako. Miezi sita baadaye hujamwajibisha hata kuruta mmoja. Unataka watu waamini kilichotokea ni bahati mbaya.
- Utawala wako umeendelea kufumbia macho matukio ya utekaji na kupoteza wananchi kiasi kwamba haijulikani yapi ni uhalifu na yapi yanafanywa na vyombo vya dola. Kitendo cha Mafwele kutajwa kingekushtua...haujashtuka..IGP hajashtuka na wale wavuta bangi za madaraka bungeni hawajashtuka...
Unataka watu wengine wa nje wawajibishe nyinyi? Yaani Wamarekani, EU, SADC na wengine waumizwe na matukio kuliko mnaojiita viongozi wetu...
Bado hujafanya lolote la kutufanya tuamini kuwa umeguswa na unataka lisitokee tena...naogopa kuwa wa kwanza kusema...mtaua tena nyinyi...tena labda zaidi..harufu ya damu bado iko angani. Hamuogopi...hamna cha kuwatisha kama walivyosema wahenga...
ZA MWIZI.....
Laiti WaTanganyika wangeelewa hiki uliachoandika hapa!1. Alikuwa anahutubia Zanzibar siku moja akasema ''waulizeni wenzenu bara kama wana hamu ya kuandmana tena''
2. Yeye na wasaidizi wake wamekuwa wanasifia polisi kwa kazi iliyotokuka
3. Muda wote amekuwa anasema kilichofanyika ni sahihi kabisa
Mnataka aonane tena na waathirika kwa kazi gani? Mimi nadhani tungewekea nguvu kwenye kutaka awajibishwe na kufikishwa mahakamani.
Paskali uandishi wako unapaswa kuwaamsha WaTanganyika wengi waliolala!Hii ndio the freedom of expression